My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,592
- 11,810
Madaktari wana dini ila mbona wanapingana na nyinyi wao wanaingia maabara kutafuta suluhu wakati nyie mnaingia misikitini kuomba?
It's Scars
Kwaiy hujawahi ona misikitini wanauza dawa ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madaktari wana dini ila mbona wanapingana na nyinyi wao wanaingia maabara kutafuta suluhu wakati nyie mnaingia misikitini kuomba?
It's Scars
Big brainUkiambiwa dawa ya corona imepatikana na ili ukubali kua inafanya kazi kweli inabidi uamini
Halafu ukaletewa cyanide hapo kua inabidi uamini kwanza kabla haujanywa utakubali?
Je kuamini kwako kutabadilisha chochote kwenye cyanide kua kinga ya corona?
It's Scars
Mbona hata sayansi inatuaminisha 'dawa fulani inatibu (mfano) malaria na wagonjwa wanatumia hiyo dawa na wengine wanakufa?' Kuomba kunakofanya kazi ni kule 'kuomba kwa imani' (kuamini kwa uhakika) kwamba unachoomba utakipata na iwe ni katika jambo kubwa na lisilowezekana kwa njia ya kawaida. Mfano, kama unaweza kupika chakula usiombe Mungu akupikie chakula. Kama unaweza kusafiri kutoka sehemu A kwenda sehemu B usiombe Mungu akupeleke kimuujiza. Kwa hiyo tuombe katika mambo gani? Tuombe katika mambo yote - ila yale tunayoweza tumwombe Mungu atuwezeshe kuyaweza vizuri na yale tusiyoyaweza tumwombe Mungu atusaidiea tuyaweze na tunapomwomba Mungu tusimpangie siku na muda, bali tumwache yeye atusaidiea kadiri anavyoona na anavyotaka iwe. Mara nyingi tunapoomba tunampangia Mungu na pia tunaweza kuwa pia chanzo cha tatizo kutokana na mazoea yetu mabaya na hapo tukiomba bila kubadilisha tabia yetu tunakuwa kama tunajisumbua bure.Poleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundamano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa korona?
Kama walifanya maombi kwa lengo la kuizuia corona isiingie nchini, lakini tunaona corona imeingia, nini kinachokufanya uwaamini kua maombi ya sasa wanayojipanga kuyafanya yataitokomeza corona mazima?
Haya mambo probably si magumu ila ugumu tunauweka sisi kwa kuweka mizaha kwa kutumia kivuli cha dini.
Hivi mfano hawa madaktari wetu na sekta ya afya kiujumla wangejumuika kwenye maombi kwa kuamini kwamba maombi ni njia madhubuti ya kutatua matatizo kama haya katika kila janga la ugonjwa. Kama ambavyo watu wa dini wamekua wakituhimiza kufanya, je tungefanikisha kutibu gonjwa lipi kwa maombi?
Ngoma inaingia tanzania wabongo tulijitia wachamungu sana kua tumepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na n'ge hivyo ukimwi kwetu sio tishio.
Lakini tunachokiona mpaka saizi mapasta na masheikh wanachukua vidonge kwa siri sana. Lakini pamoja na hayo hatuwaoni wakijisalimisha kua wameshindwa kudhibiti ukimwi kwa maombi yao.
Mungu ambaye tunamtolea sadaka kila siku halafu katika matatizo kama haya kajichimbia tu wala hatuoni juhudi zake, huyu si mungu wakuabudiwa. Ni sawa na rafiki mnafki ambaye kwenye matanuzi mkiwa viwanja mnakua naye karibu sana halafu ikatokea siku umeishiwa anakukimbia.
Wahubiri wanahubiri huku wamevaa face mask at the same time wanasema damu ya yesu ni tiba ya kila kitu. What a joke but i ain't laughing?
Tunaambiwa ukiwa na imani waweza kuamisha hadi milima lakini sikutegemea kuona vatican, mekka ziwe kipaumbele kukataza watu wasiende kwao kwa hofu ya korona.
Mungu muweza wa yote yuko wapi mbona kawasusia msala madaktari wetu halafu yeye amesizi tu eti mpaka aamshwe kwa maombi?
