Congo wagundua mawe yenye umeme, tutarajie ugomvi zaidi?

Congo wagundua mawe yenye umeme, tutarajie ugomvi zaidi?

Hilo ni bonge la utajiri
Utajiri pekee ni kuwekeza kwenye elimu mkuu, hivi unajau fano Marekani anapiga pesa kaisi gani kupitai zile Copy right za makampuni yake mfano Cocacola, na wakina Peps na wengineo? Africa tunadanganywa ba madini na hatutaki kuwekeza kwenye elimu
 
Congo imebarikiwa sana, nchi ina kila kitu cha thamani, matokeo yake maliasili walizojaliwa na Mungu zimewafanya raia wake kuishi maisha mabaya, zimegeuka laana kwao, badala ya baraka..

Ajabu sana.

Nilisikia pia wana madini yanayotumika kutengeneza simu za mkononi/ vifaa vyake, hapo weka pembeni almasi, dhahabu, na madini mengine.
Thamani ipi? Wekezeni kwenye elimu, Dunia isha shift sana,
 
NASA wa maji matitu nawaangalia tu! Tulikua tuna tafuta kitu kama hicho kitusaidie kutengeneza engine ambayo itazalisha energy ambayo ni infinity ili chombo tutakacho funga hiyo engine ki accelerate to speed of light then booom![emoji2962]
 
Zeruzeru mbeba lawama tu,mbona congo pande zingine zipo shwali tu
Mkuu anabeba tu, lakini hawa weupe hawa hawatalala mpaka afrika ibali tambarare bila kitu hapo bado hawajaamua kuja kuiishi.
 
A unique characteristic of tourmaline is its ability to produce and hold an electric charge when heated, or physically stressed or squeezed. These characteristics are referred to as pyroelectric and piezoelectric, respectively. This is why tourmaline is also known as “the electric stone.”

Ni vitu vya kawaida hivi
Kama ni kawaida mbona hujawahi kutuhadithia. Acha uzushi
 
A unique characteristic of tourmaline is its ability to produce and hold an electric charge when heated, or physically stressed or squeezed. These characteristics are referred to as pyroelectric and piezoelectric, respectively. This is why tourmaline is also known as “the electric stone.”

Ni vitu vya kawaida hivi
Inabidi tushangae hata copper wires sababu tukipitisha sumaku perpendicular tunapata umeme; yaani hata dynamos zote, na kule kwenye Bwawa la Nyerere ndicho kitakachofanyika (na ni the most efficient ndio maana inatumika kila kona)..., au tushangae battery au capacitors zinazohifadhi nishati
 
Elimu, Elimu, Elimu mkuu.
 
Badili title ya thread tafadhali! Hawajagundua bali wameokota! Huyo anayeonekana kwenye video kagundua kweli? KUGUNDUA is not a simple action that even Tommy and Jerry can perform.
Huwa Nashangaa hata kwenye history unaambiwa eti mlima/ziwa Xx liligunduliwa na mtu wakati lilikuwepo tu before yeye kwenda au kupita hapo.
 
Maskini ya lithium yapo huko DRC miaka Mingi tuu ,walichogundua hao ni kwamba ni ya kuokota yaani ingekuwa Mgodi wangesema open mines👇
 
Back
Top Bottom