Nishawai kusema, Afrika ina rasilimali nyingi sana ambazo bado hazijagunduliwa.
Pia kuna uwezekano wa uwepo wa madini yenye nguvu kubwa ya kiatom kuliko hata Uranium, suala la muda tu.
Afrika ilifungwa mlango wa kutiririsha utajiri wake baada ya waafrika kuzikataa nguvu zao za kiroho na kukimbilia Mifumo ya watu weupe na ndipo matatizo yalipoanza.
Yaan tangu watu weusi wawakaribishe watu weupe tangu miaka ya akina falao mpaka leo ndipo uharibifu ukatokea kwa afrika.
Watu weusi walipopoteza Nguvu zao za kiroho hata bara la Afrika na ardhi kiujumla ikaficha ule utajiri wake, mpaka pale tutakapoamka na kuzirudia asili zetu.
Huwa nasema hakuna kiongozi dunian wala mfumo wowote ule unaoweza kuiletea afrika uhuru kamili ama amani, isipokuwa nguvu ya Asili tu,
Mtahangaika kila kona na kila taifa kutafuta ulinzi na ushirikiano lkn kama hatutatafuta suluhisho la matatizo yetu bila kuwahusisha hao watu weupe basi ni kazi bure.
Hata hapa Tz pekee tu kuna rasilimali nyingi ambazo hazijagunduliwa bado, ndiomaana kuna rundo la majasusi wa kizungu kwa mgongo wa utalii huwa wanarudi afrika kuichunguza wapate kujua zile sili za kufungua utajiri wa afrika.
Hata Sanduku la Agano lipo afrika ndiomaana vurugu hazikomi, watu weupe wanachochea vurugu afrika wakiofia kama tutapata nguvu na maendeleo tunaweza kuwafanyia visasi vya utumwa ama kuwatawala, Thats is true lazima watatawaliwa tena, japo itachukuwa muda.
Tuamkeni jamn ifike mahala tuanze kujiamni sisi wenyewe na tuwafunze watoto zetu elimu iliyo sahihi na sio huo uchafu wa mashuleni.