We punguani, Huwa hamuelewi mnachokisoma. Nani alikudanganya kuwa maneno ya Ibn Majah ni Qur'an? Nnakushauri, usifanye upuuzi na ujinga wa kuihusisha Qur'an na Binadam.
Kujichekesha chekesha hovyo ni mambo ya kikafir hayo. Soma Qur'an...
إِنَّهُ كَانَ فَرِيقٌ مِّنْ عِبَادِي يَقُولُونَ رَبَّنَا آمَنَّا فَاغْفِرْ لَنَا وَارْحَمْنَا وَأَنتَ خَيْرُ الرَّاحِمِينَ - 23:109
فَاتَّخَذْتُمُوهُمْ سِخْرِيًّا حَتَّىٰ أَنسَوْكُمْ ذِكْرِي وَكُنتُم مِّنْهُمْ تَضْحَكُونَ - 23:110
Kijana, wewe inabidi unisome upate kujifunza kutoka kwangu, wewe upo finyu sana, bado kabisa hujafikia "caliber" ya kushindana na yeyote kwenye masuala ya elimu yoyote Ile.
110. Lakini nyinyi mliwakejeli hata wakakusahaulisheni kunikumbuka, na mlikuwa mkiwacheka. (al Muuminuun : 110)
Sasa bibi hii aya mbona iko wazi kabisa inawazungumzia makafiri baada ya kuacha ukumbusho na kuwacheka waja wema, onyesha ushahidi unao onyesha kumcheka mtu dhalimu muovu anapo andika vya kuchekesha.
Lakini aya imesema walikuwa wana wacheka na haija sema "walikuwa wanajichekesha"
Ahsante.