F16 Falcon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 750
- 1,645
Duh halafu mtu unlalaje gizani kwa mfano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hiliMatapeli hao.
Badili title ya thread tafadhali! Hawajagundua bali wameokota! Huyo anayeonekana kwenye video kagundua kweli? KUGUNDUA is not a simple action that even Tommy and Jerry can perform.
Asante mkuu hapa Mimi nimekuelewa umeleza kisayansi zaidi, well notedA unique characteristic of tourmaline is its ability to produce and hold an electric charge when heated, or physically stressed or squeezed. These characteristics are referred to as pyroelectric and piezoelectric, respectively. This is why tourmaline is also known as “the electric stone.”
Ni vitu vya kawaida hivi
Kweli mkuu ameokota mawe kwenye nyuma ya nyumban yake akawa anayachezea km walivyokua wanachezea Tanzanite kule kwa wale masaiBadili title ya thread tafadhali! Hawajagundua bali wameokota! Huyo anayeonekana kwenye video kagundua kweli? KUGUNDUA is not a simple action that even Tommy and Jerry can perform.
Hayo mawe nasikia yapo hata nchi za uko mbali sio kwamba ndio yamegunduliwa au yameokotwa hapo kwa mara ya kwanza,Mkombozi wa betry umepatikana
Nikiangalia yale magofu ya kuku wa Zabanga nachoka kabisa ule utajiri wote wameuacha uozee pale kweli?Nilisikia pia wana madini yanayotumika kutengeneza simu za mkononi/ vifaa vyake, hapo weka pembeni almasi, dhahabu, na madini mengine.
Hii ni habari njema, ngoja wanasayansi waje watupe maelezo
Congo patakuwa na Amani siku ambayo Rasilimali zote zitakuwa zimekwisha chukuliwa na wanyonyaji and not otherwise
DRC a blessed Palace of maulana, itakata kiu na shida za umeme duniani, Kagame akisikia hili mate yatamtoka! /
TSHEKED ASIMAME IMARA!
Hii inaonyesha yakuwa dunia bado ina mengi ambayo ayajagunduliwa pengine vyote vilivyogunduliwa ni roho tu.
Nawaonea huruma waKongo, nchi iliyobarikiwa sana na Mungu lakini majizi yameamua kuivuruga na mkongo asinufaike hata kidogo.
faller wewe . hujui hata tatizo ambalo lipo Congo. unaleta mahaba ya kishamba. Tusipangiane cha kupost ma.ku weweNa wewe nawe ushindwe kuinenea nchi ya mwafrika mwenzio mambo ya negative
Hivi hujui kama mdomo unaumba!
Basi nami nakwambia wewe na ukoo wako mtakuwa masikini wa kuombaomba maishani mwenu yote walahi [emoji35]
Idiot [emoji35]
Kumbe sio siku wakiwekeza kwenye elimu?Congo patakuwa na Amani siku ambayo Rasilimali zote zitakuwa zimekwisha chukuliwa na wanyonyaji and not otherwise