Copa America 2024 in USA


asilimia 90% ya mashabiki wa messi inavyosemekana wanafungia kwetu, tabia zao hazina tofauti na mashoga na machawa
 
asilimia 90% ya mashabiki wa messi inavyosemekana wanafungia kwetu, tabia zao hazina tofauti na mashoga na machawa
Natambua sana mental derangement uliyonayo kwa sikushangai kwa hii comment.

Amini ipo siku utapona japo itachukua muda mrefu sana
 
Ni masaa 5 tu yaliyosalia tuone kipute kilichomfanya Messi akalia kama mtoto mdogo kikirudiwa pale Metlife.... kabla hajaenda kubadilisha kabisa international career yake miaka 5 baadae.
 
Tumewakaanga

Arg 1-0 Chile, FT

Lautaro⚽️

BALL POSSESSION
ARGENTINA 61
CHILE 39
Ila mechi ilikuwa inatisha sana hata kuingalia, yaani mwanzo mwisho ni jihadi tu halafu na refa nae ni kama aliamua awaache wacheze wanvyotaka.... wewe fouls 23 halafu ametoa kadi za njano 2 tu, Depaul licha ya kutaka kumvunja mguu mwenzie hajapewa hata kadi
 
Amerika ya kusini hiyo babaa, ukipigwa inuka endelea na mpira hamna kulialia, ukicheza na de paul, romero, paredes na montiel tegemea kulambwa muda wote, hawakuachi ulete madhara πŸ˜„ wako vizuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…