Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Mbingu ni nini?

Au anga ndio unaliita mbingu?

Sasa kwa akili ya kawaida hivi unajiona mzima kweli, yani unataka anga liwe na nguzo inamaana hujui anga ni nini?

Ukosefu wa elimu ya kujua anga ni nini ndio iliyokufanya uamini mungu yupo kwasababu ulitaka kuona nguzo zimeashikilia??

Kwaiyo akili yako imetafsiri kua kutokuwepo kwa nguzo zakushikilia anga ambazo na wewe ungeziona ni muujiza wa kuonesha mungu yupo??

It's Scars
Itakua huna akili kujua anga ndo kumekufanya weeh uwe msomi?..au ndo kwa kuwa binadamu alikua sokwe?
 
Suala la kukubali kuwa kitu fulani ni sahihi au si sahihi inategemeana na hoja zako.
kukikubali kwa hoja au kupinga kwa hoja.
Sas ikiwa wewe unaipinga Quran kuwa si sahihi, lete hoja zako
ili akili ya mwenye kupima ichambue na kuthibitisha, lakini sijaona hata mahali pamoja katika uzi huu ulipoonesha kuwa Aya hii ni ya uongo.
Hata pale nilipo kutaka upinge hoja fulani ya Qur-an,ulikwepa na hukuonesha kuwa unacho cha kupinga makhsus bali unapinga kijumla jumla tuu.

Sasa niambie ni wapi katika Qur-an wewe umeona si sahihi?
Nakupa Aya za Mfano hapa chini kama kuna makosa ,onesha Makosa yake au kanusha.
Surat Yunus sura ya 10
3. Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenyezi Mungu, ambaye ameziumba mbingu na ardhi kwa siku sita, na ametawala kwenye ufalme wake, anaendesha mambo yote. Hapana mwombezi ila baada ya idhini yake. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola wenu Mlezi. Basi muabuduni Yeye. Je! Hamkumbuki?

4. Kwake Yeye tu ndio marejeo yenu nyote. Hii ni ahadi ya Mwenyezi Mungu iliyo ya kweli. Hakika Yeye ndiye aliye anzisha uumbaji, na kisha ataurejesha ili awalipe kwa uadilifu wale walio amini na wakatenda mema. Na walio kufuru, wao watapata vinywaji vinavyo chemka, na adhabu chungu kwa sababu ya walivyo kuwa wakikufuru.

5. Yeye ndiye aliye lijaalia jua kuwa na mwangaza, na mwezi ukawa na nuru, na akaupimia vituo ili mjue idadi ya miaka na hisabu. Mwenyezi Mungu hakuviumba hivyo ila kwa Haki. Anazipambanua Ishara kwa watu wanao jua.

6. Hakika katika kukhitalifiana usiku na mchana, na katika alivyo umba Mwenyezi Mungu katika mbingu na ardhi, zipo Ishara kwa watu wanao mcha-Mngu.
Hizo aya hazina mashiko yeyote kwasababu hujaweza kuthibitisha ukweli wa hicho kitabu umeupimaje?

Mkristo akija hapa kukupa aya ndani ya biblia kuonesha biblia ni kitabu cha kweli kilichoandika habari za mungu, wewe utakubali kua ni biblia ni kitabu cha mungu kwasababu kuna aya ndani yake imesema hivyo?

Unaonekana wewe mwenyewe hujui unafanya mambo kwa kukaririshwa au kurithishwa

Mimi siijui kuran, we unayeijua unajukumu la kunifunza niijue.

Nataka nijue hicho kitabu ni kwa namna gani unaweza kuthibitisha kua ni kitabu kilichosema ukweli??

