Congo wagundua mawe yenye umeme, tutarajie ugomvi zaidi?

Hilo ni bonge la utajiri
Utajiri pekee ni kuwekeza kwenye elimu mkuu, hivi unajau fano Marekani anapiga pesa kaisi gani kupitai zile Copy right za makampuni yake mfano Cocacola, na wakina Peps na wengineo? Africa tunadanganywa ba madini na hatutaki kuwekeza kwenye elimu
 
Thamani ipi? Wekezeni kwenye elimu, Dunia isha shift sana,
 
NASA wa maji matitu nawaangalia tu! Tulikua tuna tafuta kitu kama hicho kitusaidie kutengeneza engine ambayo itazalisha energy ambayo ni infinity ili chombo tutakacho funga hiyo engine ki accelerate to speed of light then booom![emoji2962]
 
Zeruzeru mbeba lawama tu,mbona congo pande zingine zipo shwali tu
Mkuu anabeba tu, lakini hawa weupe hawa hawatalala mpaka afrika ibali tambarare bila kitu hapo bado hawajaamua kuja kuiishi.
 
Kama ni kawaida mbona hujawahi kutuhadithia. Acha uzushi
 
Inabidi tushangae hata copper wires sababu tukipitisha sumaku perpendicular tunapata umeme; yaani hata dynamos zote, na kule kwenye Bwawa la Nyerere ndicho kitakachofanyika (na ni the most efficient ndio maana inatumika kila kona)..., au tushangae battery au capacitors zinazohifadhi nishati
 
Elimu, Elimu, Elimu mkuu.
 
Badili title ya thread tafadhali! Hawajagundua bali wameokota! Huyo anayeonekana kwenye video kagundua kweli? KUGUNDUA is not a simple action that even Tommy and Jerry can perform.
Huwa Nashangaa hata kwenye history unaambiwa eti mlima/ziwa Xx liligunduliwa na mtu wakati lilikuwepo tu before yeye kwenda au kupita hapo.
 
Maskini ya lithium yapo huko DRC miaka Mingi tuu ,walichogundua hao ni kwamba ni ya kuokota yaani ingekuwa Mgodi wangesema open mines👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…