Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Naweza kuthibitisha pale nitakapo jua ww baba yako anaitwa Nani? Na unaaminije kuwa huyo ni baba yako?
Tumia roho mtakatifu akuongoze mpaka umjue baba yangu

Ukiweza hilo huna haja ya kuthibitisha mungu yupo

It's Scars
 
Atoke shehe au padri au mchungaji aombee wagonjwa wa corona wapone tuone
Wanasubiri sayansi ivumbue ndio waje kimbelembele
Juzi nimemskia padri akililamika kua mtaani wanauza mask fake, alilaani sana tukio hilo huku akisema wanaofanya hivyo mungu atawapa adhabu kali motoni

Yani nilichokiona watu wajanja wame-focus kwenye mask kujiweka katika usalama, huku wazembe wazembe wakiendelea na maombi

It's Scars
 

Second comment fanya kuthibitisha mungu yupo

It's Scars
 
Kwaiyo dua na maombi hayana msaada wowote katika jitihada za kutekeleza corona?

It's Scars
 

We uhuru jr Una uhuru wa kumuita chizi mwenzako kisa mungu, lakini hauna uhuru kuthibitisha uwepo wake?

It's Scars
 
Hibi unaelewa kukiwa na mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote, na mwenye upendo wote hakutakiwi kuwe na ugonjwa wa aina yeyote utao angamiza kiumbe chochote?

It's Scars
Huyo mungu wa herufi ndogo ni ibilisi na mawakala zake ukiwemo na wewe? Mungu Mwenyezi ambaye ni Mungu wa Israeli hajadiliwi kiboya boya wala kudhihakiwa huku mitandaoni
 


Uwepo wangu unathibitishaje mungu yupo?

Kivipi ujuzi wa kutumia pc au simu uthibitishe mungu na sio kingine?

Nastaajabishwa na ujinga wenu inafika wakati kalenda huenda ikawa ni sikukuu yenu lakini nacho kiona sikukuu yenu sio leo


It's Scars
 
Bado unazidi kutoa mifano ya movie,nani umewahi kumuona akifanya uchunguzi wa uwepo wa spiderman au hiyo chupa? Kwa sababu inajulikana ni story zilizobuniwa kwa ajiri ya movie na kuishia hapo.

Wewe kuona habari za uwepo wa Mungu ni uongo si tatizo kwangu maana siwezi kukulazimisha uamini Mungu,ila suala la kufananisha habari za Mungu na spiderman hapo ndipo nakukatalia.
 
Hili swala lingekua linatambulika kweli na ikawa linauhalisia, tusingeona nguvu kubwa ikitumika mekka na vatican kupiga marufuku watu wasiende kwa uoga wa kufa, wakati wakifa watapata maisha maziluri ya milele..

It's Scars
Kinachoogopa kufa ni mwili, kwa sababu mwili asili yake ni dunia, bali wacha Mungu wanatumaini maisha ya umilele na Kristo katika roho
 
Ukizungumzia wana dini basi hata wanasayansi pia nao ni wanadini,ni kama vile mfanyabiashara kuwa mwanadini,viongozi wa serikali wanadini n.k sasa sijui unakwama wapi?
Sijaishia hapo

Nimesisitiza kua wale wote wanaodai kua wananguvu yenye huruma kutoka kwa mungu inayoponya kila gonjwa

Ukiona wanasayansi ambao wana dini halafu wanatafuta suluhu nje ya hiyo dhana hapo ndio ujue kua wameaisha elewa kua dhana ya miujiza kupitia maombi ni ulaghai

It's Scars
 
Kwanza nashukuru kwa kuzitambua kua ni "hoja dhaifu" ajabu ni kwamba pamoja udhaifu wake zimekushinda kuzijibu.

Vipi ukiletewa zisizo dhaifu utaziweza, kama hizi dhaifu zimekushinda?



