Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Ni wakati wa Mungu kujitukuza mwenyewe, ili kurekebisha imani za watu zilizopotea. Maana watu wengi wamepoteza matumaini yao na kuwekeza imani zao kwenye sanamu, mafuta, maji, leso, poda, na chupi za upako!

Badala ya kumtumaini Mungu, imani zimeelekezwa kwenye vitu vya hovyo tu, hii ni kwa sababu watu wanapenda watendewe miujiza tu. Akishatendewa muujiza then aendelee kula starehe na uovu mwingi.

Mungu ni mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujajibu swali


Unajuaje kua hakuna aliyedai uthibitisho?

Na hata kama ni kweli kua hakuna aliyedai, kwanini kutodai huko kulete maana kwamba kitu hicho hakipo na sio maana nyingine?

Unajuaje kwamba watu hawajadai uthibitisho wa uwepo wake na ni kwasababu kitu hicho kipo na kishathibitishwa na ndio maana hawaombi kupewa uthibitisho?




It's Scars
 
Mungu anapata faida gani watu wakikufuru na kuangamia??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka unijibu swali langu moja ukisha jibu ndio ntajibu maswali yako.

Kwanini unasema habari la Spiderman ni sawa na habari za Mungu? Zinafanana kwa lipi?
 
Kwanini iwe lazima?

Unaweza kuthibitisha?

It's Scars
Lisikusumbue hilo neno "lazima" ni kwa uelewa wangu unanifanya nione kuwa ni lazima kulikuwa na binaadamu ambao hawakuzaliwa na ndiyo chanzo cha kuuzana kwa binaadamu. Wewe unaweza kuwa na mtazamo tofauti ni sawa.
 
Kwa hiyo corona imeshaingia Bongo? Una uhakika na unachokisema....Umeshaangalia huko kwa wenzetu...
 
Kwani kwa maoni yako wewe korona imeletwa na nani?
Virus asiyeonekana ila kwa darubini,amesababisha ulimwengu kusimama,na wajuzi wote na wenye nguvu wameweka silaha chini na kutii amri kwa kiumbe huyu.,
Hivi hapa hatupati swali la kujiuliza ,Uhodari wetu,akili na maarifa vimekwamia wapi?
Je Iko nguvu ya kuitegemea ya kutuokowa na Janga hili endapo juhudi zetu zote zitashindikana?
Mashirika ya ndege yamesimamisha safari
Usafiri wa umma umesimama,
Biashara zimeanza kufungwa.
Mashule na Vyuo vimefungwa.
Magereza nayo yanafungwa kwa baadhi ya nchi.
Hatimae kambi za jeshi zitafungwa na wanjeshi kurudi majumbani kwao.
Mikutano ya Bunge,Mahakama, na Mwaziri wa serikali mbali mbali watabaki majumbani.
Uchumi utakufa na kuleta shida ya chakula na mahitaji.
ikiwa hali itazidi kuwa tete,kila binadamu atabaki kwake ,na mahospitalinayo yanaweza kufungwa.
Tukibakia wote tukiukubali ubinadamu wetu kuwa sote tuko sawa mbele ya shida na Maradhi,na kila mmoja wetu hataki afe.
Hapo ndipo tutakuwa tumejifunza jambo .
KUWA HUU ULIMWENGU YUKO ANAYEUDHIBITI NAKUUENDESHA
TUKIMJUWA HUYO!
HAPO TUTAKUWA SALAMA
NA WOTE TUTAPOROMOKA NA KUTII NA KUSUJUDU.
Huyo ndie mwenye dunia yake, na kila kitu ni chake.
Mungu Mkuu Muumba,asiye hitaji lolote kwa viumbe,na hakerwi na vilio vyenu anapo waadhibu kwa utovu wa nidhamu.
 
Unajuaje kuran kua imesema ukweli?

It's Scars
QUR-AN ; SURA YA 22
3. Na miongoni mwa watu wapo wanao bishana juu ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu, na wanamfuata kila shet'ani aliye asi.
4. Ameandikiwa kwamba anaye mfanya kuwa rafiki, basi huyo hakika atampoteza na atamwongoza kwenye adhabu ya Moto mkali
5. Enyi watu! Ikiwa nyinyi mna shaka ya kufufuliwa basi kwa hakika Sisi tulikuumbeni kutokana na udongo, kisha kutokana na manii, kisha kutokana na kipande cha damu ilio gandana, kisha kutokana na kipande cha nyama chenye umbo na kisicho kuwa na umbo, ili tukubainishieni. Nasi tunakiweka katika matumbo ya uzazi tunacho kitaka mpaka muda ulio wekwa. Kisha tunakutoeni kwa hali ya mtoto mchanga, kisha mfikie kutimia akili. Na wapo katika nyinyi wanao kufa, na wapo katika nyinyi wanao rudishwa kwenye umri wa unyonge kabisa, hata mtu awe hajui kitu baada ya kuwa anakijua. Na unaiona ardhi imetulia kimya, lakini tunapo yateremsha maji juu yake husisimka na kututumka, na kumea kila namna ya mimea mizuri.
 
Nataka unijibu swali langu moja ukisha jibu ndio ntajibu maswali yako.

Kwanini unasema habari la Spiderman ni sawa na habari za Mungu? Zinafanana kwa lipi?

Kwasababu umekiri kua habari za spiderman ni habari za kubuniwa hivyo haiwezi kua kweli

Hujajibu swali

Unajuaje kua hakuna aliyedai uthibitisho?

Na hata kama ni kweli kua hakuna aliyedai, kwanini kutodai huko kulete maana kwamba kitu hicho hakipo na sio maana nyingine?

Unajuaje kwamba watu hawajadai uthibitisho wa uwepo wake na ni kwasababu kitu hicho kipo na kishathibitishwa na ndio maana hawaombi kupewa uthibitisho?



It's Scars
 
Hujajibu swali

Unajuaje kua hayo maandishi yamezungumza ukweli?

It's Scars
 
Lisikusumbue hilo neno "lazima" ni kwa uelewa wangu unanifanya nione kuwa ni lazima kulikuwa na binaadamu ambao hawakuzaliwa na ndiyo chanzo cha kuuzana kwa binaadamu. Wewe unaweza kuwa na mtazamo tofauti ni sawa.
Nilijua una uhakika kumbe unabahatisha

It's Scars
 
Nimekuuliza kwanini umefananisha habari za spiderman na habari za Mungu? Zinafanana kwa lipi? Hujajibu hili swali maana wewe ndio uliyeleta suala la spiderman hapa.
 
Hujajibu swali

Unajuaje kua hayo maandishi yamezungumza ukweli?

It's Scars
kwani akili si tunazo
Tunajuwa ya ukweli na ya uongo kwa akili zetu
Kama tunavyojuwa Nzuri na mbaya.
Black and white
hivyo hivyo Truth and Wrong Kwa akili tu ina tosha.
Wewe kwa nini hu tumii akili ku reason?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…