Dada
Hapa ndipo ulipoharibu, nilitaka nisikujibu kuacha wakiona wakujibu.
Kwa ufupi niko mbioni, kuongeza mke wa pili mzee.
Ahsante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dada
Hapo comment yangu wapi nimejizungumzia Mimi najua DINI ??????Usijidai unaijua dini kuliko wenzako wanao hubiri huku wamevaa mask
Na wala usijidai unaijua dini kuliko wale waliokuzuia usiende kwao kama ulivyozoea siku zote kuwafata ili kupata elimu ya dini
It's Scars
Mara nyingi nimekuwa nikiwaambia watu humu Mungu,dini imani hazina chochote cha kubadilisha maisha ni uhalisia! Dini ni vitu vya kusadikika!Afrika tumewekeza sana kwenye uchawi, uganga na dini! Haya basi hiyo dini ituokoe kipindi hiki kigumu!
Mwanadamu sio kwamba mpaka awepo dereva ndo linatembea, nini maana ya akili na utashi tumeopewa na Mungu, kama unataka mpaka ukibanwa kwenda uani akupeleke Mungu, ndo uamini yupoSwala hilo linaweza ku-make sense iwapo utasema mungu hayupo au umtoe zile sifa zake ambazo ukimtoa anakua kama bushman tu
Kwasababu katika ulimwengu ambao mungu mwenye ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote yupo basi hatutegemei kuona wizi ukiwepo
Ukisema wizi upo na mungu huyu yupo hapo inakua ngumu kueleweka, ila ukikitoa kimoja wapo kati ya hivyo viwili (mungu na wizi) basi hoja yako itakua thabiti kabisa
Sasa tunaona wizi upo
It's Scars
HajitambuiHapo comment yangu wapi nimejizungumzia Mimi najua DINI ??????
Kusema Wewe hujui kuendesha gari Kwaiy Mimi ndio Najua ?????
Eti mtu unataka kwamba kwakua watu waanaamini MUNGU. Basi wasiumwe kwamba MUNGU yupo, Basi wasipatwe na matatizo kwamba MUNGU yupo, Unataka Wawe na Maisha ya Raaaha kisa Wanaamini MUNGU, We una akili kweli Wewe ??
Hiyo Haipo hivyo Bwasheee,Ungekua Unajua usinge andika Upuuzi huo
Labda nikuulize. Huu ulimwengu Ulianzaje ?? Where life Starts ??
Kwamba vilitokea tuu from No where sio ??
Dini na Imani ni vitu vya ajabu sana, utatukanwa hapa balaa kisa umegusa Imani na dini za watu. Watu wenye Imani zao huwa hawana reasoning kabisa, wao watakuambia "utalaaniwa".
Mufti usiongeze jiko kwanza subiri korona ipiteHapa ndipo ulipoharibu, nilitaka nisikujibu kuacha wakiona wakujibu.
Kwa ufupi niko mbioni, kuongeza mke wa pili mzee.
Ahsante.
Mufti usiongeze jiko kwanza subiri korona ipite
Sijui.Hivi maji ya ZamZam hayatibu hii kitu..!? Maana yana vitu vingi yale mufti
Mtu alikua hajui kusoma wala kuandika halafu kikundi flani cha watu kikawa kinazusha uongo kua huyo asiyejua kusoma kuna kitabu kakiandikaTamko "zwazwa" sio tusi, hasa likiwekwa mahala pake.
Hivi kwa mfano mimi nikiwa mwizi kweli, kisha wewe ukaniambia "Zurri wewe mwizi" utakuwa umekosea ? Jibu sahihi ni kinyume chake.
Uwezo wako wa kuhoji ni mdogo sana, na udogo wa kuhoji kwako unatokana na kutokujua jambo unalo hoji kwalo, na hii imesababishwa ya kuwa hukufundishwa namna ya kuhoji.
Mimi hunipangii namna ya kuhoji ni kama tu saizi navyo kujibu bila wewe kunipangia namna ya majibu unayoyataka. Huna na jibu kwa namna ambayo mtu ana hoji sijibu ilimradi zurri na watu wengine wafurahiMsingi wa kuhoji na kupatia katika kuhoji ni kufikiei sahihi kabla ya kuhoji. Mathalani katika hii mada hukufikiria kwa usahihi juu ya kuhoji jambo husika, sababu umekosa mambo yote yanayo mfanya mtu ahoji kwa usahihi nayo ni :
1. Hukufikiria kwa usahihi
2. Hujui jambo unalo lihoji kwalo.
Hili halina shida ndio maana hatuudhiki kwa kile unacho tuhoji kwa upofu sababu tunajua usahihi tuko nao, badala yake tunakukosoa na kukupa majibi sahihi, na ni juu yako kuyakubali majibi yetu au kuyakataa.
Ahsante.
Madaktari wana dini ila mbona wanapingana na nyinyi wao wanaingia maabara kutafuta suluhu wakati nyie mnaingia misikitini kuomba?Jamaa sijui una ugomvi na dini au sijui vp..halafu jinsi unavyoelezea dini ni kama vile ni kakundi tu cha wafu fulani kumbe hadi hao madaktari wanaokutibu pia nao waumini wa dini.
Hapo comment yangu wapi nimejizungumzia Mimi najua DINI ??????
Kusema Wewe hujui kuendesha gari Kwaiy Mimi ndio Najua ?????
Eti mtu unataka kwamba kwakua watu waanaamini MUNGU. Basi wasiumwe kwamba MUNGU yupo, Basi wasipatwe na matatizo kwamba MUNGU yupo, Unataka Wawe na Maisha ya Raaaha kisa Wanaamini MUNGU, We una akili kweli Wewe ??
Hiyo Haipo hivyo Bwasheee,Ungekua Unajua usinge andika Upuuzi huo
Labda nikuulize. Huu ulimwengu Ulianzaje ?? Where life Starts ??
Kwamba vilitokea tuu from No where sio ??