1st goal---Julian Alvarez
2nd goal--- Lautaro Martinez(🎯GOAT assist)
mbuzi gani aliekosa nafasi 3 za wazi akiwa na kipa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1st goal---Julian Alvarez
2nd goal--- Lautaro Martinez(🎯GOAT assist)
Kwanini mwenyeji hajaanza akaanza Argentina,wogaa merikaniiiiii?
Hata hii euro, na mechi nyingi za ligi epl,na ndugu zake kuna watu wanazicheki mida mibovu kama hiyo na wengine unakuta mtu saa 2 asubuhi anatakiwa acheki mpira, next worldcup tunaenda kuadhibiwa, mimi hii copa america ntacheki fainali. Na mechi nyingine labda argentina na brazil wakikutana kati hapo nayo ntachekiUSA vs Bolivia saa 7 usiku
Uruguay vs Panama saa 10 usiku.
Hawa jamaa naona waliamua kutoangalia pande zingine za dunia.
😂Mechi zao aiseee muda huo hata uume umeshalala
😂Argentina wins kwa odd ya 1.3 weka million upate laki tatu
😂Mechi zao aiseee muda huo hata uume umeshalala
Haters wa Messi mnaweweseka sana miaka ya hivi karibuni..... na pia uchunguzi usiokuwa rasimi unaonesha kuwa wengi wenu bado hamjarudi kwenye utimamu wenu tangu 18/12/2022....Hili kombe ni Takataka, halina tofauti na ndondo cup
Unaweka alarm kabisa ?Game saa 9 usiku. Nitatafuta siku moja nimuone LA pulga
Alfajiri ya kesho tarehe 26/june Argentina atakipiga na Chile kwenye michuano ya Copa America inayoendelea huko Marekani kwenye uwanja wa Metlife huko New Jersey.
Cha kusisimua zaidi kwenye huu mtanange ni kumbu kumbu iliyopo kwenye michuano ya Copa America iliyofanyika mwaka 2016.
Timu hizi mbili zilikutana kwenye fainali ya 2016 ambapo Chile alokuwa ni bingwa mtetezi mnamo tarehe 27/june katika uwanja huu huu wa Metlife na majira yale yale ya saa 10 alfajiri.... ni fainali ambayo iliamuliwa kwa mikwaju ya penalty na Messi akiwa ni moja ya wachezaji walikosa penalty kwa upande wa Argentina na muacha na maumivu makali mno mpaka kumpelekea kustaafu kabla hajatengua maamuzi yake.
Kesho timu hizi zinakutana huku Argentina akiwa ni bingwa mtetezi kama ilivyokuwa kwa Chile kipindi kile.
Ngoja tusibiri nini kitatokea, ila itkuwa ni mechi ya kukata na Mundu.
Na bado hajakutana na Colombia au paraguay 😄Brazil kabanwa mbavu na costa rica. Inaanza kumuweka katika hali ngumu.