It's Scars
 
Itakua huna akili kujua anga ndo kumekufanya weeh uwe msomi?..au ndo kwa kuwa binadamu alikua sokwe?
Kutaka kwako nguzo ziwepo ndio ukiri kua mungu hayupo kunaonesha ni jinsi gani unatumia kamasi kutoa hoja

Brainwashed

It's Scars
 
Mitihani ya mwenyezi Mungu humkuta mtu yeyote yule awe mchamungu au la
mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote na upendo wote hawezi kuwapa mitihani viumbe vyake

Mwalimu anakupa mtihani shuleni kwasababu hana ujuzi wa kuingia kichwani mwako kujua umeelewa nini, hivyo mtihani unakazi ya kumfahamisha mwalimu

Sasa mungu mjuzi wa yote ambaye hakuna jambo geni machoni mwake anaanzaje kuwapa mitihani viumbe wake?

Maana kabla hata hajakupa huo mtihani alikwisha jua kua hujaelewa hivyo swala la yeye kukupa tena mtihani kutaonesha mungu huyu ni mbahatishaji yani hana uhakika na alichokiona

Na hata kama akijua kua umekosea huyu mungu hatakiwi kukuadhibu, kwasababu alikua na uwezo wote wa kukuepusha na hilo kosa ambalo aliliona kabla hujalitenda

Kuacha kwake hilo kosa ulitende hiyo inamaana alipendezewa kosa hilo ulifanye, sasa swala la yeye kukuadhibu motoni kwa kosa ambalo yeye alikuchagulia kulifanya na wewe haukua na uwezo wa kulieupuka jambo hilo haliwezi kua na mantiki

It's Scars
 
Mungu naye kumbe ana double standards kama sisi?

Ye mbona kwenye vitabu amesema wivu ni dhambi halafu yeye huyo huyo anasema usiabudu miungu wengine maana yeye ni mungu mwenye wivu?

Leo hii mimi nikiwa na wivu na mungu naye awe na wivu hiyo si inamaana kama dhambi wote tunayo na kama sio dhambi basi wote hatuna. Sasa kwanini mimi niwe nayo halafu yeye asiwe nayo wakati wote tuna wivu?
Kwani baba yako akikuonya kuwa kurudi nyumbani baada ya saa 12 hapendi utamlalamikia akirudi saa mme usiku? Mbona tumekosa maarufu madogo tu?

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Kwani baba yako akikuonya kuwa kurudi nyumbani baada ya saa 12 hapendi utamlalamikia akirudi saa mme usiku? Mbona tumekosa maarufu madogo tu?

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Baba huyo anakua na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Akikuambia kwamba anafanya hivyo kwasababu amekosa hizo sifa ambapo angekua nazo angeweza kudhibiti vikwazo ambavyo aliviona ni hatari kwa mimi endapo nitachelewa kurudi??

It's Scars
 
Sasa na wewe ni Dini ipi imekwambia utajikinga na maradhi ikiwa unaiamini na kuifuata?..wapi iwe Bible au Quran?..au uliamua tuu uandike upuuzi wako
Dini zote zimesema hakuna linaloshindikana mbele za mungu

Kuna nukuu inasema "niite nami nitakuitikia nitakuonesha mambo makubwa na magumu usiyoyajua"

"Njoeni kwangu wote mlioelemewa na mizigo nami nitawapumzisha"

Hizo nukuu zinasisitiza kumuomba mungu pindi mtakapopata majanga ataeasaidia maana yeye ni mungu asiyeshindwa na chochote

Definitely umeandika wisely juu ya Maulana yeye ni mjuzi zaidi na hivi ndivo alivyothibitisha miezi 3 tu ugonjwa umeenea dunia nzima.Sasa tuje suala la kumuomba yeye hajaweka bayana majibu atakujibu lini au ukomo wake mfano Aids still ipo lkn hapo hapo katupa akili ya kupembua
 
Baba huyo anakua na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Akikuambia kwamba anafanya hivyo kwasababu amekosa hizo sifa ambapo angekua nazo angeweza kudhibiti vikwazo ambavyo aliviona ni hatari kwa mimi endapo nitachelewa kurudi??

It's Scars
Kwani kuwa na ujuzi wote na upendo wote maana yake nin?
 
