Corona: Hatua mpya hii ya Jafo ni ya kuigwa

Kimya kimya🎶🎶
 
I predict after two weeks watendaji wote serikalini watavaa barakoa.
na wakati huo baada ya hizo wiki mbili wako hoi victims,ila vip kuvaa barakoa c watakuwa wamepingana na itikadi ya marehemu ya kuikabili corona sababu wenyewe wanasena tutayaenzi yote yale ya marehemu aliyotuachia
 
Nashauri wenye msimamo wa Nyungu wapige nyungu na wa titi flani tu hivi kama la Mwanamke waendelee kuvaa titi
 
Nimezungumzia duniani..
Hata hivyo tumuache mama samia mwenyewe ataamua.
Ikimpendeza atatangaza iwe lazma kuvaa.
Takwamu unapozivuruga makusudi hapa nchini ni kwa Taifa ya nani?
 
Huyu si ndio alikuwa kiongozi wa season za Nyungu huyu?mbona alikuwa havai wakati Magu yupo
 
COVID aijifichi Magufuli angekuwa kaondoka nayo mama Janet sasa hivi incubation period ishapita na yeye angekuwa anaugua hata kijihoma sio kama anavyoonekana pubic mzima vile. Akili za kuambiwa changanya na zako

Jaffo anayake tu na mleta mada nae jamani apelekwe hata Nairobi kupewa chanjo maana mwenzetu akilala akiamka yeye ni kuogopa corona tu. Huyu jamaa akipata COVID kitakacho mdhuru zaidi sio vijidudu bali pressure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…