Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Mtu akiumwa hoi hospital wafia dini utasikia “tumuombeeni jamani atapona, Mungu muweza wa yote atampigania atayashinda mauti”
Mgonjwa akifariki utaskia “yalikua mapenzi ya Mungu, kamuita kiumbe chake”

Sasa kama walijua Mungu alitaka kumchukua iwaje mpingane nae kwa kumpeleka hospital icho kiumbe na kujaribu kunusuru maisha yake? Hamuoni ni kupingana na Mungu?
 
Kitabu kikiwa na maandishi yanayosomeka kua "hiki ni kitabu kisichokua na shaka" basi kinakua kweli hakina shaka?

It's Scars
Ndio,hakina shaka, na kama ipo ioneshe wewe ili uoneshe uongo wa kauli hii
 
Mtu akiumwa hoi hospital wafia dini utasikia “tumuombeeni jamani atapona, Mungu muweza wa yote atampigania atayashinda mauti”
Mgonjwa akifariki utaskia “yalikua mapenzi ya Mungu, kamuita kiumbe chake”

Sasa kama walijua Mungu alitaka kumchukua iwaje mpingane nae kwa kumpeleka hospital icho kiumbe na kujaribu kunusuru maisha yake? Hamuoni ni kupingana na Mungu?
[emoji23][emoji23][emoji23] mi sina cha kukomenti zaidi ya hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu kikiwa na maandishi yanayosomeka kua "hiki ni kitabu kisichokua na shaka" basi kinakua kweli hakina shaka?

It's Scars
Sijapatapo kuona kitabu chchote kingine kilichosema kauli hii ya Qur-an.
Labda uniletee wewe.
Hata biblia haina kauli hyo.
Na waandishi wengine wengi husema kuwa vitabu vyao havikosi makosa ,ila wao hawakuweza kuyagundua,kwa yeyote atakaye liona kosa basi asisite kumuarifu muandishi.
Laini Qur-an Hakuna kosandani yake wala 'contradictions'.
Jusomee tuu utapata elimu ya nyongeza
Mbona mimi nasoma vitabu vya mapagani, Wakiristo , Wahindu na Mabudha.
openyour mind, SPIDER MAN ITS JUST A MOVIE FICTION PENGINE MSAADA WAKE NI KUISAIDIA AKILI KUDEVELOPE SCIENCE YA KURUKA
see.Inaweza kuwa na msaada fulani,lakini ni invention ya Binadamu.
 
Mungu anapata faida gani watu wakikufuru na kuangamia??

Sent using Jamii Forums mobile app
Je! Mungu alipata faida gani kwa kuwaangamiza waovu kwa gharika ya maji isipokuwa familia ya Nuhu? Je! Alipata faida gani kwa kuziangamiza Sodoma na Gomora kwa ajili ya kumkufuru isipokuwa familia ya Lutu?

Kizazi cha watu watendao uovu hakijawahi kamwe kuikwepa ghadhabu ya Mungu, tena huangamia kwa hasara yao wenyewe. Kwa kuwa Mungu hana cha kupoteza kwa wanadamu, na tena watakatifu wake wote anawatambua na aliwateua toka wakati wa kuwekwa misingi ya ulimwengu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
f785ad7d-8331-4b8c-90e4-008c292638da.jpg
c8020a4c-c305-4bf0-afa1-ffad1909c3bf.jpg
 
Yaani unataka utaratibu aliokupangia baba yako na yeye aufuate? Akikuambia hataki ufanye mapenzi na yeye utamtaka asifanye?

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Baba anauwezo wa kukuumba uwe kama anavyotaka yeye?
 
Mtu akiumwa hoi hospital wafia dini utasikia “tumuombeeni jamani atapona, Mungu muweza wa yote atampigania atayashinda mauti”
Mgonjwa akifariki utaskia “yalikua mapenzi ya Mungu, kamuita kiumbe chake”

Sasa kama walijua Mungu alitaka kumchukua iwaje mpingane nae kwa kumpeleka hospital icho kiumbe na kujaribu kunusuru maisha yake? Hamuoni ni kupingana na Mungu?
Hilo swali kalikimbia mfia dini anaitwa zuri

Alisema huu ugonjwa kauleta allah kwa lengo.la kuwadhuru watu

nikamuuliza ikiwa kama unachokisema ni kweli na kinajulikana na wote kiujumla kwanini viongozi wa dini wahangaike kujikinga? Huoni kujikinga huko kunawafanya wam-challenge mungu kwa kwenda kinyume na mungu anavyotaka iwe?

Hajajibu hilo swali kasepa mazima
 
Je! Mungu alipata faida gani kwa kuwaangamiza waovu kwa gharika ya maji isipokuwa familia ya Nuhu? Je! Alipata faida gani kwa kuziangamiza Sodoma na Gomora kwa ajili ya kumkufuru isipokuwa familia ya Lutu?

Kizazi cha watu watendao uovu hakijawahi kamwe kuikwepa ghadhabu ya Mungu, tena huangamia kwa hasara yao wenyewe. Kwa kuwa Mungu hana cha kupoteza kwa wanadamu, na tena watakatifu wake wote anawatambua na aliwateua toka wakati wa kuwekwa misingi ya ulimwengu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ambaye aliweza kuona tukio la mbele kabla halijatokea, alikua na uwezo wa kuliepusha jambo baya lolote ambalo yeye hakupendezewa nalo kuona likitokea

Mungu huyu kuacha jambo hilo litokee pasipokuzuia kunaonesha kua amependa jambo hilo litokee, sasa mantiki ya kutoa adhabu katika jambo ambalo ameliruhusu litendeke hapo iko wapi?
 
Sijapatapo kuona kitabu chchote kingine kilichosema kauli hii ya Qur-an.
Labda uniletee wewe.
Hata biblia haina kauli hyo.
Na waandishi wengine wengi husema kuwa vitabu vyao havikosi makosa ,ila wao hawakuweza kuyagundua,kwa yeyote atakaye liona kosa basi asisite kumuarifu muandishi.
Laini Qur-an Hakuna kosandani yake wala 'contradictions'.
Jusomee tuu utapata elimu ya nyongeza
Mbona mimi nasoma vitabu vya mapagani, Wakiristo , Wahindu na Mabudha.
openyour mind, SPIDER MAN ITS JUST A MOVIE FICTION PENGINE MSAADA WAKE NI KUISAIDIA AKILI KUDEVELOPE SCIENCE YA KURUKA
see.Inaweza kuwa na msaada fulani,lakini ni invention ya Binadamu.
Kwaiyo wewe unakubali kuran ni kitabu cha kweli kwasababu yenyewe imesema kua ni kitabu cha kweli?
 
Back
Top Bottom