Corona: Dar es Salaam Wananchi wafanya kweli. Hongereni sana

Hao jamaa ningewaona wanachukua tahadhali ya kweli kama wangejilockdown. Wanaswampa mitaani na misongamano yote hii kisa wamevaa barakoa?
Barakoa inasaidia hata hapa SA inaposumbua usipovaa barakoa unapigwa fine huna ya kulipa ndani hiyo na kuzingatia hivyo vipengele vimefanya kupunguza maambukizi kwa kipindi hiki...
 
Wenzetu huko wamefanya zaidi ya hayo ya kunawa mikono kuvaa mask na social distance wao wameweka hadi lockdown ila bado inawasumbua sasa wewe mkuu ndio unadhani sie tukifanya hayo uliyosema ndio itasaidia?
Na pia mnajidanganya kujifananisha na wenzenu wakati bongo kiwango cha unywaji pombe ni kidogo kuliko wao wao yakifungwa maduka ya pombe tuu ni lockdown tosha ya kupunguza msongamano mpaka wahuni wanabuni mbinu ya kuweka pombe kwenye Bonet ya gari na Wazee wanapiga msako na kuwakamata ili wakaonyeshe waliponunua ..unapinga uvaaji wa barakoa kweli ninyi kiboko
 
Kuna sehemu nimepinga uvaaji wa barakoa au hujanielewa tu mkuu? Nachohoji mie ni kwanini watu wanaamini kuwa tukifanya social distance,kuvaa barakoa na kunawa mikono ndio itatosha kupambana na corona wakati wenzetu wamefanya zaidi ya hapo na bado inawasumbua?
 
Inasaidia kupunguza Mkuu Ila Kama unamini hivyo wanafanya vyote na hakuna tofauti yeyote watu wanasumbuka tuu endelea kuamini hivyo...
 
Sizungumzii kuamini bali nahoji hapa,sawa inasaidia kwa maana tunadai kwamba wasingefanya hivyo hali ingekuwa mbaya zaidi. Sasa kama wao ni hali hiyo je sisi ambao hatutaki hata hiyo lockdown hali itakuaje ikiwa wenzetu wameweka hadi hiyo lockdown ila tunaona imefanya hali isiwe mbaya zaidi kwa maana hali sasa bado mbaya?
 
Kuna sehemu nimepinga uvaaji wa barakoa au hujanielewa tu mkuu? Nachohoji mie ni kwanini watu wanaamini kuwa tukifanya social distance,kuvaa barakoa na kunawa mikono ndio itatosha kupambana na corona wakati wenzetu wamefanya zaidi ya hapo na bado inawasumbua?
Hizo hatua zinapunguza kasi ya maambukizi, na vifo. Kuna familia zimeteketea kwa sababu ya kutokuchukua hatua za kutosha pale walipopata wagonjwa wa corona, unakuta mtu mmoja kalazwa ukoo karibis unaenda kumtembelea. Akifariki wote wanasafiri kumzika, wakirudi mmoja mmoja anaanza kuugua, na wengine wanakata moto. Halafu wale waliosalia bila maambukizi wanaenda tena kuzika na kurudi huku wanaumwa. Ni kama kamchezo fulani kakupunguza idadi ya watu kwenye ukoo.

Ila kwa kuwa sisi tunaona kuchukua hatua thabiti za kupambana na huu ugonjwa ni gharama basi tuache tuendelee na maisha kama kawaida, hayo maambukizi yatapita tu na muda wale watakaobaki wataendelea na maisha.
 
Wenzetu huko wamefanya zaidi ya hayo ya kunawa mikono kuvaa mask na social distance wao wameweka hadi lockdown ila bado inawasumbua sasa wewe mkuu ndio unadhani sie tukifanya hayo uliyosema ndio itasaidia?
Sio mimi ninayesema ni wataalamu wa afya mimi nafuata maelekezo tu kwa wanye taaluma. ndio kwa maoni yangu inasaidia hawajasema unazuia kabisa ila inasaidia. wamesema wasingefanya au kuchukuwa hatua hizo hali ndio ingekuwa balaa zaidi hii imepunguza.
 
Ndio nauliza sasa kwamba kama wenzetu wameweka hadi lockdown ila matokeo ndio imesaidia tu kupunguza je sie ambao hatuweki lockdown unadhani hali itakuaje? kwa sababu naona watu humu wanasema tusiweke lockdown kwamba tuvae barakoa tu barakoa,tunawe mikono na social distance.
 
Hizo hatua zinapunguza kasi ya maambukizi, na vifo. Kuna familia zimeteketea kwa sababu ya kutokuchukua hatua za kutosha pale walipopata wagonjwa wa corona, unakuta mtu mmoja kalazwa ukoo karibis unaenda kumtembelea. Akifariki wote wanasafiri kumzika, wakirudi mmoja mmoja anaanza kuugua, na wengine wanakata moto. Halafu wale waliosalia bila maambukizi wanaenda tena kuzika na kurudi huku wanaumwa. Ni kama kamchezo fulani kakupunguza idadi ya watu kwenye ukoo.

Ila kwa kuwa sisi tunaona kuchukua hatua thabiti za kupambana na huu ugonjwa ni gharama basi tuache tuendelee na maisha kama kawaida, hayo maambukizi yatapita tu na muda wale watakaobaki wataendelea na maisha.
Nachouliza mie ni kwamba wenzetu wameweka hadi lockdown ila imesaidia tu ila hali bado mbaya sasa sie ambao hatutaki lockdown unadhani hali itakuaje?
 
He
Hao jamaa ningewaona wanachukua tahadhali ya kweli kama wangejilockdown. Wanaswampa mitaani na misongamano yote hii kisa wamevaa barakoa?
Heri ya nusu shari kuliko shari kamili
 
Nachouliza mie ni kwamba wenzetu wameweka hadi lockdown ila imesaidia tu ila hali bado mbaya sasa sie ambao hatutaki lockdown unadhani hali itakuaje?
Mpaka sasa hatujawahi kuweka lockdown, wewe mwenyewe unaweza kutathmini hali ipoje !
Lockdown sio njia pekee ya kupambana na corona, sisi tumeamua kuufanyia huu ugonjwa mzaha na kuupuuza. Wapo wanaoumizwa sana na maamuzi haya na wapo wanaofurahia, ukiwa hujaguswa basi mshukuru Mungu.
 
Ndio nauliza sasa kwamba kama wenzetu wameweka hadi lockdown ila matokeo ndio imesaidia tu kupunguza je sie ambao hatuweki lockdown unadhani hali itakuaje? kwa sababu naona watu humu wanasema tusiweke lockdown kwamba tuvae barakoa tu barakoa,tunawe mikono na social distance.
Nimekuelewa, nchi nyingi hakuna lockdown ila kuna partial kuna mambo wamekataza kama sherehe, mikusanyiko hata mipirani na nchi zingine shule bado ila hawajafunga kabisa. ila sheria wameweka kuhusu barakoa(sio hiyari) lazima kuvaa na sheria ndogo ndogo zenye fine ukionekana unavunja. Sisi corona inawapiga wengi sana ila wengi madhara ya mbali ila inawapitia mpaka wanafunzi wengi tu na wako imewaondoa na wengine wanapigania maisha yao. Nadhani siasa zetu heard immunity wacha waague 1000 wafe 20 maisha yaende, ni makosa kabisa lakini hatuna la kufanya uzuri watu wanaanza kuchukuwa hatua wenyewe kuvaa barakoa sasa imagine serikali ingesisitiza tu watu wangefuata sababu wanaona hali mbaya na wanazika mitaani daily.
 
Back
Top Bottom