Corona imekuja kuumbua uongo wa dini


110. Lakini nyinyi mliwakejeli hata wakakusahaulisheni kunikumbuka, na mlikuwa mkiwacheka. (al Muuminuun : 110)

Sasa bibi hii aya mbona iko wazi kabisa inawazungumzia makafiri baada ya kuacha ukumbusho na kuwacheka waja wema, onyesha ushahidi unao onyesha kumcheka mtu dhalimu muovu anapo andika vya kuchekesha.

Lakini aya imesema walikuwa wana wacheka na haija sema "walikuwa wanajichekesha"

Ahsante.
 
iman bila matendo imekufa, matendo yanayomaanishwa hapa si maombi bali yale ambayo binadamu unaweza kuyafanya ili kujiokoa, mm na amini maombi yanafanya kazi na yanatibu ila sio kila kitu tunahitaji maombi ndo maana kuna madaktari pale wanapoishia madaktari ndo Maombi yanapoanzia, corona ni ugonjwa ambao haupo nje ya sayansi ya binadamu kwa maana kwa unadhibitika kibinadamu na tukifuata mashart ya kibinadamu tunaweza kujikinga nayo sasa huyo mtumishi wa Mungu ambaye anataka watu wavunje masharti wakusanyike kuombea Corona sidhani kama anamuelewa Mungu vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu yako alieishi mwaka 1750 alikua dini gani?

Mimi sijui, unaweza kutusaidia kujibu swali hili ? Kwa mfano wewe babu yako alikuwa dini gani kwa mwaka huo ulio utaja ?

Kwamba tatizo ni kuletewa dini au tatizo ni wale walio leta au tatizo ni dini ?
 
Hapo kwenye Corona ndiyo kipimo tosha cha kuwafahamu hawa Manabii feki na mafuta na keki zao za upako.
 
Bila ya shaka watu wamekujibu kwenye Post yako, katika majibu yaliyotolewa yapo majibu sahihi. Ila uhakika wa mambo we jamaa ni mjinga,humjui mola muumba that's why unachanganyikiwa. Unataka akili yako ijiongoze katika mambo ya ibada au katika namna ya kumjua muumba. Kwa mtindo huo utaishia kujichanganya na kuropoka utumbo. Mola muumba ametoa muongozo na kanuni za kumfikia na amejulisha waja wake namna yeye alivyo. Unatakiwa kukomea hapo hapo kwa kadri ulivyomfahamu. Sasa wewe unaamini kwenye akili tu,sio kila kitu kinadirikiwa na akili ya mwanadamu. Aliyekuumba amekuwekea limitations ya akili yako kuna mambo akili yako itadiriki na mengine hayadirikiwi na akili yako. Mwisho wa yote hata hao wanasayansi baadhi yao wanamuomba mungu huku wakitumia akili waliyopewa kufanya utafiti na kugundua. Sawa na watu wengine wanamuomba mungu awape riziki huku wakifanya sababu ya kupata riziki wao wenyewe Kama vile kulima au biashara na mambo
 
Ulianza kwa mbwembwe halafu umemaliza kinyonge

Unahakika gani na imani yako kua ninsahihi na sio kwamba ni potofu?

It's Scars
Ndiyo maana naiamini, tuachane Mambo ya imani.

Umeshindwa kusimamia hoja ya swali lako la msingi?

Umezoea kutukanana labda ndo maana unaona nimekuwa mnyonge?

Ww binafsi siwezi kujadiliana hoja na ww kupitia imani yangu Wala ya kwako .

Naweza kujadili kupitia maisha tunayoishi tu kuthibitisha kile ninacho kitukuza kuwa Kiko sawa.
 
Hizo challenge hazijajibu swali hili

Unajuaje kua kuran imesema ukweli?

It's Scars
 
Kasoro wewe tu?
Mbona
na wewe ni walewale tu.
Wewe kwa maandiko yako tu unajidhihirisha kuwa "you are simply an uneducated fool from an uneducated school'.

Ningekua Uneducated fool ningekua kiongozi wa waislamu

Maana kama mudy hakuwa educated hata kusoma hakujua na bado mnamlamba miguu na kumtukuza unafikiri kungekua na ugumu wowote mimi kua kiongozi wenu hapa??



It's Scars
 
Ambapo sijaelewa ni kwamba ulikuwa unataka watu wanaoamini Mungu wasifanye kazi kwamba wawe wanaomba dua tu kwa sababu wanadini? Au wananadini wenye taaluma zao wasishughulike na taaluma zao wao waombe dua tu?

Makanisani na misikitini wanavyofundishwa kua ombeni nanyi mtapewa na hakuna kinacho shindikana mbele za mungu endapo utaomba, kwanini sasa wasiombe dua kazi zao zifanyike kama kweli dua inafanya kazi kwa namna ambavyo wao wamefundishwa?

It's Scars
 
Sasa kama sio msemaji wa Mungu mbona unasema kuwa Mungu hawezi kuumba kiumbe chenye mapungufu hii kauli ni ya kwako au umemsikia Mungu akisema hivi ?



Sent using Jamii Forums mobile app

Ningemsikia akisema, leo hii nisingewaganda hapa mthibitishe uwepo wake

Nimesoma vitabu vya dini vikidai kua binadamu hajakamilika anamadhaifu, unabidi uelewe kua nimejenga hoja kwa minaajili ipi

It's Scars
 

Kucheka cheka huyo ndio zake

Japokua wote ni wajinga ila afadhali imeonekana upande wako, huyo mwenzako sio wakupona leo.

It's Scars
 
Mkifika muafaka wa nyie kwa nyie kwa kuondoa tofauti zenu ambazo mnatofautina muungane wote kuthibitisha allah yupo

It's Scars
 
Kwenye Theology ukisoma vizuri utakuta hizi Abrahamic religions (Judaism, Christianity, Uislam) ni fabrications tu, hazina ukweli wowote na ndiyo maana wachungaji wa siku hizi baada ya kusoma na kugundua ukweli huo wanacheza na akili za waumini wao kwa sababu wanajuwa hizi dini hazina ukweli wowote ule. Mfano kuna huyu nabii wa Kinigeria aitwaye T.B. Joshua, huyu jamaa baada ya kuchunguza nimekuta ni mshirikina kupindukia ila anatumia jina la Mungu kurubuni waumini wake kwa kuwachezea akili. HAKUNA kitabu chenye madhambi kama Qur'an.....ukitaka kumtupia mtu marogo/uchawi vyote vinapatikana kwenye hiki kitabu, ukitaka kuua mtu pia unapata humo humo ndani ya Qur'an, hivi iweje Mungu atukataze kuuana then ashushe Qur'an na kuruhusu waarab mauwaji aliyokataza? Waafrika tuache ujinga, amkeni mmechezewa akili far too long kwa kisingizo cha dini. Huko Italia na nchi kibao duniani wau wanasali kwa Mungu aondoe Coronavirus, Mungu hawasikii, why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…