Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Mi naona wameumbuka sasa imejulikama wao wanatabiri mapepo na majini tu, na mambo ya kujaza watu hela kwenye pochi kimiujiza.
Yaani wote pamoja na kujimwambafai kwamba wana mawasiliano mazuri ma Mwenyezi Mungu kwamba ana wastua mapema kama kuna kitu kibaya kinataka kutokea sasa imethibitika wote ni wachumia tumbo macho ku mchuzi. Hawana lolote. Angalau mmoja tu angetuhabarisha ingeeleweka lakini wote nchi mzima walimuwa gizani kuhusu Corona.
Na watu wote wanaoendelea kuwaamini hawa watu naomba wajitafakari
 
Wewe umepata wapi ujasiri huo wa kusema kuwa dini hizi i za uongo?
Umesoma wapi?
Toa ushahidi wa kuonesha uongo wake basi
Mimi ni
mbona havikuandikapo hizo tarif za kanuni za maisha na yeyote kabla Muhammadu na au kitabu chochote kabla ya qur-an?
na ilikuwje kuchukua karne kadhaa kuthibitishwa ukweli wake hizo kanuni za maisha unazo sema?
huna hoja,
hivi wewe unakataa uwepo wa Mungu kwa ushahidi upi?
na unatumia kitabu gani au akili ya nani isiyokuwa yako kukanusha hilo?
hebu nijibu. tafadhali
 
Ombaomba wanavyoomba msaada barabarani nayo ni dua?

Kama kuomba dua kuna weza kuleta impact chanya huoni kwamba hiyo ni mental work?

It's Scars
 
Hoja gani umetoa mzee ?

Hivi kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?
Hivi kwanini unakwepa maswali yangu kwa kigezo cha kusema sijibu maswali yako kitu ambacho sio kweli?

It's Scars
 
Haya ni maneno yako bil shaka au unakataa ? Kama unakubali unacho zunguka nini na wapi nimekuzushia kama nimenukuu maneno yako kwa munasaba husika ?
Nikikuambia wewe ni mjinga hua sifanyi joking

Kivipi hayo maneno yawe yangu wakati nimeyatoa katika post yako na hilo nimeliweka wazi kwenye post yangu ambayo umei-quote?

Huoni kwamba maneno hayo nimeyanukuu kwenye post yako

Sasa ulivyo mjinga una kataa maneno yako kwa kuleta maneno ya nyuma ambayo nayo niliya dhoofisha.

Tuliza akili kijana.
Hii ni dalili mbaya sana umeonesha kukata tamaa na tumaini katika mjadala


Hebu angalia hayo maneno hapa chini ambayo umeyakataa kua sio yako halafu ujione ni kiasi gani we ni taila

It's Scars
 
Muujiza ambao upo kihalisia ni matumizi ya face mask pamoja na kunawa maji safi yanayotiririka kwa sabuni

Huo ndio muujiza ambao unafanya kazi kipindi hiki na wala sio maombi yakufikirika ambayo sio msaada kama kivuli cha fimbo

It's Scars
 
Thibitisha mungu yupo

It's Scars
 
Infact ni kwamba hakuna sector yeyote ambayo muafrika anafanya kwa weledi bila kukosea kama sector ya ujinga

Muafrika kwenye ujinga ndo anaplay part vizuri kuliko sector yeyote unayoijua wewe
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimecheka Sana manina mie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ombaomba wanavyoomba msaada barabarani nayo ni dua?

Kama kuomba dua kuna weza kuleta impact chanya huoni kwamba hiyo ni mental work?

It's Scars
Kijana hapa hatutafuti mshindi usijitutumue kubisha hata yasiyo hitaji ubishani, "kama hivi kama vile" za nini? Kuomba si kazi na dini haziwaambii watu wasifanye kazi,wasijali afya zao,wasifanye shughuli zao,wasijikinge na maradhi na maafa. Sasa wewe unataka hayo yote wasiyafanye et waombe dua tu,hakuna dini inayosema hivyo.
 
Kwanza nini maana ya kazi

Turahisishe mambo
 
Na bado watakuja wenye roho ngumu na maneno ya 'kwa jina la Yesu nasema Corona ondoka' , wasaidizi pembeni wakiwa na bakuli za kupokea sadaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini unakwepa maswali yangu kwa kigezo cha kusema sijibu maswali yako kitu ambacho sio kweli?

It's Scars

Sijawahi kukwepa maawali yako kijana,bali wewe ndio unakwepa maswali.

Kuna maswali uliyojibu hata moja katika yale niliyo kuuliza ?

Sasa jibu.
 
Nikikuambia wewe ni mjinga hua sifanyi joking

Kivipi hayo maneno yawe yangu wakati nimeyatoa katika post yako na hilo nimeliweka wazi kwenye post yangu ambayo umei-quote?

Huoni kwamba maneno hayo nimeyanukuu kwenye post yako
Onyesha sehemu niliyo andika hayo maneno. Kijana nakuonea huruma sana.
 
Hii ni dalili mbaya sana umeonesha kukata tamaa na tumaini katika mjadala

Namaanisha maneno yako niliya dhoofisha lakini bado unarudia, sio kila jambo unatakiwa ubishe kijana, ndio unazidi kuonekana usie jua kujenga hoja bali unakimbia maswali.
 
Hebu angalia hayo maneno hapa chini ambayo umeyakataa kua sio yako halafu ujione ni kiasi gani we ni taila

Kaka naomba nisitishe huu mjadala. Nafanya hivi kwa haya yafuatayo.

1. Hujibu maswali
2. Unarudia kuuliza maswali ambayo umeshajibiwa
3. Hukijui unachokizungumzia
4. Unandika uongo na na kunizulia, kama ulivyo fanya hapa nilipo ku quote, umezusha kwamba nimeyakataa maneno yangu, kitu ambacho sio kweli na huwezi onyesha wapi nimekataa maneno hayo.
5. Umeamua kubisha tu kwa kila jambo huku ukiwa huna hoja kwa lolote na chochote.

Bora kujadiliana na wasomi mia unaweza kuwashinda kwa hoja na mjadala kwenda vizuri, kuliko kujadiliana nq mjinga mmoja, lazima mjinga huyo atashinda tu, sababu yeye hana hoja zaidi ya ubishi.

Kama unajadiliana kwa ajili ya ushindi kaka UMESHINDA. Ila kama unataka kujifunza au utakuja kutaka kujifunza na kujua, chukua elimu niliyo kupa humu kwa kujibu maswalo yako, itakusaidia pakubwa sana, kinyume utaendelea kuwa zwa zwa hivi hivi.

Ahsante.

nimehitimisha hili, kwa mara nyingine tena kwa njia ya kutilia mkazo sababu kiuhalisia huu uzi uliisha tangu siku ya kwanza.

Nipo .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…