complex31
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 421
- 1,289
Mtu akiumwa hoi hospital wafia dini utasikia “tumuombeeni jamani atapona, Mungu muweza wa yote atampigania atayashinda mauti”
Mgonjwa akifariki utaskia “yalikua mapenzi ya Mungu, kamuita kiumbe chake”
Sasa kama walijua Mungu alitaka kumchukua iwaje mpingane nae kwa kumpeleka hospital icho kiumbe na kujaribu kunusuru maisha yake? Hamuoni ni kupingana na Mungu?