Tuonyeshe wagonjwa mnatuonyesha mitungi .
Wacheni maigizo
Kuna mwingine naye alizikwa kule Geita usisahau kumrushia mibaraka.Ubarikiwe mkuu maana umeamua kujitoa akili.
Kwenu gani?Huko kwetu wanaondoka acha kabisa
add the missing 'you'. idiot.Hii lugha ya malkia hii..?
Inachachafya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga ,ni zika zika tu.
Upumbavu wa nyokooo [emoji34][emoji34][emoji34]hivi tunavyoendelea kubishana bishana hivi ndiyo tunazidi kuendelea kuipaisha na kuivumisha pasipo kustahili
endeleeni na makorona yenu mimi hamtaniona tena nikijadili upumbavu huu
Haya ni masalia ya siasa za kijinga zilizoendelezwa na vichaa wa Mirembe, sasa wameanza wenyewe kusema hata vipimo vya mapapai ilikuwa ni ujinga. Huyu ngoja ifike kwenye familia yake ndio ataelewa. Watu wanafariki wao wanaleta utani. Walaaniwe wote.Mchana huu rafiki yangu tuliyesoma wote msingi na sekondari anazikwa makaburi ya kondo bahari beach kwa shida hizi hizi za covid.
Mleta uzi chunga sana uandishi wako wenye dharau.
Ulitaka watu wasifariki kwani hii dunia ni ya baba ako!?Watu wanafariki wao wanaleta utani.
Pole sana Miss Pablo, achana na wajinga wanaoabudu binadamu mwenzao. Wao waliposikia shujaa uchwara wao akisema hakuna Corona walikariri hivyo na huwezi kuwabadilisha mpaka wafe wao.Najisikia vibaya sana mtu akibeza hivi hapa tuna misiba mibichi kabisa hatujazika na kaka yangu yuko mloganzila saa hizi hata kupumua hawezi[emoji174][emoji174] please, musifanye mzaha mnatuumiza ndugu zenu. Acheni kejeli
Mnabishana na ZUZU kama hili?Hata mimi jana nilifariki kwa corona pia.
Mkuu asante sana. Inatia hasira mno. Masikitika sana itakuaje kuondoa hii mbegu mbaya hivi iliyopandwa kwa hawa viumbe.Pole sana Miss Pablo, achana na wajinga wanaoabudu binadamu mwenzao. Wao waliposikia shujaa uchwara wao akisema hakuna Corona walikariri hivyo na huwezi kuwabadilisha mpaka wafe wao.
Funga Safari uitafute ilipo mkuu usiwe unasikiliza ya vijiweni nenda hosptali huko watakupa hali halisi na mahali ilipo hiyo CoronaHey,
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.
Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani??
Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi.
Kiuhalisia huku Buza nilipo, hatujui hata maana ya corona. Achana na hayo maDELTA na manini nini mengine.
Tunajiachia vibaya sana. Hakuna cha barakoa wala sanitaiza. Na tuko fiti ajabu.
Haya makorona ya DELTA huwa nayasikia kwenye magazeti na majarida tu. Mtaani hakuna cha DELTA wala bibi yake na DELTA.
Sasa hawa wajuvi wa corona wanasemaje kuhusu hili? Hiyo DELTA iko wapi hasa hapa nchini?
Maana inawezekana mimi niko Buza huku, kumbe hiyo DELTA imejificha njombe!
Wananchi tunavurugwa. Mtaani hatuoni cha DELTA wala nini, lakini usiku kucha Televisheni zote zinazungumzia DELTA.
Which is which? Tuamini TV ama tuamini uhalisia tunaouona mtaani?
Mnatuchanganya mjue?
Ulitaka watu wasifariki kwani hii dunia ni ya baba ako!?
Kila siku watu wanafariki kwa magonjwa mbalimbali — Kisukari, Ukimwi, kansa, malaria, TB nk....
Wewe hata ukifa kwa kuumwa kinyeo utataka daktari asema umekufa kwa corona!
Acha ujuha.
Korana Sio ukurutu kua utawaona Wana upele mwingiHey,
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.
Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani??
Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi.
Kiuhalisia huku Buza nilipo, hatujui hata maana ya corona. Achana na hayo maDELTA na manini nini mengine.
Tunajiachia vibaya sana. Hakuna cha barakoa wala sanitaiza. Na tuko fiti ajabu.
Haya makorona ya DELTA huwa nayasikia kwenye magazeti na majarida tu. Mtaani hakuna cha DELTA wala bibi yake na DELTA.
Sasa hawa wajuvi wa corona wanasemaje kuhusu hili? Hiyo DELTA iko wapi hasa hapa nchini?
Maana inawezekana mimi niko Buza huku, kumbe hiyo DELTA imejificha njombe!
Wananchi tunavurugwa. Mtaani hatuoni cha DELTA wala nini, lakini usiku kucha Televisheni zote zinazungumzia DELTA.
Which is which? Tuamini TV ama tuamini uhalisia tunaouona mtaani?
Mnatuchanganya mjue?
Senge wee, unaumwa delta eeeh?Huyu shoga mnampa kiki za bure kwa kujibizana nae masuala ya kipumbavu. Muacheni na uzi wake. Siku corona ikimchukua mumewe ndio atajua hajui.