Umerukia treni kwa mbele, hujui huko tumetoka vipi mpaka tumefika hapoKijana naona uoga umezidi, sijasema kama umenijibu mimi, na hujamjibu ndio maana nimetilia mkazo tena swali la msingi. Unaruka ruka tu.
Mfano wa spiderman hauwiani sawia na jambo la Mola mzee, huwa nakwambia kila siku hua elimu ya mifano.Hapo nilikua nakuonesha kwamba chochote kile cha kufikirika kinawezwa kuandikwa vitabuni na kujadilika lakini hakufanyi kitu hicho kuwepo.
Huo mfano wa spiderman nimeutumia kuvuruga hoja yako iliyojikita katika msingi potofu, kudhani kwamba kila kinachosomwa vitabuni lazima kiwepo.
Miongoni mwa hoja za kipumbavu kwenye uzi huu, hii pumba niliyoinukuu hapo chini kutoka kwenye post yako ndio kinara
"Sasa kama umemsoma humo kwenye hivyo vitabu, kipi kilicho kufanya ujue kwamba hayupo"
Kama unaweza kumuelezea spiderman hayupo basi jua katika hizo hizo njia ulizotumia pia zinauwezo wa kumuelezea mungu kua hayupo
Hayo maswali uliyoyauliza kuhusu mola yamemlenga mola mwenye sifa ya ubaya ambaye ulikua unamzungumzia mwanzo?
Ubaya unaosema huyo Mungu hana ni upi kwa mujibu wa yeye Mungu,usimsemee Mungu kwa fikra zako.Umerukia treni kwa mbele, hujui huko tumetoka vipi mpaka tumefika hapo
Nataka kujua huyo mungu ambaye nimemzungumzia hapo unamkubali kua hana sifa ya ubaya ili tuendelee?
Ohoo, kwa ufupi hujajibu maswali yetu.Umerukia treni kwa mbele, hujui huko tumetoka vipi mpaka tumefika hapo
Nataka kujua huyo mungu ambaye nimemzungumzia hapo unamkubali kua hana sifa ya ubaya ili tuendelee?
jambo lolote ambalo liko kinyume na uzuriHujafafanua.
Bado hapa ni paradox, kwasababu mungu mwenyewe hajathibitishwa kua yupo halafu wewe unasema nikupe kama anavyokusudia mungu mwenyewe. Nadhani hapa ulipaswa kusema upewe kwa namna ambavyo vitabu vilivyoandika hadithi za mungu zimeelezeaje swala hilo na sio kwamba munguSitaki unavyokusudia wewe,nataka anavyokusudia Mungu mwenyewe ambae unamsemea sifa zake hizo kasemaje.
Kwani mambo yangu hayawezi kua sehemu ya mabaya?Kusema ubaya wowote ule hapo inaonesha unataka kuingiza mpaka mambo yako uyatie katika mabaya,kila ulitakalo utalitia katika ubaya kwa malengo yako wewe.
Baya linaangaliwa kwa athari zake dhidi ya victimUbaya unaousema ni upi kwa mujibu wa Mungu mwenyewe ?
Mbona unanitatanisha Kwa mujibu wa mungu au vitabu vilivyoandika stori kuhusu mungu?Nataka uniambie kwa Mujibu wa huyo MUNGU ubaya ni nini na amekusudia nini kusema ubaya ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa vyanzo vilivyoandika hizo habari, zinhadithia kua mungu ni mwenye upendo wote na hana sifa ya ubayaUbaya unaosema huyo Mungu hana ni upi kwa mujibu wa yeye Mungu,usimsemee Mungu kwa fikra zako.
Tunataka tujue yeye mwenyewe anasemaje kwanza kuhusiana na makusudio ya ubaya ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaruka sana.jambo lolote ambalo liko kinyume na uzuri
Bado hapa ni paradox, kwasababu mungu mwenyewe hajathibitishwa kua yupo halafu wewe unasema nikupe kama anavyokusudia mungu mwenyewe. Nadhani hapa ulipaswa kusema upewe kwa namna ambavyo vitabu vilivyoandika hadithi za mungu zimeelezeaje swala hilo na sio kwamba mungu
Kwani mambo yangu hayawezi kua sehemu ya mabaya?
Navyosema ulimwengu una mabaya kwanini nisijumuishe na yangu wakati niko ndani ya ulimwengu?
Baya linaangaliwa kwa athari zake dhidi ya victim
Baya haliangaliwi kwa mujibu wa mungu, kuna wenzako humu wanasema corona imeletwa na mungu natuna ona watu wakisema kua hili ni gonjwa baya
Mbona unanitatanisha Kwa mujibu wa mungu au vitabu vilivyoandika stori kuhusu mungu?
Sifa ya ubaya ubaya iokusudiwa ni upi ?Kwa mujibu wa vyanzo vilivyoandika hizo habari, zinhadithia kua mungu ni mwenye upendo wote na hana sifa ya ubaya
Sikubali sababu hiyo sifa inayomfanya asifanye anachotaka. Sababu yeye ni muweza wa yote.Unakubali kua kwa sifa yake hiyo ya kutokua na ubaya hawezi kuumba ubaya?
Ubaya anaokusudia Mungu ni upi ?Unakubali kua kwa sifa yake hiyo ya kutokua na ubaya hawezi kuumba ubaya?
Ulisema kwa mujibu wa mungu hukusema kwa munibu wa maelezo ya kuhusu mungu, see the differUnaruka sana.
Nakuambia unipe maana ya ubaya kwa mujibu wa maelezo ya Mungu,wewe unadai hatujathibitisha kama yupo.
Kwani spiderman utamthibitishaje kua hayupo nje ya masimulizi yake?Sasa wewe unathibitisha vipi kama hayupo kama sio kupitia maandiko yake ambayo unayatia yaonekane kama yana contradictions kutimiza matakwa yako ya kumkana ?
Utakubali kua apiderman yupo kupitia maandiko ambayo wewe na mwenzako mmepinga kua hawezekani kuwepo?Bas na sisi hapa tunataka kuthibitisha yupo kupitia maandiko kama ambayo wewe unampinga kupitia maandiko.
Mnakoenda wapi?Kwa hivyo unapodai tuthibitishe kuwa yupo huko tunakoenda na ulichoulizwa ndo kinatupeleka kwenye kuthibitisha kama unavyotaka.
Hapa umerudia kosa tena lile lile ambalo umekua ukikoseaAlafu unaposema hata yako yanaweza kuwa mabaya hiyo bado haijawa kwa mujibu wa Mungu.
Sawasawa cha msingi pointi ya ubaya bado ipo, mtu akiona jambo fulani baya halafu mwingine akiona jambo fulani ni zuri huwezi kusema ulimwengu hauna mabaya.Kwa sababu wewe unaweza kuona jambo fulani baya na mwingine akaona zuri na yule akaona zuri pia.kwa hiyo jambo moja linaweza likawa na mitazamo mbali mbali.
Katika ulimwengu ambao ungeumbwa na mungu ambaye hana sifa ya ubaya ambaye hawezi kuumba ulimwengu wenye mabaya, kusingekua na jambo lolote ambalo lingeonekana ni baya hata kama maelfu ya watu wataliona zuri ila endapo kuna mmoja kati yao akaliona jambo hilo ni baya tu kunafanya ulimwengu huo uwe na ubayaLakini hapa tunamzungumzia huyu Mungu unaesema ana sifa ya ubaya.
Huu ubaya tukisema tuufasiri kwa kila mmoja anaivyoona bado haitakuwa sawa kwa sababu wapo watakaoona kuwa huu ubaya na wapo watakaoona kuwa huu ni uzuri,kwa hiyo haiwezekani mtazamo wako binafsi ukaunasibosha na makusudio ya Mungu.
Kwanza usirudie tena kusema kwa mujibu wa mungu, ulitakiwa kusema kwa.mujibu wa vitabu vya mungu vimeelezea vipiNataka uniambie kwanza kwa mujibu wa huyo Mungu ameeleza vipi juu ya makusudio ya ubaya yeye mwenyewe ?
Hakuna mahali mungu huyo kasema chochote, bali vitabu ndio vimeandika habari kwa ku-refer mungu kama ilivyo spiderman book na finctional characters wengine ambao hawathibitishiki kihalisiaNataka Mungu huyo unayempinga kasemaje kwanza,maelezo yako yatakuja baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo mungu kwasababu anauwezo wote alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya?Sikubali sababu hiyo sifa inayomfanya asifanye anachotaka. Sababu yeye ni muweza wa yote.
Ubaya wowote uleUbaya anaokusudia Mungu ni upi?
Usiseme ubaya unaokusudia wewe,hapa tunamjadili Mungu hatukujadili wewe,kwa hiyo sema kama alivyosema huyo Mungu unaempinga usilete maneno yako.
Ili uoneshe udhaifu wa kitu fulani lazima ukijjue na utoe kasoro,sasa wewe pengine hujamsoma huyo Mungu unaempinga alafu unataka kuleta ujuaji wa kimtaani wa kumsemea mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo mungu kwasababu anauwezo wote alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya?
Mbona bado anaonekana dhaifu?
Kifo ni sifa ya kiumbe,yaani kilichoumbwa na ni sifa ya upungufu, kwahiyo Allah ametakasika na sifa zenye mapungufu, hafi, wala hashikwi na usingizi mzee, yeye ndio kaumba umauti vipi ajiue, kwahiyo pia ni swali la uongo, linaonyesha kwa jinsi gani unafikiri jambo kitoto na kwa jinsi gani humjui Allah aliye umba.Mungu huyo kwasababu anauwezo wote je anaweza kujiua?
