Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Sioni wagonjwa wa corona huku nilipo au kusikia kutoka kwa watu wa mbali kuwa wanauguliwa na ndugu. Lkn inasemekana hospitali zimejaa wagonjwa. NielewesheKipi kinakuchanganya mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni wagonjwa wa corona huku nilipo au kusikia kutoka kwa watu wa mbali kuwa wanauguliwa na ndugu. Lkn inasemekana hospitali zimejaa wagonjwa. NielewesheKipi kinakuchanganya mkuu?
ili iweje labdaWW
Ni sawa mkuu, Hata mimi nashangaa. Huku Mtaani maisha yapo normal ila ukisikiliza kauli za viongozi unaweza dhani hali ni ya kutisha. Nafikiri viongozi wanafanya hivyo kutufanya tuchukue tahadhari,ila kiuhalisia si kiiiivo!!!.Tuendelee kuva barakoa na kusanitaizi.
Ukiacha issue ya corona, kama ukienda hospitali na kuangalia utaona watu wanavyoteseka huko kwa maradhi mbalimbali utaona Ndugu wanavyoaangaika na wagonjwa wao huko ila huku mitaani maisha yanaendelea kama kawaida huwezi kujua kama ndio watu hao hao ambao ndugu zao wapo huko mahospitalini. Hata malaria inaondoa sana watu ila bado ukimwambia mtu kuwa umefiwa na ndugu yako na sababu kuwa ni malaria mtu anashangaa yani malaria tu? anaona ilikuaje hadi mtu afe kwa malaria tu.Sioni wagonjwa wa corona huku nilipo au kusikia kutoka kwa watu wa mbali kuwa wanauguliwa na ndugu. Lkn inasemekana hospitali zimejaa wagonjwa. Nieleweshe
Kwa Tanzania corona inapatikana kwa kila mtu (na familia yake) aliyekataa ukweli kuwa Mungu alishatuponya watanzania na corona baada ya kumtanguliza Mungu na kumwomba ili atuponye. Kuna watu wanabeza sana ukweli huu, kwa hao wajiandae na hiyo delta!! Lakini kwa wanaomini na kukiri hadharani kuwa Mungu alishatuponya na corona hao wako salama sana!! Corona wataisikia tu kwenye vyombo vya habari lakini haitakaribia katika maisha na familia zao. Hili ni Neno LA Bwana.Hey,
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.
Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi sijui la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani??
Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi.
Kiuhalisia huku Buza nilipo, hatujui hata maana ya corona. Achana na hayo sijui ma-DELTA na manini nini mengine.
Tunajiachia vibaya sana. Hakuna cha barakoa wala sanitaiza. Na tuko fiti ajabu.
Haya makorona ya DELTA huwa nayasikia kwenye magazeti na majarida tu. Mtaani hakuna cha DELTA wala bibi yake na DELTA.
Sasa hawa wajuvi wa corona wanasemaje kuhusu hili? Hiyo DELTA iko wapi hasa hapa nchini?
Maana inawezekana mimi niko Buza huku, kumbe hiyo DELTA imejificha njombe!
Wananchi tunavurugwa. Mtaani hatuoni cha DELTA wala nini, lakini usiku kucha Televisheni zote zinazungumzia DELTA.
Which is which? Tuamini TV ama tuamini uhalisia tunaouona mtaani?
Mnatuchanganya mjue?
Mkuu unachokieleza wewe ni hisia binafsi kwamba kwa sababu unauguliwa huko basi unataka tulielewa hili jambo kwa kutumia hisia zako, tunajua huko hospitali kuna wagonjwa wa maradhi tofauti na ndugu wana wagonjwa wao huko wanaangaika nao na watu wanakufa daily na ndio maisha ya siku zote hayo, sasa ukitumia hisia hizo utaona kila ugonjwa ni janga hali mbaya si corona tu.Shukuru Mungu hujaguswa wala familia yako haijaguswa...ila sisi wengine tulioguswa ndugu zetu wamepotea,familia karibu nzima ipo hospital kwa sasa...tukiona mnaongea yani dah....
