Corona imekuja kuumbua uongo wa dini


Yani swali la kujua ni kivipi kuran ni kitabu kilichosema ukweli, unatoa aya kutoka umo umo zinazojitetea kua ni kitabu chs kweli??

Unajuaje aya hizo sio defense mechanism iliyowekwa na waliotunga hicho kitabu ili watu waamini??

Mimi sijamuongelea "spider" nimemuongelea "spiderman"


It's Scars
 
Swali langu bado liko pale pale

Unajuaje kua verse hizo sio defense ili kuficha uongo wa kuonesha ulaghai wa hicho kitabu??

It's Scars
 
Una maswali ya kitoto sana Mwanadamu aliumbwa ili atumie akili na sio miujiza, tafsiri mbaya za wafanyabiashara wa kidini zisikufanye umdhihaki Mungu kiasi hiko
Matumizi sahihi ya akili ni pamoja na kuhoji

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?

It's Scars
 
Hakuna ulipojibu na hilo sitegemei kama utajibu

It's Scars

Nacheka sana. Nilipo sema onyesha ampapo hujajibiwa nilimaanisha na nilijua na ninajua huna uwezo huo.

Usitegemee kumjadili usie mjua kisha ukapatia, hilo halipo nachalijawahi kutokea.
 
Kujua ni kinyume na kuamini

Unaelewa kuamini ni nini?

It's Scars
Ujinga wenu mwingine upo katika kulielewa tamko hili "Imani".

Kujua ni kinyume cha kuto kukujua, na si "kuamini".

Nakupa kazi ya kutenganisha "Imani" na "kujua/Elimu" ukiweza kufanya hilo naacha kutumia hii "Id".
 
Naweza nikahojiana nawewe katika angle yeyote ile ambayo wewe kwako unaiona kama itakusaidia kupandikiza uzushi ulio aminishwa

Hapo nimekuonesha ni namna gani dini imekua ikikuongopea kupitia kichaka cha "roho mtakatifu"

Nawewe umeonesha niwazi kabisa umejua hilo thats why hujajisumbua kumjua baba yangu kwa njia ya kufikirika "roho mtakatifu"

Kama roho mtakatifu kashindwa kukuelekeza baba yangu alipo, unahakika gani kua huyo roho mtakatifu ataweza kukuongoza ukapata pepo ambayo umekua ukiaminishwa?



It's Scars
 
Kumbe hata unachokisoma Hukielewi. Hakuna Aya hapo inayosema unayoyasema. Hiyo ni challenge. Kasome tena uelewe kilichoandikwa kabla hujakurupuka. Au challenge imekuwa nzito kwako unatafuta pakutokea?

Kuhusu "spider" na "Spiderman" yupi ni fictitious na yupi ni non fiction?

Hapo sasa.
 
Nacheka sana. Nilipo sema onyesha ampapo hujajibiwa nilimaanisha na nilijua na ninajua huna uwezo huo.

Usitegemee kumjadili usie mjua kisha ukapatia, hilo halipo nachalijawahi kutokea.
Nimekuambia nipe kifungu ulipojibu hilo swali langu la post 123



It's Scars
 
Unamkataa spiderman kua hayupo kihalisia halafu unayakubali mapepo?

Kwanini matatizo ya akili yausishwe na mapepo wakati tayali ishajulikana kua ni matatizo ya akili?

It's Scars
Unakubali hayo matatizo yapo? Jibu swali kwanza kisha ndio tutajadil yanasababishwa na nini.
 

Kama hakuna aya inayotetea kuran ikijinasibisha kua ni kitabu cha kweli

Niambie unajuaje kuran imesema ukweli?



It's Scars
 
Ukiwa haujui kivipi wakati huko juu umekiri kua mungu ndiye aliyeleta huu ugonjwa?

Inamaana saizi unataka kukana kua hujui kua mungu ndiye akiyeleta hili gonjwa kwa lengo la kuwadhuru?

It's Scars
Kwa huu ujinga unataka uletewe kifungu ambacho umejibiwa ? Sasa nashangaa kwamba husomi ninacho kujibu au huelewi ninacho kujibu ?

Unajichanganya sana na unarudia maswali ambayo umejibiwa.

Post 120 na za nyuma zimejibu kwa uzuri sana maswali yako achilia mbali hili la 123 ulilo rudia na bado ukaichanganya zaidi.

Una dai mwanzo nimesema sijui na hapa unasema nimekiri,sababu wewe ni mjinga hutaki kusoma na kuelewa na kama hujaelewa hutaki kuuliza, nakuuliza tu wapi nilipokiri na niliposema sijui kumetofautiana na hoja yangu ? Sasa jitahidi kuhoji na kuukiza vya maana.

Tatizo lako husomi ukaelewq bali una kurupuka, hakuna kukataa hapo, huko nyume nimesema sisi hatujui kama vitatudhuru au la ndio maana tunachukua tahadhari, ila tunajua ya kuwa maradhi yanatoka kwa Allah na sababu tunazijua aidha kutupa mtihani na kutukumbusha kurudi kwake au kuwalipa waouvu ili sisi wengine tuzinduke.

Ukiambiwa mada iliisha kitambo, ila sababu unapenda kupoteza muda na kubisha ujinga, imefika mpaka hapa.

Nakukunbusha tu ya kuwa Elimu haiongopi na elimu siku zote huwa iko juu na haikaliwi na kingine juu yake.

Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…