Kwanini mungu mjuzi wa yote na muweza wa yote ahitaji maombi?
Mbona kwenye zile hadithi za gharika na sodoma na gomora huyu mungu ali-respond haraka sana kwanini asifanye hivyo kwenye janga hili linalomaliza ndugu zetu na kudhoofisha hali ya uchumi wetu?
Hivi kweli mungu huyu yupo kweli? Maana viongozi wetu wa dini nao wanaathirika mpaka inafikia hatua italy makanisa yameshehena maiti inamaana yeye haoni?
Kwanini Mungu ahitaji maombi yetu ili aweze ku-solve matatizo yetu, ilihali anaelewa hitaji la moyo wetu hata kabla hatujasema?
====
Chukua tahadhari kwa kufuata angalizo lililotolewa na mamlaka ya afya Corona haidhibitiwi kwa maombi bali kwa kuepuka makatazo ambayo yameainishwa na shirika la afya
Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Kutengeneza dawa sio swala la kiimani ni kitu ambacho lazima ukifanyie majaribio
so huwez kulinganisha kumwamini Mungu na swala la kutengeneza dawa coz Mungu wetu hajaribiwi.ndio maana huwez kwenda kwa Mungu na kusema "nipe dawa ili niamin kama upo" na ukapata Majibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia hao madaktari nao pia ni waumini wa dini,kungekuwa na kupingana basi hao madaktari wasingekuwa waumini wa dini au wasingekuwa madaktari ili wawe waumini wa dini tu. Kwahiyo unapozungumzia madaktari au wanasayansi bado nako kuna waumini wa dini,kwahiyo watu kuomba Mungu haina maana kwamba wanapingana na wanasayansi wenye kutafuta tiba za maradhi,watu wanaomba Mungu hadi kwenye masomo yao na hali ya kuwa bado wanasoma kwa bidii sasa sijui wewe linakushangaza nini hili la watu kuomba Mungu kuhusu haya maradhi.Madaktari wana dini ila mbona wanapingana na nyinyi wao wanaingia maabara kutafuta suluhu wakati nyie mnaingia misikitini kuomba?
Kama wanadini unafikiri kwanini wao hawatibu wagonjwa kwa mfumo wa dini bali sayansi?
It's Scars
Sasa kama huingiagi umejuaje wanaenda kuomba ??Unaniuliza habari za misikitini mi naingiaga?
Wanauza dawa gani kwanza ebu tufafanulie maana skuizi hadi ugoro wanaita dawa
It's Scars
Hakuna dini,inayoruhusu kula hivyo,bila mpangilio wa chakula.Ni sawa na kusema,kuna kampuni za magari,nyingine zimeruhusu gari zao kutofanyiwa service.Dini zote,zimeweka utaratibu wa maisha,kuanzia usafi,chakula,kujifunza,kujitibu nk.
Unaposema,mpaka wa dini nyingine wamepata maambukizi,hawa wamepata kupitiya kwa ambao hawakufuata usalama wa maisha,kufuata maagizo ya dini,sawa na barabarani,asiyefanya service ya gari yake,atamsababishia ajali,pia anayefanya service,kama kufeli break,atamgonga na kusababisha ya ajali ya wengi,kwa uzembe wa mtu mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukejeli imani za watu na ajira za watu pia we unafikiri serikali peke yake inaweza ajili hao wote ebo!Poleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundamano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa korona?
Kama walifanya maombi kwa lengo la kuizuia corona isiingie nchini, lakini tunaona corona imeingia, nini kinachokufanya uwaamini kua maombi ya sasa wanayojipanga kuyafanya yataitokomeza corona mazima?
Haya mambo probably si magumu ila ugumu tunauweka sisi kwa kuweka mizaha kwa kutumia kivuli cha dini.
Hivi mfano hawa madaktari wetu na sekta ya afya kiujumla wangejumuika kwenye maombi kwa kuamini kwamba maombi ni njia madhubuti ya kutatua matatizo kama haya katika kila janga la ugonjwa. Kama ambavyo watu wa dini wamekua wakituhimiza kufanya, je tungefanikisha kutibu gonjwa lipi kwa maombi?