Raisi akutishe wewe ili iweje labda? Endelea tu kuomba Mungu mpendwa wako asiguswe.
Utaowakuta Mloganzila waulize wametoka wapi, utapata picha. Ni sawa na kuuliza kweli bodaboda zinauwa, mbona wote wanaopita nazo wako fresh?! Nenda hospitali utaelewa.
>>>>>Tena Warembo weengi mno Wameungua na Exos ya boda Nyuma ya Miguu yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umetoa mfano mzuri sana wa bodaboda ni kweli kuna ajali nyingi za bodaboda watu wanapata vilema huko hatari, nasi ajali za bodoboda tu kuna wagonjwa kibao huko hospitali wenye kuugua maradhi mbalimbali ila bado maisha yanaendelea hakuna taharuki yeyote ila sasa kwanini kwenye corona ndio tuwe na taharuki?Utaowakuta Mloganzila waulize wametoka wapi, utapata picha. Ni sawa na kuuliza kweli bodaboda zinauwa, mbona wote wanaopita nazo wako fresh?! Nenda hospitali utaelewa.
Hey,
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.
Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani??
Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi.
Kiuhalisia huku Buza nilipo, hatujui hata maana ya corona. Achana na hayo maDELTA na manini nini mengine.
Tunajiachia vibaya sana. Hakuna cha barakoa wala sanitaiza. Na tuko fiti ajabu.
Haya makorona ya DELTA huwa nayasikia kwenye magazeti na majarida tu. Mtaani hakuna cha DELTA wala bibi yake na DELTA.
Sasa hawa wajuvi wa corona wanasemaje kuhusu hili? Hiyo DELTA iko wapi hasa hapa nchini?
Maana inawezekana mimi niko Buza huku, kumbe hiyo DELTA imejificha njombe!
Wananchi tunavurugwa. Mtaani hatuoni cha DELTA wala nini, lakini usiku kucha Televisheni zote zinazungumzia DELTA.
Which is which? Tuamini TV ama tuamini uhalisia tunaouona mtaani?
Mnatuchanganya mjue?
Ukiacha issue ya corona, kama ukienda hospitali na kuangalia utaona watu wanavyoteseka huko kwa maradhi mbalimbali utaona Ndugu wanavyoaangaika na wagonjwa wao huko ila huku mitaani maisha yanaendelea kama kawaida huwezi kujua kama ndio watu hao hao ambao ndugu zao wapo huko mahospitalini. Hata malaria inaondoa sana watu ila bado ukimwambia mtu kuwa umefiwa na ndugu yako na sababu kuwa ni malaria mtu anashangaa yani malaria tu? anaona ilikuaje hadi mtu afe kwa malaria tu.
Sasa tatizo hapa tunaambiwa corona ni ugonjwa hatari ilifika hatua wengine kuona afrika tutafikia hadi kuokota maiti barabarani, dunia nzima wimbo ni corona tu na tunasikia huko kwengine athari zake mara huduma za afya kuzidiwa mara sijui sehemu za kuhifadhi maiti pia kujaa na mambo mengi tu, sasa Tanzania hakuna hivyo vitu ndio maana wewe huoni tofauti yeyote unaona hali iko vilevile.
Sasa kwahiyo inawezekana watu wanaumwa kweli corona, hivyo ipo ila je ni kwa kiwango gani? au ndio tunatumia mifano ya tunayoyasikia huko kwa wenzetu na ndio tunabeba hizo hisia na kutaka kuzileta Tanzania kwamba hali mbaya ila uhalisia unaeleza tofauti.
Toka huu mwaka umesikia vifo vingapi vya malaria kwa watu?Hata wew unaetetea Uongo huna mtu wa karb alie umwa corona ukahskikisha au kuumwa mweenyew Acheni kujipagawisha Bandugu....
#Tanzania Hakuna corona
Yaani kweli watu walikuwa brain washed na vifo vyote hivi mtu bado haamini kuwa Corona hipo Tanzania nampongeza sana Mama kwa kazi nzuri aliyoifanya kututoa katika ujinga huu uliopitiliza wa kutufanya kuwa kituko dunia nzimaHey,
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania.
