Congo wagundua mawe yenye umeme, tutarajie ugomvi zaidi?

Wenzenu wanawekeza kwenye elimu, na sayansi ndio inalipa sana kwa sasa, Unajua Wanaingiza pesa ngapi kwenye maswala ya Sayansi? Endeleeni kusema utajiri
 
UUMBAJI WA MUNGU UNAZIDI KUTAMALAKI.

MSIO AMINI MUAMINI MUNGU NA MWANAE YESU KRISTO
 
Tourmaline zote hata hizi zinazopatikana Mererani?
 
Siyo rahis kihivyo unavyodhani.
 
Uwani kwako si yapo, sawa
Hata kwako yatakuwepo effect kama ni effect ya piezoelectric hata some plastics materials ukizi-deform au kuwa stressed zinaproduce piezoelectric ingawa efficiency yake ni minor....

What mineral has piezoelectric effect?

Some naturally piezoelectric occurring materials include Berlinite (structurally identical to quartz), cane sugar, quartz, Rochelle salt, topaz, tourmaline, and bone (dry bone exhibits some piezoelectric properties due to the apatite crystals, and the piezoelectric effect is generally thought to act as a biological ...



By the way sijaangalia hio clip kama kuna kitu wanafanya kwenye hivyo vitu mechanical deformation au kulipa jiwe stress itakuwa sio phenomena ya ajabu ila kama wamechukua tu jiwe na likawa kama battery kwa kuweka led light itakuwa ni uongo after all Youtube imejaa scams kila kona na uongo wa hali ya juu.... (Energy can never be created not destroyed)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…