Ngoma inaingia tanzania wabongo tulijitia wachamungu sana kua tumepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na n'ge hivyo ukimwi kwetu sio tishio.
Lakini tunachokiona mpaka saizi mapasta na masheikh wanachukua vidonge kwa siri sana. Lakini pamoja na hayo hatuwaoni wakijisalimisha kua wameshindwa kudhibiti ukimwi kwa maombi yao.
Mungu ambaye tunamtolea sadaka kila siku halafu katika matatizo kama haya kajichimbia tu wala hatuoni juhudi zake, huyu si mungu wakuabudiwa. Ni sawa na rafiki mnafki ambaye kwenye matanuzi mkiwa viwanja mnakua naye karibu sana halafu ikatokea siku umeishiwa anakukimbia.
Wahubiri wanahubiri huku wamevaa face mask at the same time wanasema damu ya yesu ni tiba ya kila kitu. What a joke but i ain't laughing?
Tunaambiwa ukiwa na imani waweza kuamisha hadi milima lakini sikutegemea kuona vatican, mekka ziwe kipaumbele kukataza watu wasiende kwao kwa hofu ya korona.
Mungu muweza wa yote yuko wapi mbona kawasusia msala madaktari wetu halafu yeye amesizi tu eti mpaka aamshwe kwa maombi?
Kwanini mungu mjuzi wa yote na muweza wa yote ahitaji maombi?
Mbona kwenye zile hadithi za gharika na sodoma na gomora huyu mungu ali-respond haraka sana kwanini asifanye hivyo kwenye janga hili linalomaliza ndugu zetu na kudhoofisha hali ya uchumi wetu?
Hivi kweli mungu huyu yupo kweli? Maana viongozi wetu wa dini nao wanaathirika mpaka inafikia hatua italy makanisa yameshehena maiti inamaana yeye haoni?
Kwanini Mungu ahitaji maombi yetu ili aweze ku-solve matatizo yetu, ilihali anaelewa hitaji la moyo wetu hata kabla hatujasema?
====
Chukua tahadhari kwa kufuata angalizo lililotolewa na mamlaka ya afya Corona haidhibitiwi kwa maombi bali kwa kuepuka makatazo ambayo yameainishwa na shirika la afya
Nilitanguliza hilo kwasababu hakuna formula maalumu ya kufanya usahihi katika jambo ambalo si sahihi.Ushatanguliza kutokuwa sahihi kisha ukawa hauko sahihi katika jambo ambalo ni sahihi ni kujichagulia kukosea na kutokuwa sahihi.
Angekuwepo ningemjuaNaposema humjui Allah unatakiwa uelewe yaani humjui kweli.
Hili nililitanguliza kabla na shabaha yangu nilikua nakusudia kuwalenga watu kama nyinyi. Nilijua kwa vyovyote vile kichaka hichi lazima mjifiche na hizo ndio dhana za ujinga wenuAllah ndio anawawezesha waja wake wafanye mambo wanayo yafanya, kwahiyo ukiona jambo limefanikiwa ujue ni kwa uwezo wa Allah amewazesha watu husika na ametaka jambo lifanikiwe na kinyume chake haliwezi kutokea wala kufanikiwa.
Kwanza kama kweli kuna wagonjwa wenye akili halafu wakaweza kuhoji halafu kukawa hakuna uthibitisho juu ya uwepo wake mpaka kufikia kumkana basi wagonjwa wa akili kwangu mimi nawapa kipaumbele sana kuliko wazima walioshindwa kuthibitisha madai yaoHakuna kinachotoka nje ya milki yake, ndio maana wanao mkana wote ni Wagonjwa wa akili na wanafikiria kitoto sana na kwa upande mmoja.
mwisho utakuja kusema mungu pia hayupo kwasababu kaacha corona imetokea?? Mana ndipo unapoelekeaPoleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundamano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa korona?
