#COVID19 Corona iko maeneo gani Tanzania?

Hapo sasa!

Hiyo chanjo sijui wanamdunga nani? Labda hao wagonjwa wa hiyo DELTA ya maigizo.

Huku mtaani watu hawataki kusikia habari za machanjo ya ajabu ajabu.
 
Corona [emoji94] DELTA Hakuna
Haiwezekani Kusowe na Hata mtu mwenye Ushuhuda kwa kweli....
na Wanaoshabikia kua ipo kiuhalisia wenyew wanajiuliza kimy kimy mbona xijafiwa na mtu zaidi ya xtor ooh Flani kafa kwa Covd
 
Acha kulia lia bwana mdogo, ELEZA CORONA IKO WAPI?

Nyie wafuasi wa corona sijui mmekula maharage ya wapi?

Huku mtaani mbona hakuna hizo DELTA?

AMA?
Swali lako ni la msingi kwamba hapa nchini korona (UVIKO) iko wapi!. Badala ya kujibu swali lako wanaporomosha matusi. Wengine wanatoa taarifa za kusikia pasipo ushahidi.

Kwenye kaya zetu, majirani, na mitaani, maisha yanaendelea kama kawaida. Ndio kuna wagonjwa, kama ilivyo kawaida, lakini panapokuwa na mlipuko wa magonjwa ya kuambukiza km cholera, hali katika jamii hubadilika na wagonjwa huonekana. Iweje walioambukizwa UVIKO, kwa jinsi maambukuzi yake yanavyotangazwa, wagonjwa wasionekane? Ati ukitaka kuwaona huende hospitali, du!!!

Inaonekana UVIKO umekuwa ni ugonjwa wa kibiashara (barakoa, sanitizers, mitungi ya gesi, nk) na kubebwa na vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na hata wanasiasa. Kila kundi, katika hayo, lina lengo lake.

Nisieleweke kuwa UVIKO haupo ila kiwango chake na maambukizi yanapambwa sana pasipo sababu. Hivyo, nami nauliza, ni maeneo gani UVIKO upo hapa nchini?
 
Ulitaka yawe mtaani? Aiseee mfumo wa elimu ya Tanzania ni mbovu.

Jamaa kabeba kichwa kama pambo au mfuko wa kubebea meno.
Ukiona umeamza kusikia hadi mtaani kwako basi ujue hapo sasa nchi ipo kwenye total danger na usiombe hali ifikie huko kwenye kila mtaa ku suffer.
 
Hao wagonjwa wengi hospitalini hawana ndugu kiasi cha hizo hospitali kujaa umati unaoenda kuwajulia hali?

Wapiga picha na wadaku wako wako wapi kupitwa na tukio kubwa kama hilo?

Vyombo vya habari, hasa vya nje, viko wapi kufuatilia hiyo kauli ya Rais?

INAFIKIRISHA
 
Ukiona umeamza kusikia hadi mtaani kwako basi ujue hapo sasa nchi ipo kwenye total danger na usiombe hali ifikie huko kwenye kila mtaa ku suffer.
Iwapo kasi ya maambukizi ni hiyo inayotangazwa, basi Tanzania ingekuwa nchi yenye wagonjwa wengi wa UVIKO. Mikusanyiko ya watu haijabadilika. Wanaotumia kwa usahihi njia za kuzuia maambukizi ni wachache sana. Sasa wewe unaomba mitaani kuwe na wagonjwa, wa ugonjwa huo? Du, kweli wewe matango pori umeyabugia kisawasawa
 
Inafikirisha sana, na ndio maana watu wanapuuza uvaaji wa barakoa na kunawa mikono.
Watu wanavaa barakoa wanapoenda sehemu ambazo ni lazima kuvaa,wakitoka hapo hawana habari. Hatulazimishani tena kunawa mikono kama mwanzo ilikuwa ukienda sehemu watahakikisha umenawa mikono ndo uingie upate huduma.
Hili ni wimbi la 3..sijui yanakuja mangapi huko mbeleni
 
Mkuu,
Wananchi tunatakiwa tupuuze hizi delta, bibi yake na delta, wala sijui wimbi, tutapewa presha bure. Acha wanasiasa wateseke na barakoa zao ili kuwaridhisha watu x kuwa wanapambana na corona, ila kiuharisia sisi mtaani ndiyo tunaoujua uharisia.
 
Kuna siri kubwa nyuma ya UVIKO, ambayo hata wataalamu wetu wa afya wameamua kuificha, kwa sababu wanazozijua.

Mwishoni mwa 2019 niliugua mafua makali nikajitibu kihivyo hivyo. Ingekuwa wakati UVIKO umetangazwa, hakika ningetengwa na kupewa madawa ambayo yangeondoa uhai wangu.

Sasa hili wimbi la nne, linavyotangazwa ati ni "delta +" (kutoka India) lenye kuambukiza kwa kasi, naomba kujua Tanzania umetua wapi?
 
Walisema lilianza kutua mwanza.😀
 
Hii ni UK labda hawa haja chanja ile chanjo
Coronavirus in numbers

The number of Coronavirus infections linked to the dominant Delta variant have increased by 54,268 in the past week, a rise of 34 per cent, Public Health England has said.
In a new analysis of variant cases in the UK, PHE said the Delta variant, which was first identified in India, now accounted for 99 per cent of call cases that have been genetically sequenced
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…