Hivi majuzi juzi tumesikia taarifa lukuki kuhusu corona. Wengine nimesikia wanasema kwa sasa hili ni wimbi la tatu — Wengine wanaita sijui DELTA kitu gani gani??
Majina yamekuwa mengi kidogo. Kuna DELTA na kuna wimbi.
Kiuhalisia huku Buza nilipo, hatujui hata maana ya corona. Achana na hayo maDELTA na manini nini mengine.
Tunajiachia vibaya sana. Hakuna cha barakoa wala sanitaiza. Na tuko fiti ajabu.
Haya makorona ya DELTA huwa nayasikia kwenye magazeti na majarida tu. Mtaani hakuna cha DELTA wala bibi yake na DELTA.
Sasa hawa wajuvi wa corona wanasemaje kuhusu hili? Hiyo DELTA iko wapi hasa hapa nchini?
Maana inawezekana mimi niko Buza huku, kumbe hiyo DELTA imejificha njombe!
Wananchi tunavurugwa. Mtaani hatuoni cha DELTA wala nini, lakini usiku kucha Televisheni zote zinazungumzia DELTA.
Which is which? Tuamini TV ama tuamini uhalisia tunaouona mtaani?
Mnatuchanganya mjue?
Maisha yapo normal wapi huko? Wacha ujinga corona ipo na watu wanakufa misiba imeongezeka kama ilivyokuwa kwa wimbi la pili. Usiendeleze tabia za kijinga zinazo cost maisha ya watu.Ni sawa mkuu, Hata mimi nashangaa. Huku Mtaani maisha yapo normal ila ukisikiliza kauli za viongozi unaweza dhani hali ni ya kutisha. Nafikiri viongozi wanafanya hivyo kutufanya tuchukue tahadhari,ila kiuhalisia si kiiiivo!!!.Tuendelee kuva barakoa na kusanitaizi.
Unaishi wapi?Kuumwa mafua wapo wanaougua, kinachonitatiza ni taarifa za kuwepo wagonjwa wengi waliolazwa mahospitalini kwa tatizo la upumuaji/corona. Hao watu ni kina nani ina maana kwa uwingi huo nisisikie mtu ninayemfahamu akisema ana mgonjwa, au mtu ninae mfahamu nijue amelazwa hospitali.
Inawezekana wapo lkn si kwa uwingi unazungumziwa.
Hata mimi napinga kujenga taharuki kwa watu maana nayo ni hatari sana. Muhimu ni tahadhari tu.Umetoa mfano mzuri sana wa bodaboda ni kweli kuna ajali nyingi za bodaboda watu wanapata vilema huko hatari, nasi ajali za bodoboda tu kuna wagonjwa kibao huko hospitali wenye kuugua maradhi mbalimbali ila bado maisha yanaendelea hakuna taharuki yeyote ila sasa kwanini kwenye corona ndio tuwe na taharuki?
Je unamtegemea Mungu? Je unamwamini Mungu?, Je ulishiriki maombi ya kumwomba Mungu atuponye na corona hapo mwaka 2020? Je unaamini kuwa Mungu alisikia maombi yetu na akatuponya? Kama majibu ya maswali hayo ni ndiyo basi uwe na amani uko salama. Lakini kama màjibu ya maswali hayo ni hapana, pole sana maana ni suala la muda tu, corona inakuhusu! Haiwezekani Mungu atuponye kwa dhahiri namna hii halafu halafu mtu akatae kuuamini na kuukiri ukweli huo halafu ategemee kubaki salama!! Chanjo wala barakoa haziwezi kumwokoa!!Shukuru Mungu hujaguswa wala familia yako haijaguswa...ila sisi wengine tulioguswa ndugu zetu wamepotea,familia karibu nzima ipo hospital kwa sasa...tukiona mnaongea yani dah....
Raisi akutishe wewe ili iweje labda? Endelea tu kuomba Mungu mpendwa wako asiguswe.
Arusha na darUnaishi wapi?