Kama walifanya maombi kwa lengo la kuizuia corona isiingie nchini, lakini tunaona corona imeingia, nini kinachokufanya uwaamini kua maombi ya sasa wanayojipanga kuyafanya yataitokomeza corona mazima?
Haya mambo probably si magumu ila ugumu tunauweka sisi kwa kuweka mizaha kwa kutumia kivuli cha dini.
Hivi mfano hawa madaktari wetu na sekta ya afya kiujumla wangejumuika kwenye maombi kwa kuamini kwamba maombi ni njia madhubuti ya kutatua matatizo kama haya katika kila janga la ugonjwa. Kama ambavyo watu wa dini wamekua wakituhimiza kufanya, je tungefanikisha kutibu gonjwa lipi kwa maombi?
Ngoma inaingia tanzania wabongo tulijitia wachamungu sana kua tumepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na n'ge hivyo ukimwi kwetu sio tishio.
Lakini tunachokiona mpaka saizi mapasta na masheikh wanachukua vidonge kwa siri sana. Lakini pamoja na hayo hatuwaoni wakijisalimisha kua wameshindwa kudhibiti ukimwi kwa maombi yao.
Mungu ambaye tunamtolea sadaka kila siku halafu katika matatizo kama haya kajichimbia tu wala hatuoni juhudi zake, huyu si mungu wakuabudiwa. Ni sawa na rafiki mnafki ambaye kwenye matanuzi mkiwa viwanja mnakua naye karibu sana halafu ikatokea siku umeishiwa anakukimbia.
Wahubiri wanahubiri huku wamevaa face mask at the same time wanasema damu ya yesu ni tiba ya kila kitu. What a joke but i ain't laughing?
Tunaambiwa ukiwa na imani waweza kuamisha hadi milima lakini sikutegemea kuona vatican, mekka ziwe kipaumbele kukataza watu wasiende kwao kwa hofu ya korona.
Mungu muweza wa yote yuko wapi mbona kawasusia msala madaktari wetu halafu yeye amesizi tu eti mpaka aamshwe kwa maombi?
Kwanini mungu mjuzi wa yote na muweza wa yote ahitaji maombi?
Mbona kwenye zile hadithi za gharika na sodoma na gomora huyu mungu ali-respond haraka sana kwanini asifanye hivyo kwenye janga hili linalomaliza ndugu zetu na kudhoofisha hali ya uchumi wetu?
Hivi kweli mungu huyu yupo kweli? Maana viongozi wetu wa dini nao wanaathirika mpaka inafikia hatua italy makanisa yameshehena maiti inamaana yeye haoni?
Kwanini Mungu ahitaji maombi yetu ili aweze ku-solve matatizo yetu, ilihali anaelewa hitaji la moyo wetu hata kabla hatujasema?
====
Chukua tahadhari kwa kufuata angalizo lililotolewa na mamlaka ya afya Corona haidhibitiwi kwa maombi bali kwa kuepuka makatazo ambayo yameainishwa na shirika la afya
Naskiaga azana inayowaita kwa lengo la kujumuika pamoja ili kufanya hayo maombi na uzuri hata matamasha yao nishawaona wakifanya hivyo.Sasa kama huingiagi umejuaje wanaenda kuomba ??
Scars# kumbe mpk leo hujui km dunia ina mwenyewe??? Ambae ni Allah ???Nilitanguliza hilo kwasababu hakuna formula maalumu ya kufanya usahihi katika jambo ambalo si sahihi.
Angekuwepo ningemjua
Hili nililitanguliza kabla na shabaha yangu nilikua nakusudia kuwalenga watu kama nyinyi. Nilijua kwa vyovyote vile kichaka hichi lazima mjifiche na hizo ndio dhana za ujinga wenu
Kwanza kama kweli kuna wagonjwa wenye akili halafu wakaweza kuhoji halafu kukawa hakuna uthibitisho juu ya uwepo wake mpaka kufikia kumkana basi wagonjwa wa akili kwangu mimi nawapa kipaumbele sana kuliko wazima walioshindwa kuthibitisha madai yao
It's Scars
Mtu alikua hajui kusoma wala kuandika halafu kikundi flani cha watu kikawa kinazusha uongo kua huyo asiyejua kusoma kuna kitabu kakiandika
Sikupangii kuhoji bali unatakiwa kuhoji kwa usahihi na huku ukiwa unakijua kile unacho kihoji au uwe tayari kujifunza na ujue kama hujui.Unanipangia nihoji kwa namna ambayo wewe utalizika?
