- Thread starter
- #21
Siamini katika barakoa .
Maana huko ulaya na marekani kwenye viwanda vya barakoa NDIPO ugonjwa umeweka mizizi.barakoa zimewasaidia nini?
Kuweka mizizi bila shaka una maana kuwa na wagonjwa na vifo vingi.
Kama ni hivyo jombi umelingamisha takwimu zipi, za nani na nani hatimaye kuliona hili unalolisema wewe?