macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Unajua hata rais Samia amejikuta kwenye wakati mgumu sana. Anaona kuwa akivaa sasa hivi itaonekana wazi kuwa alikuwa anameogopa Magufuli na sasa anajisemea ''lile shetani limeondoka ngoja nivae sasa''. Itachukuwa muda lakini corona ikiendelea kuwepo watakuja kuvaa wote.I predict after two weeks watendaji wote serikalini watavaa barakoa.
Labda huko kwenu.
nipende kutoa pongez kwa mh jaf. nakumbuka hata mzee ahakukatza barakoa.na kama je ana mafua na anawakinga wengine??
amevaa hapo kuwakinga wengine kwa maaana alikua ana jiskia mafua mafua kwa kipindi hiki huend wanakosa usingiz kutokana na kuwa kwneye kamati ya msiba flu tu.ukiwa na flu vaa barakoa kuwakinga wenzio.
hongera mzee wa nyung
msiamini sanamu (barakoa) muamini mwenyezi MunguMabibi na mabwana kujifunza na kuchukua hatua bado ni jambo la kheri sana.
Pichani ni yule mpiga nyungu mbobezi:
View attachment 1732339
Kwamba anaisifia mvua? Ni wazi kuwa kuna jambo limemsibu.
Tusiwe ving'ang'anizi kama luba.
Heko Suleiman Jaffo kwa kutambua kuwa mabarakoa na social distancing vitatuvusha salama.
msiamini sanamu (barakoa) muamini mwenyezi Mungu
Philosophy: "Afe mmoja wengi wapone".Nyungu is gone with Magu. Sasa ni mwendo wa Barakoa, Majitiririka, sanitizer na Social distancing.
All the time science wins against politics .
Ninyi ndio mnajitoa akili.
We pumbavu kweli!Sina muda wa kubishana na wewe. Pengine kuchat ndo kazi yako kuu.
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
A big Ass. NakaziaAn ass..
Wa kusifu na kuabudu...
Just an Ass
USITISHE WATU-HOFU NA TAHARUKI ZINAUWA KULIKO CORONATuachane mzaha. We
Tuacheni mzaha na ugonjwa huu. Wafuatao wanaweza kutufaa sana katika kupambana na ugonjwa huu:
1. Suleiman Jaffo mpya.
2. Prof. Mwandosya
3. Mzee Kikwette
4. Anna Mghwira
5.
Bila mabarakoa na social distancing tutegemee kurejea Uhuru Stadium na labda hata Jamhuri hivi karibuni tena.
Mkuu sayansi nyingine hii hapaWaache waendelee kuwa wabishi watapukutika kama uwele! Sayansi haidanganyi, Corona is real and it kills.
Wabishi wote in wajinga
Akili zinawarudia mdogo mdogoMabibi na mabwana kujifunza na kuchukua hatua bado ni jambo la kheri sana.
Pichani ni yule mpiga nyungu mbobezi:
View attachment 1732339
Kwamba anaisifia mvua? Ni wazi kuwa kuna jambo limemsibu.
Tusiwe ving'ang'anizi kama luba.
Heko Suleiman Jaffo kwa kutambua kuwa mabarakoa na social distancing vitatuvusha salama.
Au watakuwa wamekata moto.I predict after two weeks watendaji wote serikalini watavaa barakoa.
Mzalamo halisi alimsuta Mangi hadi akapoteza fahamu,Tabora" mheshimiwa Rais nyungu kama kawaida na Jumatatu tunaaanza phase three kwa siku saba". Huyu ndiye Selemani Said Jafo akiyejaa wingi wa msamiati mdomoni lakini vitendo vichache. Hatutakiwi kupambana na kupingana na dunia bali kusikilizana na kushauriana nayo.
Hakuna mtu anataka kufaMkuu, hii ni kweli? Siyo Photoshop? Maana japo natarajia mengi yatabadilika, ila sio kwa kasi hivi...
Naye hii haitamuacha salama. Wote waliochezea uchaguzi hawatatoboaJafo, nakumbuka alivyosimamia UCHAFUZI wa serikali za mitaa 2019.