Hapo juu nimeeleza kua navyo hoji sijali upande wa pili utajiskiaje juu ya kile nilichokihoji. Kwaiyo jambo la msingi unalotakiwa utambue mi sihoji kwa kuwafurahisha wadau
Ungekua uko kinyume na huo mtazamo wako tungekuona hapa ukiishambulia mada kwa kutoa hoja zenye uzito na sio kutoa viroja dhidi ya mtoa mada. Nitakua sahihi kukuita zwazwa hapa?
Hakuna anae taka kukupangia wala sikuwahi kuwaza ila unatakiwa ukihoji uhoji kwa usahihi na uhoji vya maana.Mimi hunipangii namna ya kuhoji ni kama tu saizi navyo kujibu bila wewe kunipangia namna ya majibu unayoyataka. Huna na jibu kwa namna ambayo mtu ana hoji sijibu ilimradi zurri na watu wengine wafurahi
Hivyo ndivyo nilivyo ukweli mchungu ni bora zaidi kuliko uongo mtamu, siwezi nikahoji kwa namna ambayo wewe unataka uhojiwe ilimradi tu ufurahi
Mbona hata sayansi inatuaminisha 'dawa fulani inatibu (mfano) malaria na wagonjwa wanatumia hiyo dawa na wengine wanakufa?' Kuomba kunakofanya kazi ni kule 'kuomba kwa imani' (kuamini kwa uhakika) kwamba unachoomba utakipata na iwe ni katika jambo kubwa na lisilowezekana kwa njia ya kawaida. Mfano, kama unaweza kupika chakula usiombe Mungu akupikie chakula. Kama unaweza kusafiri kutoka sehemu A kwenda sehemu B usiombe Mungu akupeleke kimuujiza. Kwa hiyo tuombe katika mambo gani? Tuombe katika mambo yote - ila yale tunayoweza tumwombe Mungu atuwezeshe kuyaweza vizuri na yale tusiyoyaweza tumwombe Mungu atusaidiea tuyaweze na tunapomwomba Mungu tusimpangie siku na muda, bali tumwache yeye atusaidiea kadiri anavyoona na anavyotaka iwe. Mara nyingi tunapoomba tunampangia Mungu na pia tunaweza kuwa pia chanzo cha tatizo kutokana na mazoea yetu mabaya na hapo tukiomba bila kubadilisha tabia yetu tunakuwa kama tunajisumbua bure.
Kushindwa kwako kuonyesha ya kuwa jambo si sahihi, kunaonyesha "uzwa zwa" wako na wewe ni muongo wa kauli, sababu unacho kinadi kipo dhidi yako.Nilitanguliza hilo kwasababu hakuna formula maalumu ya kufanya usahihi katika jambo ambalo si sahihi.
Angekuwepo ningemjua
Nakukumbusha tu ya kuwa nikisema kazi yangu nimemaliza, haya ndio matokeo yake.Hili nililitanguliza kabla na shabaha yangu nilikua nakusudia kuwalenga watu kama nyinyi. Nilijua kwa vyovyote vile kichaka hichi lazima mjifiche na hizo ndio dhana za ujinga wenu
Tumesema mnahoji visivyo sahihi na kweli ni wagonjwa wa akili, hakuna paliposemwa kila mgonjwa wa akili hana uwezo wa kuhoji, hivi ukiambiwa kuna watu hapa duniani wanatembea lakini ni "WAFU" unaelewa nini ?Kwanza kama kweli kuna wagonjwa wenye akili halafu wakaweza kuhoji halafu kukawa hakuna uthibitisho juu ya uwepo wake mpaka kufikia kumkana basi wagonjwa wa akili kwangu mimi nawapa kipaumbele sana kuliko wazima walioshindwa kuthibitisha madai yao