Siamini katika barakoa .
Maana huko ulaya na marekani kwenye viwanda vya barakoa NDIPO ugonjwa umeweka mizizi.barakoa zimewasaidia nini?
Kuweka mizizi bila shaka una maana kuwa na wagonjwa na vifo vingi.
Kama ni hivyo jombi umelingamisha takwimu zipi kuliona unalolisema
ni yeye aliyewaambia mshone mvae,ila kwa sababu mnapenda kuwashwa mmeshasahau.Nilihudhuria mazishi K’Njaro watu wote zaidi ya 1500 walikuwa kwenye barakoa. Ifike mahali tumwondoe dikteta.
Za Tanzania nazo zimo humo? Wajuaje za Tanzania kuwa zina unafuu?
Bila za kuwa na za Tanzania huoni kuwa unaweza kuwa unalinganisha kuku wawili dhidi ya bata wawili?
Elimu yako tafadhali, kama hautajali mkuu.
Siamini ninachokisoma toka kwa Mjinga mimi. Wewe usivae ila wenzio waache wavae.Siamini katika barakoa .
Maana huko ulaya na marekani kwenye viwanda vya barakoa NDIPO ugonjwa umeweka mizizi.barakoa zimewasaidia nini?
Kipindi hiki hawahimizi mtu kwani wanataka watu wafe kwa wingi ili WHO watoe pesa ndefu ya kupambana na Corona wazitumie kujengea Reli ambayo ujenzi wake unasuasua kwa ukata mkubwaTangu maambukizi ya Kwanza kabisa Hadi leo hakuna tamko lolote la Serikali kuzuia watu kuchukua hatua za kujilinda na Corona
Kweli wewe Ni mjinga.Siamini katika barakoa .
Maana huko ulaya na marekani kwenye viwanda vya barakoa NDIPO ugonjwa umeweka mizizi.barakoa zimewasaidia nini?
Hata dawa za maralia hazina uthibitisho ndiyo maana ukiugua na kupewa Dawa unaambiwa baada ya siku saba ukapime tena, Kupiga nyungu kuna ushahidi upi wa kisayansi? Kula limau tangawizi kuna ushahidi upi wa kisayansi? Fanya utafiti wako binafsi mtafute mtu anaumwa mafua makali shinda nae siku nzima ukiwa umevaa Barakoa uone kama utaambukizwa mafua , acha kutumatuma watu kukufanyia utafiti fanya mwenyewe ujilizishe pasipo shakaHakuna ushahidi wowote wa kisayansi unaothibitisha barakoa zinazuia CORONA. Wanacho Fanya hao ni kujifariji kuwa wanajilinda lakini hakuna kitu hapo.
Hapo ulipo unaweza kukuta huamini kama kichwani mwako una Ubongo, kwani ulaya kutengeneza Ndege magari Train hazipati ajali? Wanapata ajali licha ya wao kuvitengeneza hivyo vyote, Ulaya America hutoa misaada Africa licha ya kwao kumiliki wananchi masikini wengi, Kutengeneza barakoa siyo kigezo cha kukosa wagonjwa kwao, endelea kutoamini kuwa wewe ni mtu pia.Siamini katika barakoa .
Maana huko ulaya na marekani kwenye viwanda vya barakoa NDIPO ugonjwa umeweka mizizi.barakoa zimewasaidia nini?
Umetafuta ushahidi wapi kabla ya kuja hapa na hitimisho la kipuuzi namna hiyo. Au ulikwenda kuutafuta kwenye 'library' za CCM?Hakuna ushahidi wowote wa kisayansi unaothibitisha barakoa zinazuia CORONA. Wanacho Fanya hao ni kujifariji kuwa wanajilinda lakini hakuna kitu hapo.
Wanaziwinda pesa za WHO ndiyo maana hawataki watanzania kuvaa barakoa kupaka vitakasa mikono wala kuzuia salam za mikono ambazo ni kichocheo cha maambukizi.Tamko lao rasmi hili hapa:
Corona haipo, corona ilikwisha, aaaah aah ipo kidogo tu.
Zunguka mtaani uone watanzania wanavyoishi na coronaa
Ha ha ha ha ha wanaccm hawataki kuvaa barakoa eti mpaka waone polepole kaivaa ndipo na wao watavaaUmetafuta ushahidi wapi kabla ya kuja hapa na hitimisho la kipuuzi namna hiyo. Au ulikwenda kuutafuta kwenye 'library' za CCM?
Hao jamaa ningewaona wanachukua tahadhali ya kweli kama wangejilockdown. Wanaswampa mitaani na misongamano yote hii kisa wamevaa barakoa?
ukijilockdown peke yako utapata shida zaidi; lockdown ikiwekwa na serikali, mbinu za kuwanusuru walio kwenye lockdown zinawekwa piaHao jamaa ningewaona wanachukua tahadhali ya kweli kama wangejilockdown. Wanaswampa mitaani na misongamano yote hii kisa wamevaa barakoa?
Ukikataa "misongamano" huwezi kukataa "lockdown."Siamini kama Lock down ni njia sahihi.Wala siamini njia sahihi ni dawa za kujifukiza na miti shamba.Katika maisha yetu ya umaskini kinga ni nbora kuliko tiba.Njia sahihi ya kupambana na ugonjwa huu ni barakoa, sanitaiza na kuepeuka misongamano.