It's Scars
Hakuna jipya

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Mungu hafanyi kazi kwa namna unavyowaza wewe. Wala si kwa namna ya kina Gwajima

Sent using Jamii Forums mobile app
Aina hii ya self defense inaitwa "njia za mungu hazichunguziki"

Endapo utahoji kivipi huyu mungu hathibitishiki uwepo wake utapewa hili jibu "Huwezi kumchunguza mungu kwa akili za kibinadamu"

Ukihoji kivipi mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote karuhusu uovu uchangamane na viumbe vyake halafu baadae akasirike watu wakifanya uovu. Hapa utaambiwa "Huwezi kumjua mungu kwa akili ya kibinadamu bila roho mtakatifu"

It's Scars
 
Na allah naye hayupo

Mpaka hapo tuko pamoja siyo?

It's Scars
Nilitamani nizungumze na wewe kwa lile ulilo na ujuzi nalo,
lakini nahisi huna ulijuwalo,
kwa hiyo huenda nikapoteza muda na wewe,
Hatua ya kusema hakuna Mungu ni hatua muhimu kwa Kiumbe kama wewe,
Inaonesha uhitaji wako wa Nguvu inayoweza kushindana na yale yaliyokushinda.
Hata hivyo,ujuwe kuwa Kuunda chombo kama ndege ili iweze kuruka angani si jambo dogo.Lakini kwa akina sisi wengi wetu hatujuwi hata pa kuanzia.
Kuendesha Ndege au meli nayo pia ni fani,kwa asiyejuwa ,ni usiku wa kiza kwake.
Sasa wewe unataka kumjadili Mungu Alieumba Kila kitu,na inaonesha wajuwa kuwa yupo lakini hujajuwa namna ya kumfikia nakumjuwa .
Huwezi hadi uelezwe na wale wenye kumjuwa.
Usipolitaka hilo,endelea kutukana.
Maana karamu ya fisi (mzoga), ni ujinga ulioje kwa Nyati mla majani.
Na sauti ya mbawa za mbu akiwa na raha zake,ni maudhi kwa Binadamu pamoja na udogo wake.
Hivi ndivyo dunia ilivyotofautiana kwa ujuzi na mahitaji ya viumbe.
Elimu haina kikomo,bali Akili zetu zina ukomo wa kujuwa mambo.
 
Kwani wewe unao watoto nyumbani?
Hivi wakikusea na kuhamaki nao au kuwachapa ,inamaanisha kuwa huna upendo?
Au kufanya vile ndio unawarekebisha ili wawe watoto wazuri huko baadae?
sasa hapa lipi usilolifahamu kwa mungu,?
Hivi wewe unajuwa dhumuni la kuwepo kwako hapa ulimwenguni?
Unajuwa kwanini umekuwa mwanadamu na si panya wala mende?
Unaonaje ungelikuwa Mwanamke malaya watu wakawa wanapanda na kushuka kama mwendo kasi?
Au unaonaje ungelikuwa Kichaa ukawa unakula majalalani?
Au ,.......au....
Hivi ulichagua kuwa hivyo ulivyo?
 
Huyo mungu wa herufi ndogo ni ibilisi na mawakala zake ukiwemo na wewe? Mungu Mwenyezi ambaye ni Mungu wa Israeli hajadiliwi kiboya boya wala kudhihakiwa huku mitandaoni

Hajadiliwi kiboya wakati tayali ushatumia neno boya?

Iwe MUNGU, Mungu, MUNgu, nk hata nimuandike kwa namna gani hiyo haifanyi awepo

Unajua ukisema mungu wa waisrael unakuabali kuwa wewe ni mtumwa kwa kuabudu mungu wa taifa la wenzako??

Unafikiri ni raisi kuwashawishi waisrael kusema mungu wa wanyakyusa? Kwasababu hawataki kuwa watumwa wa miungu yenu

It's Scars
 

Tumia logic katika kuhoji

Kwani habari za mungu haziwezi kuwekwa kwenye movie na bado tukazijadili?

Tukiweza kujadili habari za mungu ambazo ziko katika mfumo wa movie utakuabali kua mungu hayupo kwasababu habari kupitia movie ni uongo??



It's Scars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…