Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
- Thread starter
- #61
Hapo sasa!muda mwingine twende mbele na turudi nyuma.tunashabikia sana ishu ya korona kiasi cha kuhitaji izo chanjo zao za biashara,lakini umuuliza mtu hapo mtaani kwenu nani umesikia anaugua au amekufa na korona jibu ni "hapana".
sasa korona tuyanayozungumzia tz kwamba tunahitaji chanjo ni nani anaeumwa?
Hiyo chanjo sijui wanamdunga nani? Labda hao wagonjwa wa hiyo DELTA ya maigizo.
Huku mtaani watu hawataki kusikia habari za machanjo ya ajabu ajabu.