Corona: Dar es Salaam Wananchi wafanya kweli. Hongereni sana

Corona: Dar es Salaam Wananchi wafanya kweli. Hongereni sana

Hanna kituE="Slowly, post: 38009446, member: 374329"]
Dar barakoa kama kawa , mji umestarabika Sana huu , mkoani watu wanaishi kama kondoo
[/QUOTE]
Hamna kitu watu wanavaa bado hawanawi maji t
 
Asante mkuu! Mambo yote uliyo wasilisha ni muhimu na mazuri, kasoro ni ndogo tu! Nashauri kwamba hakuna haja ya kusema hongera wanaume a wanawake wa Dar! Ungesema tu hongera watu wa Dar! Maneno ‘wanaume wa Dar’ yana ukakasi kidogo! 🙏🙏 Heshima kwako!

Ninakusoma mkuu. Ila kwa hapa jitihada zao binafsi za kuonyesha njia haziwezi kudunishwa.

Kwa hakika kwa hili, kongole nyingi sana kwao.

Wale wa mikoani na tushindwe wenyewe kwani hata bila hamasa zao mbona tunaweza sana.

Wasipojiangalia mbona watapwelewa?

 
Wafuasi wa CHAMA CHA MAZEZETA wanaendelea kusisitiza HAMNA COVID-19, kunyweni juice ya tangawizi inaua virusi.
Wanasayansi wa kweli wako maabara yanatafuta chanjo na tiba ya kuaminika.

Maprofesa wetu na madaktari wetu wao wako busy na trip za sokoni, jikoni wakisaga chuisi ya pilipili,malimao, tangawizi na vitunguu saumu.

Dona kantreee.
Au nadanganya ndugu zangu?
Ajabu huko unakodai kwenye Wanasayansi wa ukweli Covid-19 imepiga balaa.
 
Kinga kubwa ni kutosalimiana kwa mkono na kunawa mikono kwa bidii kubwa kwa husaidia kupunguza hata maambukizi ya magonjwa mengine kama mafua ya kawaida UTI magonjwa ya ngozi na mengineyo
 
Mabibi na Mabwana hapa ni Dar katika mapambano dhidi ya Corona.

Kwa hakika hawa wameonyesha njia kwani hizi ni jitihada binafsi baada ya kutambua ugonjwa huu upo na biashara ni asubuhi.

Kama vifaranga vya kuku vile kwa hakika hawa wana chakura kivyao kivyao:

View attachment 1693734

Wa mikoa mingine zingatieni. Mkisubiri kupatiwa maelekezo kwa mwendo uliopo yanaweza yasipatikane:

View attachment 1693744

Dar wameonyesha njia katika namna ambayo kama wangekuwa kwenye kile kikao na yule mkurugenzi, wasingekubali kuamrishwa kuzivua.

Kongole kwenu wanaume na wanawake wa Dar. Kwa hakika mu wa kupigiwa mfano.

Ninawasilisha.



wacheni kutukuza huu ugonjwa, truth be told corona isnt serious compared to other diseases,there are people who should take this disease very serious but sio mass population especially below 40 yrs
 
Ajabu huko unakodai kwenye Wanasayansi wa ukweli Covid-19 imepiga balaa.
Hata huko kwa Tanzania kwa wabishi napo covid imepiga balaa lakini kwa kuwa hakuna takwimu imekuwa rahisi kusingizia marehemu kuwa wamekufa kwa Nimonia na magonjwa mengine licha ya corona kuchakaza balaa
 
wacheni kutukuza huu ugonjwa, truth be told corona isnt serious compared to other diseases,there are people who should take this disease very serious but sio mass population especially below 40 yrs
Kwako haijafika siku ukifa wewe ndugu zako watakuwa shahidi na ndiyo utakuwa mwisho wako kuandika haya uliyoyaandika
 
Tanzania Ugonjwa upo lakini wabishi wanadai haupo kwa kuwa hawajafa ama kuugua lakini wakumbuke kuwa corona haibishi hodi mda saa yeyote itawatembelea wabishi wote na ndiyo utakuwa mwisho wao
 
Kwako haijafika siku ukifa wewe ndugu zako watakuwa shahidi na ndiyo utakuwa mwisho wako kuandika haya uliyoyaandika

sio makosa yako dogo, ungesoma kwa bidii ungeelimika for the remaining time endelea tu ulivo
 
Huyu mleta mada nahisi ana mimba na inamsababishia kuiwaza CORONA 24/7. Kila akikaa anawaza Corona tu.
Na wewe utakuwa na mimba yake mana muda wote wamfatilia mleta mada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Barakoa hawezi zuia Corona, Corona inaua na hakuna mwanadamu atakaye ishi milele mtakufa na Barakoa zenu mdomoni.

Dawa ya Corona ni kuacha dhambi, walokole mtanielewa vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dahhh sijui tukulaumu akili zako au mitala ya elimu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom