Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #101
Katika watu wajinga na mazwa zwa hapa duniani sijaona wa kuwazidi watu wa aina ya mtoa mada.
Nasema hivi hakuna wakuwazidi,mfano mzuri ni huu tu wa mtoa mada, yaani hamjui Mola halafu ajabu anamzungumzia kwa kutoa kasoro. Vichekesho hivi.
Once upon a time nishawahi kula ban kwasababu ya neno "zwazwa" it was my first time to be banned but since that day nimekua muoga sana kulitumia lakini we mwenzangu huoneshi chembe ya uoga.
Anyway ngoja nikujibu
Mimi sio mjinga wala zwazwa ila nina uwezo wa kuhoji chochote ambacho nakiona kwangu hakipo sawa. Kwa mtu yeyote ambaye anakiamini hicho kitu pasipo kutegemea kumridhisha muulizwaji kwa aina ya maswali ambayo nitamuuliza
It's Scars