#COVID19 Corona iko maeneo gani Tanzania?

Mkuu unachokieleza wewe ni hisia binafsi kwamba kwa sababu unauguliwa huko basi unataka tulielewa hili jambo kwa kutumia hisia zako, tunajua huko hospitali kuna wagonjwa wa maradhi tofauti na ndugu wana wagonjwa wao huko wanaangaika nao na watu wanakufa daily na ndio maisha ya siku zote hayo, sasa ukitumia hisia hizo utaona kila ugonjwa ni janga hali mbaya si corona tu.
Umesema vizuri sana! Corona ni ugonjwa mmoja kati ya magonjwa meni! Na kila ugonjwa umaweza kuua! Wala si ajabu mtu kufa kwa ugonjwa!! Sasa linapokuja suala corona watu wanataka kutuaminisha ni kifo cha kuleta taharuki katika JAMII tofauti na vifo vingine! Hiyo dhana ndiyo tunayoipinga kwa nguvu zote!! Kama vile kifo cha malaria hakina sababu ya kuleta hofu nua taharuki, kadhalika kifo cha corona hakipaswi kuleta hofu wala taharuki. Corona inapewa airtime isiyostahili! Kwanza kwa nchi za afrika malaria inaua kuliko corona!! Wazungu wanaipigia ngoma corona ili wapige pesa!! Na viongozi Wa afrika wanaicheza ngoma ya wazungu bila kuujua wimbo wake!
Kama ndugu wa mtu yeyote akifa kwa corona, ajue kuwa kuna ndugu wa mwingine amekufa kwa ukimwi au kwa malaria au kwa kansa nk. Ni sehemu ya maisha!! Tuvikatae vitisho na hofu ya corona!
 
Hey,

Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.

Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani??

Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi.

Kiuhalisia huku Buza nilipo, hatujui hata maana ya corona. Achana na hayo maDELTA na manini nini mengine.

Tunajiachia vibaya sana. Hakuna cha barakoa wala sanitaiza. Na tuko fiti ajabu.

Haya makorona ya DELTA huwa nayasikia kwenye magazeti na majarida tu. Mtaani hakuna cha DELTA wala bibi yake na DELTA.

Sasa hawa wajuvi wa corona wanasemaje kuhusu hili? Hiyo DELTA iko wapi hasa hapa nchini?

Maana inawezekana mimi niko Buza huku, kumbe hiyo DELTA imejificha njombe!

Wananchi tunavurugwa. Mtaani hatuoni cha DELTA wala nini, lakini usiku kucha Televisheni zote zinazungumzia DELTA.

Which is which? Tuamini TV ama tuamini uhalisia tunaouona mtaani?

Mnatuchanganya mjue?
Jana nilipishana nayo Kariakoo
 
Utaambiwa tu mitungi ya gesi imeisha...
 
Subiri ikuchape ndo utajua maeneo ilipo

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kuna takwimu zimetolewa kwamba wagonjwa waliopo nchini Hadi Sasa ni 16 elfu.

Yaani pamoja na kutokuwepo precautions zozote zikichukuliwa mwaka mzima nchini ila tunawazidi majirani waliofungiana ndani!!

Huu ni utani.
 
Je unamtegemea Mungu? Je unamwamini Mungu?, Je ulishiriki maombi ya kumwomba Mungu atuponye na corona hapo mwaka 2020? Je unaamini kuwa Mungu alisikia maombi yetu na akatuponya? Kama majibu ya maswali hayo ni ndiyo basi uwe na amani uko salama. Lakini kama màjibu ya maswali hayo ni hapana, pole sana maana ni suala la muda tu, corona inakuhusu! Haiwezekani Mungu atuponye kwa dhahiri namna hii halafu halafu mtu akatae kuuamini na kuukiri ukweli huo halafu ategemee kubaki salama!! Chanjo wala barakoa haziwezi kumwokoa!!
Mungu sio mwana Ccm
 
Umesema vizuri sana! Corona ni ugonjwa mmoja kati ya magonjwa meni! Na kila ugonjwa umaweza kuua! Wala si ajabu mtu kufa kwa ugonjwa!! Sasa linapokuja suala corona watu wanataka kutuaminisha ni kifo cha kuleta taharuki katika JAMII tofauti na vifo vingine! Hiyo dhana ndiyo tunayoipinga kwa nguvu zote!! Kama vile kifo cha malaria hakina sababu ya kuleta hofu nua taharuki, kadhalika kifo cha corona hakipaswi kuleta hofu wala taharuki. Corona inapewa airtime isiyostahili! Kwanza kwa nchi za afrika malaria inaua kuliko corona!! Wazungu wanaipigia ngoma corona ili wapige pesa!! Na viongozi Wa afrika wanaicheza ngoma ya wazungu bila kuujua wimbo wake!
Kama ndugu wa mtu yeyote akifa kwa corona, ajue kuwa kuna ndugu wa mwingine amekufa kwa ukimwi au kwa malaria au kwa kansa nk. Ni sehemu ya maisha!! Tuvikatae vitisho na hofu ya corona!
Mjadala ufungwe, umenena ukweli. Korona ipo ila ya kawaida, malaria inaua wengi kuliko korona ila haipewi airtime, viongozi wako bize kuitangaza barakoa kuwa inafyeka watu ila tuko mitaani wala hamna hizi kitu, kama zipo basi mitaa mingine na sio kama inavyofagiliwa. Uzuri asilimia kubwa ya waTz hawataki kusikia ujinga huu, maisha yanaendelea ukiwaambia barako sasa hivi kisingizio NIKIVAA SIWEZI KUHEMA VIZURI maisha yanaendele, hata waziri mkuu juzi ktk kufungua kituo cha kuuzoa tanzanite kaja bila barakoa na ahughulinyote hakuvaa barakoa.
 
Kuna takwimu zimetolewa kwamba wagonjwa waliopo nchini Hadi Sasa ni 16 elfu.

Yaani pamoja na kutokuwepo precautions zozote zikichukuliwa mwaka mzima nchini ila tunawazidi majirani waliofungiana ndani!!

Huu ni utani.
Hizo takwimu zimetolewa na nani ? Sisi tuna wagonjwa 509 tu, tangu ugonjwa ulipoingia nchini. Ndio nchi yenye maambukizi machache ya UVIKO barani Africa , hio ni kutokana na takwimu zilizopo WHO.
 
Hizo takwimu ni inflated kupata misaada
Ngozi nyeusi ina shida sana.

Wanapenda mno kuwa maomba omba hata kwa mambo yanayodhalilisha utu.

COVID FEKI= Msaada.

UKIMWI FEKI= Msaada

USHOGA= Msaada

USAGAJI= Msaada

NETI= Msaada

MACHANJO= Msaada

KILA KITU= Msaada

Yaani tupo tupo tu kama misukule. Mhhh!
 
Back
Top Bottom