Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi nimemskia padri akililamika kua mtaani wanauza mask fake, alilaani sana tukio hilo huku akisema wanaofanya hivyo mungu atawapa adhabu kali motoniAtoke shehe au padri au mchungaji aombee wagonjwa wa corona wapone tuone
Wanasubiri sayansi ivumbue ndio waje kimbelembele
Mkuu Mungu yupo tena yu hai, tatizo linakuja kwa waamini kuwa na imani haba. Hatuna muda wa kutosha katika kutaka kumjua bali tunaweka shida zetu mbele.
Ndio wanatokea ma opportunist wa imani kama mitume na manabii wa kisasa.
Binafsi namwamini Mungu na katika kadhia hii na nyingine yeyote, Imeandikwa, "mwenye haki ataishi kwa imani."
Hivyo hatupaswi waamini kuishi kwa hofu yeyote. Hivyo tu mkuu
Mimi ni mgeni humu, na hii ni first comment yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo dua na maombi hayana msaada wowote katika jitihada za kutekeleza corona?Uislamu ndio uliotufunza kuwa panapoptokea janga la maradhi ya kuambukiza, pawkwe karantini.
Walichofanya Kule Mecca ndio mafunzo ya Mungu wetu.
Wasiingie watu wala waliomo wasitoke pale panapotokea mlipuko wa magonjwa.
Nadhani hata Pope alivyozuia wageni wasiingie pale Rome yawezekana naye alilijuwa fundisho hilo.
Mungu ndo huamua nani apatwe na lile janga na nai apone endapo kalileta kwenye mji fulani.
Na haleti janga lile ila huwa na dhamira maalumu ya Kumungu, mara nyingi huwa ni adabu kwa makosa ya wanadamu.
Hutuonya ili tuombe msamaha.
Wewe chizi kama machizi wengine,umekuja na hoja ya kichiz na nimekuonesha uchizi wa hoja yako. Unaanza kuniuliza habari za Mungu.
Et watu wanaamini dini kwa sababu ya kutishwa na moto wakati kuna watu hawana hofu na huo moto na ndiyo maana wanauwa wenzao na bado ni waumini wa dini na wanaamini Mungu,sasa sijui we chizi unaongea nini?
Wewe huna hoja huwa unabwabwaja tu,katafute sababu nyengine hiyo imekosa uhalisia.
Huyo mungu wa herufi ndogo ni ibilisi na mawakala zake ukiwemo na wewe? Mungu Mwenyezi ambaye ni Mungu wa Israeli hajadiliwi kiboya boya wala kudhihakiwa huku mitandaoniHibi unaelewa kukiwa na mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote, na mwenye upendo wote hakutakiwi kuwe na ugonjwa wa aina yeyote utao angamiza kiumbe chochote?
It's Scars
ha ha ha
Uwepo wako mimina wewe
Ulianza Miaka fulani huko nyuma.
Kabla ya hapo hatukuwepo.
Na miaka michache ijayo kama si masiku tutatoweka,
Jee hili Tukio la wewe kuondoka duniani una hiari nalo?
Au kuletwa duniani ulichagua?
Hata huo ujuzi wako wa kutumia hii PC au simu ,wengi hawakupewa ,na wengine wamekuypita kwa uelewa kuliko ulivyo.
Si ajabu ukiugua kidogo tuu unaanza kuwaza mauti asije kukuvamia,unakimbilia kwa daktari,
na kwa hakika utakufa kwa namna usiyoijuwa wala kubashiri,
Bali Mungu alisha kutangulia kwa ujuzi wa hilo
Bado unazidi kutoa mifano ya movie,nani umewahi kumuona akifanya uchunguzi wa uwepo wa spiderman au hiyo chupa? Kwa sababu inajulikana ni story zilizobuniwa kwa ajiri ya movie na kuishia hapo.Kwanza mimi sio dogo naona unakisia kama ulivyokisia kua kuna mungu, bahati nzuri shabaha yako imeenda tofauti na uhalisia kama ukivyo kisia kua kuna mungu
Swala la mungu kuathiri maisha ya watu hilo halithibitishi chochote kua mungu yupo, bali linathibitisha watu wajinga ni wengi katika jamii wasioweza kupembua mambo kwa fact.
Filamu ya god must be crazy ilionyesha ni kwa namna gani jamii ya bushmna iliathirika na ujinga kwa kudhania chupa iliyoangushwa kutoka juu ya ndege ilitoka kwa mungu
Kwaiyo nini kinachokufanya ujjihisi kua jamii inayoathiriwa na mungu siyo jamii ile ile kama ya bushman iliyokua inaathiliwa kwasababu ya ujinga?
Kama habari za spiderman zimebuniwa kwenye movie hilo linathibitisha kua spiderman hayupo kihalisia, vipi habari za mungu zilizobuniwa kwenye vitabu huoni nazo zinathibitiaha kua mungu ni wakufikirika tu kama spiderman??
Wanapinga uwepo wa mungu, kwani kuna siku uliwahi kuwathibitishia uwepo wa mungu?
It's Scars
Kinachoogopa kufa ni mwili, kwa sababu mwili asili yake ni dunia, bali wacha Mungu wanatumaini maisha ya umilele na Kristo katika rohoHili swala lingekua linatambulika kweli na ikawa linauhalisia, tusingeona nguvu kubwa ikitumika mekka na vatican kupiga marufuku watu wasiende kwa uoga wa kufa, wakati wakifa watapata maisha maziluri ya milele..
It's Scars
Sijaishia hapoUkizungumzia wana dini basi hata wanasayansi pia nao ni wanadini,ni kama vile mfanyabiashara kuwa mwanadini,viongozi wa serikali wanadini n.k sasa sijui unakwama wapi?
Aina hii ya self defense inaitwa "njia za mungu hazichunguziki"Mungu hafanyi kazi kwa namna unavyowaza wewe. Wala si kwa namna ya kina Gwajima
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitamani nizungumze na wewe kwa lile ulilo na ujuzi nalo,
Unaelewa kua ikiwa kweli majanga hayo yalitokea katika ulimwengu huu yanathibitisha hakuna mungu mwenye upendo wote, uwezo wote na ujuzi wote?Hapo sijaingia kwenye biblia wala quran.
Kipindi cha musa na ndugu zake mayahudi View attachment 1396177
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mungu wa herufi ndogo ni ibilisi na mawakala zake ukiwemo na wewe? Mungu Mwenyezi ambaye ni Mungu wa Israeli hajadiliwi kiboya boya wala kudhihakiwa huku mitandaoni
Bado unazidi kutoa mifano ya movie,nani umewahi kumuona akifanya uchunguzi wa uwepo wa spiderman au hiyo chupa? Kwa sababu inajulikana ni story zilizobuniwa kwa ajiri ya movie na kuishia hapo.
Wewe kuona habari za uwepo wa Mungu ni uongo si tatizo kwangu maana siwezi kukulazimisha uamini Mungu,ila suala la kufananisha habari za Mungu na spiderman hapo ndipo nakukatalia.