#COVID19 Corona iko maeneo gani Tanzania?

#COVID19 Corona iko maeneo gani Tanzania?

Ni sawa mkuu, Hata mimi nashangaa. Huku Mtaani maisha yapo normal ila ukisikiliza kauli za viongozi unaweza dhani hali ni ya kutisha. Nafikiri viongozi wanafanya hivyo kutufanya tuchukue tahadhari,ila kiuhalisia si kiiiivo!!!.Tuendelee kuva barakoa na kusanitaizi.
Hivi unaelewa maana ya mtaa au unataka kusema nyumba zako za jirani?

Je katika mtaa wako unarecord za watu wangapi wamekwenda hospital leo?

Tusiwe na hisia za kijinga jamani!!
 
Ukijibiwa humu utabisha ,nakushauri nenda mloganzila au wodi ya mwananyamaa ile Mh SSH alitoka nduki alipoambiwa kuna wagonjwa wa changamoto.
Wodi ya Mwananyamala kama umesikiliza vizuri ile clip hakusema ni kuwa ni wodi ya wagonjwa wa covid, alisema ni wodi ya wenye matatizo ya kupumua na Mama Samia alipouliza covid? akajibiwa ndio ila wale suspect.
 
Ukijibiwa humu utabisha ,nakushauri nenda mloganzila au wodi ya mwananyamaa ile Mh SSH alitoka nduki alipoambiwa kuna wagonjwa wa changamoto.
Wodi ya Mwananyamala kama umesikiliza vizuri ile clip hakusema ni kuwa ni wodi ya wagonjwa wa covid, alisema ni wodi ya wenye matatizo ya kupumua na Mama Samia alipouliza covid? akajibiwa ndio ila wale suspect. Ingekuwa ni wodi ya wagonjwa wa corona kabisa nadhani Rais angekuwa na taarifa kabla hajaenda.
 
Acha kulia lia bwana mdogo, ELEZA CORONA IKO WAPI?

Nyie wafuasi wa corona sijui mmekula maharage ya wapi?

Huku mtaani mbona hakuna hizo DELTA?

AMA?
mijitu mingine mnapata tabu kuijibu ndio hamna corona hata kama ipo sisi tutakusaidia nini na kama unajua hamna unataka tufanye nini
 
mijitu mingine mnapata tabu kuijibu ndio hamna corona hata kama ipo sisi tutakusaidia nini na kama unajua hamna unataka tufanye nini
Mbona kama una hasira sana?

Unaumwa DELTA?
 
Wodi ya Mwananyamala kama umesikiliza vizuri ile clip hakusema ni kuwa ni wodi ya wagonjwa wa covid, alisema ni wodi ya wenye matatizo ya kupumua na Mama Samia alipouliza covid? akajibiwa ndio ila wale suspect. Ingekuwa ni wodi ya wagonjwa wa corona kabisa nadhani Rais angekuwa na taarifa kabla hajaenda.

Aiseee yaani hadi mama akawaambia wasaidizi wake tokeni tokeni bado unasema ni suspect?? Uzuri mama afichi anatangaza wazi kwamba hali ni mbaya.
 
Ila mwamba nimesoma comment unazo jibu komesha mzee unasimamia kauli yako mwanzo mwisho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huelewi la mnadi swala wala mwandhini [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom