Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

kwani akili si tunazo
Tunajuwa ya ukweli na ya uongo kwa akili zetu
Kama tunavyojuwa Nzuri na mbaya.
Black and white
hivyo hivyo Truth and Wrong Kwa akili tu ina tosha.
Wewe kwa nini hu tumii akili ku reason?
Akili inajuaje kua kuran imesema ukweli?
 
Nimekuuliza kwanini umefananisha habari za spiderman na habari za Mungu? Zinafanana kwa lipi? Hujajibu hili swali maana wewe ndio uliyeleta suala la spiderman hapa.
Ulivyokiri kua spiderman hayupo na amebuniwa kwenye movies na habari zake zinaishia kwenye movies wewe ulijuaje hilo?
 
Tuanzie hapa kwanza.
Hatuwezi kuanzia hapa kwasababu hii post uliyoinukuu nilishaijibia huko juu ulikoitoa

huku nilisha maliza na majibu yake kuhusu hoja hii zipo huko juu ulikoitoa hii post

Kama ulikua humakiniki ni wakati sasa wa kutuliza kichwa na kuipitia post moja baada ya nyingine



It's Scars
 
Sasa kwanini uweke nukuu nusu, huoni kwamba unaondoa maana niliyoikusudia?

It's Scars
Umetumia neno kujua,kwamba ulijua na baadaye ndio ukaja kugundua kumbe haukuwa sahihi.

Ndio nakuuliza ulijuaje?
 
Umetumia neno kujua,kwamba ulijua na baadaye ndio ukaja kugundua kumbe haukuwa sahihi.

Ndio nakuuliza ulijuaje?
Sijatumia neno "kujua" bali nimetumia neno "nilijua"

Kwanini unipandikizie maneno ambayo sijaysema?

It's Scars
 
Hayo yako tena.
mi nimeungumzia mtazamo wa Kiislam,
sijamwita mtu kafiri,
 
Akili inajuaje kua kuran imesema ukweli?
Kwani unaposoma kitabu ukaona makosa ,unajuwaje kuwa yale ni makos?
Si kwa kutumia akili
Kama kuna matusi au lugha ya kieni, si akili inapambanua
Sasa kama wewe huwezi kutumia akili kupambanua mambo basi utakuwa huna Akili

Hebu nikuulize swali
Wewe unazo akili?
 
Ndio kabisa uljibu kuwa habari za Spiderman ni masimulizi tu hayathibitishiki kwenye uhalisia na ndiyo maana ukasema ni sawa na habari za Mungu.
 

Kama ndo hivyo basi hakuna kipimo sahihi cha kujua ukweli

Kwasababu hata mimi naweza kusema spiderman yupo kweli kwasababu akili yangu imeniambia hivyo. Na kwasababu jibu umepata baada ya kutumia akili basi nitakua sahihi kusema hivyo

Na atakayepinga kua spiderman hayupo kihalisia naye atakua sahihi kwasababu katumia akili yake kufanya tathmini

Sasa wewe utajuaje kua habari za kuran ni kweli kwasababu akili yako imesema kua ni kweli, na sio kwamba akili yako imekupa majibu ya uongo kwasababu ni jambo ambalo halipo kihalisia?

It's Scars
 
Ndio kabisa uljibu kuwa habari za Spiderman ni masimulizi tu hayathibitishiki kwenye uhalisia na ndiyo maana ukasema ni sawa na habari za Mungu.
Nawewe si ulikubali kua ni kweli spiderman hayupo kihalisia?

It's Scars
 
Umetumia neno "kujua" katika sentensi yako "nilijua"
Kwanini unipandikizie maneno ambayo sijayasema?

Unaweza kunionesha post ambayo nimetumia hayo maneno mawili uliyo dai kua nimeyatumia?

It's Scars
 
Mitihani ya mwenyezi Mungu humkuta mtu yeyote yule awe mchamungu au la
 
Jibu lenu dogo tu hili hapa. Mambo mengine hutokea kwa makusudi na kwa wakati wake, tuache kukufuru.

Nadhani hii imemaliza mawazo potofu ya kiibilisi. Tupunguze midomo ya hovyo isiyolenga kumtukuza Mungu
 
Suala la kukubali kuwa kitu fulani ni sahihi au si sahihi inategemeana na hoja zako.
kukikubali kwa hoja au kupinga kwa hoja.
Sas ikiwa wewe unaipinga Quran kuwa si sahihi, lete hoja zako
ili akili ya mwenye kupima ichambue na kuthibitisha, lakini sijaona hata mahali pamoja katika uzi huu ulipoonesha kuwa Aya hii ni ya uongo.
Hata pale nilipo kutaka upinge hoja fulani ya Qur-an,ulikwepa na hukuonesha kuwa unacho cha kupinga makhsus bali unapinga kijumla jumla tuu.


Sasa niambie ni wapi katika Qur-an wewe umeona si sahihi?
Nakupa Aya za Mfano hapa chini kama kuna makosa ,onesha Makosa yake au kanusha.
Surat Yunus sura ya 10
3. Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenyezi Mungu, ambaye ameziumba mbingu na ardhi kwa siku sita, na ametawala kwenye ufalme wake, anaendesha mambo yote. Hapana mwombezi ila baada ya idhini yake. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu, Mola wenu Mlezi. Basi muabuduni Yeye. Je! Hamkumbuki?

4. Kwake Yeye tu ndio marejeo yenu nyote. Hii ni ahadi ya Mwenyezi Mungu iliyo ya kweli. Hakika Yeye ndiye aliye anzisha uumbaji, na kisha ataurejesha ili awalipe kwa uadilifu wale walio amini na wakatenda mema. Na walio kufuru, wao watapata vinywaji vinavyo chemka, na adhabu chungu kwa sababu ya walivyo kuwa wakikufuru.


5. Yeye ndiye aliye lijaalia jua kuwa na mwangaza, na mwezi ukawa na nuru, na akaupimia vituo ili mjue idadi ya miaka na hisabu. Mwenyezi Mungu hakuviumba hivyo ila kwa Haki. Anazipambanua Ishara kwa watu wanao jua.

6. Hakika katika kukhitalifiana usiku na mchana, na katika alivyo umba Mwenyezi Mungu katika mbingu na ardhi, zipo Ishara kwa watu wanao mcha-Mngu.
 
kwaiyo unakiri kwamba hakuna sehemu umedai spiderman hayupo?

It's Scars
Sio hoja kama nimesema au sijasema,point ni kwamba hakuna habari za uwepo wake nje movie. Au wewe ushasikia habari za uwepo wake nje movie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…