Corona: Dar es Salaam Wananchi wafanya kweli. Hongereni sana

Ni kweli giza likizidi ujue pambazuko limekaribia

Kwa hakika haujakosea bwana bujibuji. Fikiria ngedere anayechezea Bomu la kutupa kwa mkono ambalo ki pin cha usalama kimekwisha chomolewa.

"Just a matter of time." Asema Beberu.

Mwaka huu, kazi ipo. Kwa mwendo huu 2022 (si yetu) is untenable!
 
Tanzania Ugonjwa upo lakini wabishi wanadai haupo kwa kuwa hawajafa ama kuugua lakini wakumbuke kuwa corona haibishi hodi mda saa yeyote itawatembelea wabishi wote na ndiyo utakuwa mwisho wao
Tatizo huku mtaani huwezi kutofauti ni nani mbishi na nani si mbishi wote kiuhalisia wanaishi kama vile hakuna corona ila kinadharia ndio hutofautiana.
 
Mbona sielewi mnazungumzia Dar ipi?

I'm little bit confused [emoji848]
Mkuu kuna watu humu sio kwamba tu hawapo Dar bali wapo nje ya nchi kabisa hawaelewi kinachoendelea huku nchini,leo jioni nimepanda daladala limejaza ila nimemuona mtu mmoja tu kavaa barakoa yake ya kitambaa katika watu wote mule kwenye daladala na huko barabarani hao wavaa barakoa unaweza ukawahesabu. Sasa hata mie Dar ipi inayozungumziwa hapa?
 
Inabidi mtoa mada awe specific.

Anazungumzia maeneo gani.
 
Ukikataa "misongamano" huwezi kukataa "lockdown."

Ili usinielewe vibaya, mimi sio 'proponent' wa 'Lockdown', lakini ninakubaliana na njia nyingi zinazoweza kupunguza maambukizi, kama matumizi ya barakoa, n.k..
Tupo pamoja katika hili.Wale wanaokataa uwepp wa huu ugonjwa huu na wanaopigia debe matumizi ya ndimu na vitunguu bado sijawaelewa bado kwa kweli
 
Hakuna ushahidi wowote wa kisayansi unaothibitisha barakoa zinazuia CORONA. Wanacho Fanya hao ni kujifariji kuwa wanajilinda lakini hakuna kitu hapo.
Mkuu unajua kuliko dunia yote?
 
Huyu mleta mada nahisi ana mimba na inamsababishia kuiwaza CORONA 24/7. Kila akikaa anawaza Corona tu.

Leo hii Dar:

1. Zaidi ya 90% ya wsombolezaji kwenye msiba mmoja wanakuwa wamevaa barakoa,
2. Kuhudhuria misibani si dili tena,
3. Kufungua majeneza kwa ajili ya heshima za mwisho kwa waliotangulia kwa changamoto za kupumua kunazidi kupotea,
4. Matumizi ya microphone kwa ajili ya matangazo misibani kunazidi kupungua.
5. Waombolezaji kujipa nafasi kati ya mtu na mtu misibani ni kwa dhahiri mno sasa,
6. Nk.

Yote haya ni kupitia katika jitihada binafsi na kujifunza in a really hard way.

"Waungwana walimtambua yeye aisifuye mvua!"

Hadi hapo mwenye mimba uliyemwongelea hapo haina shaka kuwa ni wewe na wapuuzi wote wanaoweza kukushabikia wewe na upumbavu wako.

Au nasema uongo ndugu?
 
Wewe ni fala tu, maisha yanaendelea kama kawaida. Mpaka utakapokufa wewe tukawa hatukuoni JF ndo nitaiona tishio. Unaonekana huna kitu cha kukufanya uwe bize zaidi ya kuiwaza Corona. Kama ni demu sawa. Ila Kama mwanaume huko mbeleni una wakati mgumu sana.
 
Fala ni wewe jombi.

Katika mafala kwa hakika hayuko anayekuzidi.

Kwa lugha rahisi katika mafala wewe ni baba lao!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Vipi Corona imefikia wapi huko!?
 
waji lockdown kivipi, hawa watu maisha yenyewe ya kutafuta daily na hata akiamua lockdown nyumba zenyewe watu wanaishi 40 nyumba moja vyoo vya foleni kwa hatua hii naunga mkono vaa mask jaribu social distance na nawa mikono basi mengine omba Mungu. Huu ugonjwa una siri kubwa kuna watu najuwa wamepata sio watu wa kutoka kabisa nje na sio hawatoki sababu ya corona kabla ya corona sio wa kutoka muda mwingi peke yao lakini wako Hosp. tuchukuwe tahadhari tu zote lakini sio lockdown.
 
Wenzetu huko wamefanya zaidi ya hayo ya kunawa mikono kuvaa mask na social distance wao wameweka hadi lockdown ila bado inawasumbua sasa wewe mkuu ndio unadhani sie tukifanya hayo uliyosema ndio itasaidia?
 
Back
Top Bottom