October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
OK nimekubali sasa kutokana ulichoandika hapo Viongozi wadini wanaumbuka vipi au Corona imewaumbua kivipi ikiwa kumbe wanaFalsafa ya positive na negative kwa kila tokeo litalotokea...Ona sasa umefikia hatua unasifia mpaka unakosea unamuita mwenzako dada.
Kwanza inaonekana hujasoma vizuri ukalewa bandiko langu
Hapo juu nimeweka mfano ukiwalenga watu wa dzain kama yenu ambo ni wavivu kushirikisha ubongo
Mfano wenyewe nimesema watu wa dini tayari wameshajitengenezea self defense ili kuwapumbaza watu ambao sio wadadisi
Watubwa dini mpaka muda huu wanatembea na dhana mbili (positive na negative)
Kivipi, ikiwa watabibu wamefanikisha kupata dawa, watu wa dini watakuja na dhana ya (positive) watajinadi kua dawa hiyo imepatikana kwasababu ya maombi yao yamejibiwa na mungu ni hapa ndipo ule msemo wa god works in mysterious ways unapopata nafasi
Ila ikitokea hakuna dawa iliyopatikana, hapa watakuja na ile dhana ya (negative) kua mungu hujibu maombi kwa wakati wake au watasema hili ni jaribu ambalo mungu ametupa ili kutupima imani
Sasa nakuona nawewe umedondokea kwenye mifano hiyo hiyo hapo kua mungu atafanya muujiza kupitia madaktari
Nimesema vipi kama wote tukiungana kuomba kusiwepo na madaktari wa kuhangaikia tiba je maombi yetu yatafanya chochote?
It's Scars
Lete hoja yako wameumbuliwa vipi na Corona sasa ??