Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #661
Usipate shida Qur'an yenyewe inakupa jibu...
Qur'an 2:
![]()
23. Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli. 23
![]()
24. Na mkitofanya - na wala hamtofanya kamwe - basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu na mawe walio andaliwa hao wanao kanusha. 24
Haya tunasubiri utimize hiyo "challenge". Miaka zaidi ya 1400 imetolewa , mpaka.leo hajatokea hata mmoja aliyeweza, jaribu bahati yako tRNA washirikishe na makafiri wenzako wote.
Hahaha unaongelea "spider"? Kuna sura nzima ndani ya Qur'an inabeba jina Hilo, imeshushwa zaidi ya miaka 1400 nyuma. Kwi kwi kwi teh teh teh, wewe ndio leo unamjuwa? Ulilala usingizi mzito sana.
Yani swali la kujua ni kivipi kuran ni kitabu kilichosema ukweli, unatoa aya kutoka umo umo zinazojitetea kua ni kitabu chs kweli??
Unajuaje aya hizo sio defense mechanism iliyowekwa na waliotunga hicho kitabu ili watu waamini??
Mimi sijamuongelea "spider" nimemuongelea "spiderman"
It's Scars