Corona: Hatua mpya hii ya Jafo ni ya kuigwa

Barakoa ndio hatuvai hata kwa viboko na kwenye mikusanyiko siachi kwenda
 
LINAFIKI likubwa na wake 4
 
Jaffo ni mnafiki ,amesubiri mpaka JIWE aondoke ndio aanze kuvaa barakoa ,alaaniwe yeyote amtegemeaye binadamu.
 
Sasa mbona kawadanganya watz! yeye anavaa, watz wamejiachia
 
Hivi nyie kenge ni lini JPM alisema msivae barakoa?
Mbona mnalawama km watoto wakambo?
 
Ahaa wapi your lier.
Mwamba hawezi kufa na kagonjwa kadogo hivi.ila sikukatazi kuamini unavyoamini..
Mimi bado nafata nyungu,malimao na tangawizi bado nipo na magu kwa msimamo.
KIFO NI AHADI.
Si ndo kamempeleka mavumbini
 
Hahaha aaaa ![emoji3] Eti mpiga nyungu mubobezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…