Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Ona sasa umefikia hatua unasifia mpaka unakosea unamuita mwenzako dada.

Kwanza inaonekana hujasoma vizuri ukalewa bandiko langu

Hapo juu nimeweka mfano ukiwalenga watu wa dzain kama yenu ambo ni wavivu kushirikisha ubongo

Mfano wenyewe nimesema watu wa dini tayari wameshajitengenezea self defense ili kuwapumbaza watu ambao sio wadadisi

Watubwa dini mpaka muda huu wanatembea na dhana mbili (positive na negative)

Kivipi, ikiwa watabibu wamefanikisha kupata dawa, watu wa dini watakuja na dhana ya (positive) watajinadi kua dawa hiyo imepatikana kwasababu ya maombi yao yamejibiwa na mungu ni hapa ndipo ule msemo wa god works in mysterious ways unapopata nafasi

Ila ikitokea hakuna dawa iliyopatikana, hapa watakuja na ile dhana ya (negative) kua mungu hujibu maombi kwa wakati wake au watasema hili ni jaribu ambalo mungu ametupa ili kutupima imani

Sasa nakuona nawewe umedondokea kwenye mifano hiyo hiyo hapo kua mungu atafanya muujiza kupitia madaktari

Nimesema vipi kama wote tukiungana kuomba kusiwepo na madaktari wa kuhangaikia tiba je maombi yetu yatafanya chochote?

It's Scars
OK nimekubali sasa kutokana ulichoandika hapo Viongozi wadini wanaumbuka vipi au Corona imewaumbua kivipi ikiwa kumbe wanaFalsafa ya positive na negative kwa kila tokeo litalotokea...

Lete hoja yako wameumbuliwa vipi na Corona sasa ??
 
Kuvunja watu moyo, wa kufanya jambo, anaevunja, hasemi nawavunja moyo, hivyo hata kama hukuandika hivyo sisi tunao amini Mungu tunaona nia yako.

Cha msingi, imani ipo, na nchi imeruhusu watu kuwa na imani yao wasche waendelee kuamini wewe usiyeamini endelea kuamini hivyo, mbona wao hawaandiki kuhusu unachoamini.
Na hakuna mahali nimeandika kua mvunjike moyo msiamini

Neno maombi muda wake sahihi wakujidhihirisha ilikua ni huu hatutaki maana ya maneno ambayo haisadifu vitendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasababu unatumia mkono kuunga mboga siyo?


Hilo neno ngoja tu niliandike tu kwa hapa halafu kule niliache vile vile kwasababu lina display kwenye replied quotes

"Upumbaavuu"




It's Scars
Hapo sawa maana MTU anaweza asiwe
1) mjinga ila akawa mpumbaavu
2)mpumbaavu ila akawa mjinga
Ujinga siyo laana bali upumbavu ni kama laana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Mungu aliweka nidhamu katika ulimwengu sasa kwanini corona inasumbua watu halafu tunaona wachamungu wakijihami kwa maombi wakati huu ugonjwa ni sehemu ya matokeo yanayotokana na nidhamu ya ulimwengu aliyoiweka mungu?
Wewe huamini mungu

Kwa anaeamini mungu huwa anachukua tahadhari pamoja na kumuomba mungu,kwa sababu anaamini ya kuwa pamoja na tahadhari atakayo chukua bado haitoshi kwa yeye kutopatwa na ugonjwa kwa sababu hill lipo nje ya matashi ya mwanadamu,bali ni kwa matakwa ya mwenyezimungu.

Kwa mfano mtu anaweza kujiepusha na yale yote yanayo sababisha kupatwa maambikizi ya VVU,kama kuacha ngono nzembe,kuchangia matumizi ya vitu vya ncha kali n.k,lakini bado akapata maambukizi labda kwa kuletewa ndani ya nyumba na mweza wake wa ndoa.

Sasa hapa unaona ni kiasi gani sisi wanadamu tulivyokuwa dhaifu mbele ya muumba wetu,yaani hatuwezi kulipangua alilolipanga Bali kwa kumuomba mezuri kwa sababu hatujui amepanga nini.

Sasa wewe usiyeamini mungu endelea kuvaa mask na kunawa mikono pekee.
Na sisi tutaendelea kumuomba mungu na kuchua hizo tahadhari.
 
Kuna mahali ulishaenda ukalazimishwa kutoa sadaka ????sadaka ni maamuzi yako ww kutoa na unatakiwa utoe kwa sababu fulani .sio kwa kuambiwa na mtu toa sadaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulazimishwa sio mpaka uwekewe bastola kichwani

Spirits ya wachungaji kuhubiri kuhusu sadaka na kuwakandamiza wale ambao hawatoi fungu la kumi pamoja na wale wanaotoa pesa za sarafu kua ni illegal hiyo pia ni aina yake ya ulazimishwaji

It's Scars
 
Wewe jamaa uwe unasoma hoja sio kukimbillia kuandika maana Dada wawatu amelijibu ilo swali ×2 still unauliza swali lilelile.
Kijana! kijana! jitathimini kiumakini na huyo unayemuita dada