Naona umeamua kuuliza maswali ya uongo na kudhihirisha kwa jinsi gani humjui Allah aliye juu.Mungu huyo kwasababu anauwezo wote anauwezo wa kuumba jiwe ambalo yeye hawezi kulibeba?
Akiweza, atakua hana uwezo wote kwasababu kuna jiwe hawezi kulibeba
Akishindwa kuliumba, atakua hana uwezo wote kwasababu kashindwa kuliumba jiwe ambalo hawezi kulibeba
Bado hujajibu swali na nadhani huna majibu juu ya jambo hili.Ubaya wowote ule
Ulisema kwa mujibu wa mungu hukusema kwa munibu wa maelezo ya kuhusu mungu, see the differ
Kwani spiderman utamthibitishaje kua hayupo nje ya masimulizi yake?
Namna ambayo unaweza kupinga kua spiderman hayupo ndio hiyo hiyo ambayo unaweza kuitumka kupinga kua mungu hayupo
Ni kama nikuambie kua kuna post ya 5000 kwenye huu uzi, vigezo utavyotumia kupinga kua post hiyo kwenye hu haupo unaweza kuzitumia kuonesha mungu na spiderman hawapo
Utakubali kua apiderman yupo kupitia maandiko ambayo wewe na mwenzako mmepinga kua hawezekani kuwepo?
Mnakoenda wapi?
Hapa umerudia kosa tena lile lile ambalo umekua ukikosea
Ulitakiwa useme kwa mujibu wa habari zilizoandika kuhusu mungu, na sio kwamba kwa mujibu wa mungu.
Nimekujibu kwa mujibu wa ulimwengu ambao umeelezwa na vitabu kua umeumbwa na mungu ambao na mimi niko ndani yake, sasa ukisema hayo mabaya ni kwa mujibu wako inatakiwa ujue kua niko ndani ya ulimwengu ambao haukutakiwa kua na mabaya.
Sawasawa cha msingi pointi ya ubaya bado ipo, mtu akiona jambo fulani baya halafu mwingine akiona jambo fulani ni zuri huwezi kusema ulimwengu hauna mabaya.
Katika ulimwengu ambao ungeumbwa na mungu ambaye hana sifa ya ubaya ambaye hawezi kuumba ulimwengu wenye mabaya, kusingekua na jambo lolote ambalo lingeonekana ni baya hata kama maelfu ya watu wataliona zuri ila endapo kuna mmoja kati yao akaliona jambo hilo ni baya tu kunafanya ulimwengu huo uwe na ubaya
Watu fulani fulani kutofautina kimtazamo kati ya ubaya na uzuri hata kwa uchache huo huo tu kunatosha kuthibitisha kua mabaya yapo
Kwanza usirudie tena kusema kwa mujibu wa mungu, ulitakiwa kusema kwa.mujibu wa vitabu vya mungu vimeelezea vipi
Vitabu vilivyoandika habari za mungu hazijaeleza kimantiki kwanini mungu mjuzi wa yote, mwenye uoendo wote na uwezo wote asiye na sifa ya ubaya kaumba ulimwengu wenye kuruhusu mabaya
Unaweza kujibu hilo swali hapo juu?
Hakuna mahali mungu huyo kasema chochote, bali vitabu ndio vimeandika habari kwa ku-refer mungu kama ilivyo spiderman book na finctional characters wengine ambao hawathibitishiki kihalisia
Kwa mujibu wako mungu muweza wa yote anauwezo wa kufanya lolote na hana sifa ya kushindwa it doesn't matter liwe baya au zuriMuweza wa yote hana sifa ya kushindwa mzee, huelewi kilicho andikwa hapo ?
Kwa maana hiyo swali lako ni "invalid".
Kutokuumba unavyotaka wewe au kinyume chake, kwake hakuitwi kushindwa bali hajataka, kwani anaumba vilivyo bora na akili yako haina uwezo wa kujua usahihi wa jambo bila msaada wa ala fulani.
Dhaifu ni wewe ulieshindwa kung'amua maana ya "Muweza wa yote", mpaka Ukauliza swali la uongo. Kwamba ameshindwa kufanya jambo fulani, wakati yeye ni muweza wa yote, hili haliyumkiniki kwake. Uwe unafikiria mambo kwa usahihi wake.
Kifo ni sifa ya kiumbe,yaani kilichoumbwa na ni sifa ya upungufu, kwahiyo Allah ametakasika na sifa zenye mapungufu, hafi, wala hashikwi na usingizi mzee, yeye ndio kaumba umauti vipi ajiue, kwahiyo pia ni swali la uongo, linaonyesha kwa jinsi gani unafikiri jambo kitoto na kwa jinsi gani humjui Allah aliye umba.
Naona umeamua kuuliza maswali ya uongo na kudhihirisha kwa jinsi gani humjui Allah aliye juu.
Hakuna kinachozidi uwezo na nguvu zake.
Naona umeishiwa maswali, na kuandika vitu ambavya havipo.