#COVID19 Corona iko maeneo gani Tanzania?

#COVID19 Corona iko maeneo gani Tanzania?

Basi sawa.Ugua pole hizo DELTA.

👆👆👆 Endelee tu kushupaza shingo mkuu ,ipo siku utakuja kuiona NGONDOIGWA.
 
[emoji115][emoji115][emoji115] Endelee tu kushupaza shingo mkuu ,ipo siku utakuja kuiona NGONDOIGWA.
Kwani hapo zamani kabla ya ujio wa hiyo DELTA, watu walikuwa hawafi?

Halafu umejuaje kama wamekufa kwa corona?

THIBITISHA.
 
Kwani hapo zamani kabla ya ujio wa hiyo DELTA, watu walikuwa hawafi?

Halafu umejuaje kama wamekufa kwa corona?

THIBITISHA.

1. Walikuwa wanakufa Mkuu mpaka sasa idadi ya watu waliokufa ni bilioni kama 110 hivi na walio hai ni around 7.7 Bilions.
2.Ndugu zao ndio wamesema Mkuu,wengine wamesema ni changamoto ila mbowe amesema straight ni corona.
 
Niombe kitu gani sasa?

Hakuna cha kuomba wala nini. Mimi na ndugu zangu tuko fiti hatari.

Kwani wewe unaishi wapi labda?
Ngoja tu nikae kimya Ila maswali yangu ni Kama ya kwako. Tunaambiwa Kuna wagonjwa wengi mahospitali lkn sijabahatika kusikia kwa mtu ninayemfahamu kwamba anaumwa au anauguliwa na ndugu.
Labda ipo kweli...sijui
 
Wodi ya Mwananyamala kama umesikiliza vizuri ile clip hakusema ni kuwa ni wodi ya wagonjwa wa covid, alisema ni wodi ya wenye matatizo ya kupumua na Mama Samia alipouliza covid? akajibiwa ndio ila wale suspect.
Umeshawahi kusikia mtu wako wa karibu amelazwa hospitali kwa tatizo la upumuaji? Nauliza kwa wema tu mkuu...maana na mimi nachanganyikiwa
 
Umeshawahi kusikia mtu wako wa karibu amelazwa hospitali kwa tatizo la upumuaji? Nauliza kwa wema tu mkuu...maana na mimi nachanganyikiwa
Mimi tangu nimeanza kusikia haya makorona, hakuna mtu yeyote ninayemjua aliyewahi kuugua hata mafua.

Labda tumafua mafua tu twa vumbi. Siku mbili tatu kwishnehi.

Sasa hizi DELTA inakuwaje? Ujinga mtupu!
 
korona hakuna wanatumia nguvu kubwa kutuaminisha.hata lije wimbi la 5 zinizopo sasa ni propaganda tu.hata hayo mabarakoa labda watu wa Dar ndio wanavaa.
Mimi hizo corona huwa nazisikia kwenye TV na magazeti tu.

Sijawahi ona mtu anaumwa corona.

Magonjwa ya hewa huwa yanasambaa kwa kasi sana, TUNGEJUA TUUUU.

Lakini hii inayoitwa sijui DELTA, ni usanii mtupu.

Hakuna DELTA yoyote. Ujinga ujinga tu.
 
Mimi tangu nimeanza kusikia haya makorona, hakuna mtu yeyote ninayemjua aliyewahi kuugua hata mafua. NEHI.

Labda tumafua mafua tu twa vumbi. Siku mbili tatu kwishnehi.

Sasa hizi DELTA inakuwaje? Ujinga mtupu!
Kuumwa mafua wapo wanaougua, kinachonitatiza ni taarifa za kuwepo wagonjwa wengi waliolazwa mahospitalini kwa tatizo la upumuaji/corona. Hao watu ni kina nani ina maana kwa uwingi huo nisisikie mtu ninayemfahamu akisema ana mgonjwa, au mtu ninae mfahamu nijue amelazwa hospitali.
Inawezekana wapo lkn si kwa uwingi unazungumziwa.
 
Labda wanataka wapige pesa za Mabeberu kama yule jirani mlevi.

Niko Mwanza, ile taarifa iliyotolewa na kilichopo mtaani ni vitu viwili tofauti kabisaaaaaaa.

Nilijaribu tu kumuuliza mama mmoja solo la kirumba kwamba wao wanakutana na watu mbali mbali wanokuja kununua mahitaji, labda kuna mfanyabiashara ambae anamfahamu imebainika alikufa kwa corona, alinijibu kuwa hakuna kitu kama icho ila anahisi labda huo ugonjwa utakuwa dar mwanza haujafika hahahahaha
 
Mimi hizo corona huwa nazisikia kwenye TV na magazeti tu.

Sijawahi ona mtu anaumwa corona.

Magonjwa ya hewa huwa yanasambaa kwa kasi sana, TUNGEJUA TUUUU.

Lakini hii inayoitwa sijui DELTA, ni usanii mtupu.

Hakuna DELTA yoyote. Ujinga ujinga tu.
muda mwingine twende mbele na turudi nyuma.tunashabikia sana ishu ya korona kiasi cha kuhitaji izo chanjo zao za biashara,lakini umuuliza mtu hapo mtaani kwenu nani umesikia anaugua au amekufa na korona jibu ni "hapana".
sasa korona tuyanayozungumzia tz kwamba tunahitaji chanjo ni nani anaeumwa?
 
Labda wanataka wapige pesa za Mabeberu kama yule jirani mlevi.

Niko Mwanza, ile taarifa iliyotolewa na kilichopo mtaani ni vitu viwili tofauti kabisaaaaaaa.

Nilijaribu tu kumuuliza mama mmoja solo la kirumba kwamba wao wanakutana na watu mbali mbali wanokuja kununua mahitaji, labda kuna mfanyabiashara ambae anamfahamu imebainika alikufa kwa corona, alinijibu kuwa hakuna kitu kama icho ila anahisi labda huo ugonjwa utakuwa dar mwanza haujafika hahahahaha
Corona ni ugonjwa wa kwenye magazeti na mitandao ya kijamii.

Ukija mitandaoni unaweza kuhisi dunia imefika mwisho.
 
Back
Top Bottom