It's Scars
 
2 Mambo ya nyakati 7:11-18
12 Bwana akamtokea Sulemani usiku, akamwambia, Nimesikia uliyoyaomba, na mahali hapa nimejichagulia kuwa nyumba ya dhabihu.
13 Nikizifunga mbingu isiwe mvua, tena nikiamuru nzige kula nchi, au nikiwapelekea watu wangu tauni;
14 ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
15 Sasa macho yangu yatafumbuka, na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa.
16 Maana sasa nimeichagua nyumba hii na kuitakasa, ili kwamba jina langu lipate kuwako huko milele; yatakuwako na macho yangu, na moyo wangu daima.
17 Nawe, ukienda mbele yangu kama alivyokwenda Daudi baba yako, ufanye sawasawa na yote niliyokuamuru, na kuzishika sheria zangu na hukumu zangu;
18 ndipo nitakithibitisha kiti cha enzi cha ufalme wako, kama nilivyoagana na Daudi baba yako, nikisema, Hutakosa kuwa na mtu wa kutawala katika Israeli.
 
Sasa ukipewa fursa ya kuthubitisha huyo mungu unayemuamini utaweza?

Utajuaje kua huyo mungu unayemuamini sio inventions za hao matapeli uliowakataa hapo mwanzo?

It's Scars
Jibu ni jepesi tu je wewe upo? Kama jibu ni ndiyo upo basi kudhani hakuna mungu ni kudhani mungu ni dhahifu kuliko wewe .je mikikuuliza siafu wapo utajibu nini? Utasema wapo ,je nikikuuliza kunguru wapo utajibu ndiyo sasa kwanini unaona ni mungu tu ndiye asiye stahili kuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana sikujibu kitu, maana majibu yangu yangekuwa kama Zurri tu, ila nikiangalia naona ujamakinika na majibu yake ili uelimike badala yake unauliza ×tatutatu ikiwa kitu ushajibiwa kwa makini.

Siwezi l.
Majibu yako yangekua kama ya zurri inamaana nawewe ungekosea kama mwenzako?

It's Scars
 
OK nimekubali sasa kutokana ulichoandika hapo Viongozi wadini wanaumbuka vipi au Corona imewaumbua kivipi ikiwa kumbe wanaFalsafa ya positive na negative kwa kila tokeo litalotokea...

Lete hoja yako wameumbuliwa vipi na Corona sasa ??
Corona Inaiumbua dini kua kinachofundishwa na dini ni uongo

It's Scars
 
Kuvunja watu moyo, wa kufanya jambo, anaevunja, hasemi nawavunja moyo, hivyo hata kama hukuandika hivyo sisi tunao amini Mungu tunaona nia yako.

Cha msingi, imani ipo, na nchi imeruhusu watu kuwa na imani yao wasche waendelee kuamini wewe usiyeamini endelea kuamini hivyo, mbona wao hawaandiki kuhusu unachoamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu umezoea "kuamini" basi umejikuta unapelekeshwa na dhana hiyo kiasi kwamba umejikuta umeamini jibu lisilosahihi kua ndio kusudio la hoja yangu

It's Scars
 
Once upon a time nishawahi kula ban kwasababu ya neno "zwazwa" it was my first time to be banned but since that day nimekua muoga sana kulitumia lakini we mwenzangu huoneshi chembe ya uoga.
Tamko "zwazwa" sio tusi, hasa likiwekwa mahala pake.

Hivi kwa mfano mimi nikiwa mwizi kweli, kisha wewe ukaniambia "Zurri wewe mwizi" utakuwa umekosea ? Jibu sahihi ni kinyume chake.
Mimi sio mjinga wala zwazwa ila nina uwezo wa kuhoji chochote ambacho nakiona kwangu hakipo sawa.

Uwezo wako wa kuhoji ni mdogo sana, na udogo wa kuhoji kwako unatokana na kutokujua jambo unalo hoji kwalo, na hii imesababishwa ya kuwa hukufundishwa namna ya kuhoji.

Msingi wa kuhoji na kupatia katika kuhoji ni kufikiei sahihi kabla ya kuhoji. Mathalani katika hii mada hukufikiria kwa usahihi juu ya kuhoji jambo husika, sababu umekosa mambo yote yanayo mfanya mtu ahoji kwa usahihi nayo ni :

1. Hukufikiria kwa usahihi
2. Hujui jambo unalo lihoji kwalo.
Kwa mtu yeyote ambaye anakiamini hicho kitu pasipo kutegemea kumridhisha muulizwaji kwa aina ya maswali ambayo nitamuuliza

Hili halina shida ndio maana hatuudhiki kwa kile unacho tuhoji kwa upofu sababu tunajua usahihi tuko nao, badala yake tunakukosoa na kukupa majibi sahihi, na ni juu yako kuyakubali majibi yetu au kuyakataa.

Ahsante.
 
Ni maoni yake naye anauhuru wa kuchangia

Wewe umeandika vingapi ambavyo havina uhusiano na bandiko langu lakini nimekujibu bila kejeli?

It's Scars
Unaweza kunitajia hata kimoja nilichokiandika hakihusiani na mada yako ?
 
Ma pagan yamepata sababu isiyo na mashiko yakuendeleza upuuzi wao
 
Back
Top Bottom