#COVID19 Corona iko maeneo gani Tanzania?

Umesema vizuri sana! Corona ni ugonjwa mmoja kati ya magonjwa meni! Na kila ugonjwa umaweza kuua! Wala si ajabu mtu kufa kwa ugonjwa!! Sasa linapokuja suala corona watu wanataka kutuaminisha ni kifo cha kuleta taharuki katika JAMII tofauti na vifo vingine! Hiyo dhana ndiyo tunayoipinga kwa nguvu zote!! Kama vile kifo cha malaria hakina sababu ya kuleta hofu nua taharuki, kadhalika kifo cha corona hakipaswi kuleta hofu wala taharuki. Corona inapewa airtime isiyostahili! Kwanza kwa nchi za afrika malaria inaua kuliko corona!! Wazungu wanaipigia ngoma corona ili wapige pesa!! Na viongozi Wa afrika wanaicheza ngoma ya wazungu bila kuujua wimbo wake!
Kama ndugu wa mtu yeyote akifa kwa corona, ajue kuwa kuna ndugu wa mwingine amekufa kwa ukimwi au kwa malaria au kwa kansa nk. Ni sehemu ya maisha!! Tuvikatae vitisho na hofu ya corona!
 
Jana nilipishana nayo Kariakoo
 
Utaambiwa tu mitungi ya gesi imeisha...
 
Subiri ikuchape ndo utajua maeneo ilipo

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kuna takwimu zimetolewa kwamba wagonjwa waliopo nchini Hadi Sasa ni 16 elfu.

Yaani pamoja na kutokuwepo precautions zozote zikichukuliwa mwaka mzima nchini ila tunawazidi majirani waliofungiana ndani!!

Huu ni utani.
 
Mungu sio mwana Ccm
 
Mjadala ufungwe, umenena ukweli. Korona ipo ila ya kawaida, malaria inaua wengi kuliko korona ila haipewi airtime, viongozi wako bize kuitangaza barakoa kuwa inafyeka watu ila tuko mitaani wala hamna hizi kitu, kama zipo basi mitaa mingine na sio kama inavyofagiliwa. Uzuri asilimia kubwa ya waTz hawataki kusikia ujinga huu, maisha yanaendelea ukiwaambia barako sasa hivi kisingizio NIKIVAA SIWEZI KUHEMA VIZURI maisha yanaendele, hata waziri mkuu juzi ktk kufungua kituo cha kuuzoa tanzanite kaja bila barakoa na ahughulinyote hakuvaa barakoa.
 
Kuna takwimu zimetolewa kwamba wagonjwa waliopo nchini Hadi Sasa ni 16 elfu.

Yaani pamoja na kutokuwepo precautions zozote zikichukuliwa mwaka mzima nchini ila tunawazidi majirani waliofungiana ndani!!

Huu ni utani.
Hizo takwimu zimetolewa na nani ? Sisi tuna wagonjwa 509 tu, tangu ugonjwa ulipoingia nchini. Ndio nchi yenye maambukizi machache ya UVIKO barani Africa , hio ni kutokana na takwimu zilizopo WHO.
 
Hizo takwimu ni inflated kupata misaada
Ngozi nyeusi ina shida sana.

Wanapenda mno kuwa maomba omba hata kwa mambo yanayodhalilisha utu.

COVID FEKI= Msaada.

UKIMWI FEKI= Msaada

USHOGA= Msaada

USAGAJI= Msaada

NETI= Msaada

MACHANJO= Msaada

KILA KITU= Msaada

Yaani tupo tupo tu kama misukule. Mhhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…