Nashukuru kwa kukiri kwako kuwa huijui Qur-an.
Na kwa maana hiyo huwezi kujuwa kiwa kitabu hiki ni cha kweli au laa.
Lakini inaonesha hutaki hata kujifunza hata zile aya chache ninazokutumia.
Inaonesha wewe ni moga wa kujifunza na kwa maana hiyo unauogopa ukweli.
Lakini nahisi kabla hujakihukumu kitu ,ukweli au uongo ,kwanza kisome ili ubaini uhalisia wake,ila wewe una jeneralize dini zote kwa uzoefu wako wa Ukiristo labda.
Nahisi ungejiongeza kwanza kama wewe ni mwenye utimamu.

Ukisoma
Quran sura ya 2 aya ya 2

Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu.

-Sura Al-Baqarah, Ayah 2
Utakuta kitabu kinajishuhudia kuwa kiko sahihi na hakina shaka
Hizo aya hazina mashiko yeyote kwasababu hujaweza kuthibitisha ukweli wa hicho kitabu umeupimaje?

Mkristo akija hapa kukupa aya ndani ya biblia kuonesha biblia ni kitabu cha kweli kilichoandika habari za mungu, wewe utakubali kua ni biblia ni kitabu cha mungu kwasababu kuna aya ndani yake imesema hivyo?

Unaonekana wewe mwenyewe hujui unafanya mambo kwa kukaririshwa au kurithishwa

Mimi siijui kuran, we unayeijua unajukumu la kunifunza niijue.

Nataka nijue hicho kitabu ni kwa namna gani unaweza kuthibitisha kua ni kitabu kilichosema ukweli??

It's Scars

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Definitely umeandika wisely juu ya Maulana yeye ni mjuzi zaidi na hivi ndivo alivyothibitisha miezi 3 tu ugonjwa umeenea dunia nzima.Sasa tuje suala la kumuomba yeye hajaweka bayana majibu atakujibu lini au ukomo wake mfano Aids still ipo lkn hapo hapo katupa akili ya kupembua

Utajuaje kua dhana ya "hajaweka bayana" iliwekwa na watu kwasababu walijua kua hayupo?

Unaelewa kua kitendo cha mungu mjuzi wa yote, muweza wa yote na upendo wote kuumba ulimwengu wenye mabaya kunaonesha mungu huyo hayupo?

It's Scars
 
Nashukuru kwa kukiri kwako kuwa huijui Qur-an.
Na kwa maana hiyo huwezi kujuwa kiwa kitabu hiki ni cha kweli au laa.
Lakini inaonesha hutaki hata kujifunza hata zile aya chain ninazokutumia.
Inaonesha wewe ni moga wa kujifunza na kwa maana hiyo unauogopa ukweli.
Lakini nahisi kabla hujakihukumu kitu ,ukweli au uongo ,kwanza kisome ili ubaini uhalisia wake,ila wewe una jeneralize dini zote kwa uzoefu wako wa Ukiristo labda.
Nahisi ungejiongeza kwanza kama wewe ni mwenye utimamu.

Ukisoma
Quran sura ya 2 aya ya 2

Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu.

-Sura Al-Baqarah, Ayah 2
Utakuta kitabu kinajishuhudia kuwa kiko sahihi na hakina shaka

Sent using Jamii Forums mobile app

Kitabu kikiwa na maandishi yanayosomeka kua "hiki ni kitabu kisichokua na shaka" basi kinakua kweli hakina shaka?

It's Scars
 
Baba huyo anakua na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Akikuambia kwamba anafanya hivyo kwasababu amekosa hizo sifa ambapo angekua nazo angeweza kudhibiti vikwazo ambavyo aliviona ni hatari kwa mimi endapo nitachelewa kurudi??

It's Scars
Yaani unataka utaratibu aliokupangia baba yako na yeye aufuate? Akikuambia hataki ufanye mapenzi na yeye utamtaka asifanye?

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom