Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu sio dhaifu na suala la Ayubu Mungu alijivunia uchaji wa Ayubu na imani ya Ayubu ndio maana aliruhusu mjaribu atende awezavyo na Ayubu alishinda na kurejeshewa maradufu alichopoteza,hivyo Mungu ameruhusu Corona kati yetu ilikupima imani yetu kwake kama dunia,taifa na MTU mmojammoja.Mungu ambaye alikua tayari kumla majipu ayubu ili apime imani yake huyo ni mungu asiye na ujuzi wote
Mungu mjuzi wa yote na upendo wote hawezi kumjaribu mtu kwasababu kwa ujuzi wake alikwisha kujua future ya kiumbe hafi hatma yake kabla hata hicho kiumbe hakijazaliwa
Mungu ambaye aliua watoto wa kiume ili kum-prove farao kua yeye ni muweza wa yote, hana sifa ya umungu bali ana inferior kama sisi tu na point nzima ya uwepo wake ni hoax tu
Thibitisha mungu yupo
Kijana, wewe una dai kama umenikosoa au unanikosoa lakini kiuhalisia huna uwezo huo, ndio maana ili kuonye kwamba huwa una dai, nimekwambia onyesha hilo kisha rekebisha nilipo kosea, unaleta dibaji tena.Niparekebishe ili iweje?
Kukukosoa tu kumetosha na hii sio mara ya kwanza, kama unakumbuka vizuri makosa kama haya ndio yalikufanya ukakimbia mjadala hapo mwanzo
It's Scars
utaumbuka wewePoleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundamano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa korona?
Kama walifanya maombi kwa lengo la kuizuia corona isiingie nchini, lakini tunaona corona imeingia, nini kinachokufanya uwaamini kua maombi ya sasa wanayojipanga kuyafanya yataitokomeza corona mazima?
Haya mambo probably si magumu ila ugumu tunauweka sisi kwa kuweka mizaha kwa kutumia kivuli cha dini.
Hivi mfano hawa madaktari wetu na sekta ya afya kiujumla wangejumuika kwenye maombi kwa kuamini kwamba maombi ni njia madhubuti ya kutatua matatizo kama haya katika kila janga la ugonjwa. Kama ambavyo watu wa dini wamekua wakituhimiza kufanya, je tungefanikisha kutibu gonjwa lipi kwa maombi?
Ngoma inaingia tanzania wabongo tulijitia wachamungu sana kua tumepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na n'ge hivyo ukimwi kwetu sio tishio.
Lakini tunachokiona mpaka saizi mapasta na masheikh wanachukua vidonge kwa siri sana. Lakini pamoja na hayo hatuwaoni wakijisalimisha kua wameshindwa kudhibiti ukimwi kwa maombi yao.
Mungu ambaye tunamtolea sadaka kila siku halafu katika matatizo kama haya kajichimbia tu wala hatuoni juhudi zake, huyu si mungu wakuabudiwa. Ni sawa na rafiki mnafki ambaye kwenye matanuzi mkiwa viwanja mnakua naye karibu sana halafu ikatokea siku umeishiwa anakukimbia.
Wahubiri wanahubiri huku wamevaa face mask at the same time wanasema damu ya Yesu ni tiba ya kila kitu. What a joke but I ain't laughing?
Tunaambiwa ukiwa na imani waweza kuamisha hadi milima lakini sikutegemea kuona vatican, mekka ziwe kipaumbele kukataza watu wasiende kwao kwa hofu ya korona.
Mungu muweza wa yote yuko wapi mbona kawasusia msala madaktari wetu halafu yeye amesizi tu eti mpaka aamshwe kwa maombi?
Kwanini Mungu mjuzi wa yote na muweza wa yote ahitaji maombi?
Mbona kwenye zile hadithi za gharika na sodoma na gomora huyu mungu ali-respond haraka sana kwanini asifanye hivyo kwenye janga hili linalomaliza ndugu zetu na kudhoofisha hali ya uchumi wetu?
Hivi kweli Mungu huyu yupo kweli? Maana viongozi wetu wa dini nao wanaathirika mpaka inafikia hatua italy makanisa yameshehena maiti inamaana yeye haoni?
Kwanini Mungu ahitaji maombi yetu ili aweze ku-solve matatizo yetu, ilihali anaelewa hitaji la moyo wetu hata kabla hatujasema?
====
Chukua tahadhari kwa kufuata angalizo lililotolewa na mamlaka ya afya Corona haidhibitiwi kwa maombi bali kwa kuepuka makatazo ambayo yameainishwa na shirika la afya
Thibitisha mungu yupo kwanzaMungu sio dhaifu na suala la Ayubu Mungu alijivunia uchaji wa Ayubu na imani ya Ayubu ndio maana aliruhusu mjaribu atende awezavyo na Ayubu alishinda na kurejeshewa maradufu alichopoteza,hivyo Mungu ameruhusu Corona kati yetu ilikupima imani yetu kwake kama dunia,taifa na MTU mmojammoja.
Nakama shingo zetu zitakuwa ngumu basi tutarajie baya zaidi kutukumba kama kwa Farao yaliyompata.
Mungu aliyeumba mbingu na dunia bado yupo kazi milele Amina.
Kijana, wewe una dai kama umenikosoa au unanikosoa lakini kiuhalisia huna uwezo huo, ndio maana ili kuonye kwamba huwa una dai, nimekwambia onyesha hilo kisha rekebisha nilipo kosea, unaleta dibaji tena.
Nasubiri ujibu maswali niliyo kuuliza.
Ahsante.
Mtu anayetaka uthibitisho wa Mungu yupo au hayupo ni mtu jeuri kama Farao,mimi nakuombea kwa Mungu Mwenyewe ajithibitishe mwenyewe kwako kwa njia yeyote atakayoona inafaa kama kwa Farao na nina imani litatokea kwako
Mpaka utakapo elewa. Usiwe na haraka.
Huna uwezo huo kijana, ndio maana nikakupa fursa uonyeshe kosa kisha uusahihishe.
Mtu anayetaka uthibitisho wa Mungu yupo au hayupo ni mtu jeuri kama Farao,mimi nakuombea kwa Mungu Mwenyewe ajithibitishe mwenyewe kwako kwa njia yeyote atakayoona inafaa kama kwa Farao na nina imani litatokea kwako
Kweli kabisa.Binadamu ni wepesi kukata tamaa kwa kuwa akili zao na maarifa ni madogo. Ndio maana ni wepesi kutokuamini Mungu kwa sabubu unataka unachoomba kitokee hapo hapo Lakini Mungu anatufahamu kabla hata hatujamuomba nia zetu,sababu zetu,fikra zetu. Wana wa israeli walikaa jangwani miaka mingi wakimuomba Mungu mpaka walipojibiwa maombi yao. Leo sisi wenye imani haba tunataka tuombe kwa siku moja tujibiwe!! Je tunayaishi yale Mungu anayotaka tuyaishi? Tukumbuke maombi hayaji bila wajibu. Tukumbuke Tunawajibu kabla maombi hayajajibiwa.
Ina mana unakubali kuwa Nature haihitaji kuumbwa,Aliyekuambia nature inahitaji kuumbwa nani?
Sasa wewe Bw. ''Scars''Aliyekuambia nature inahitaji kuumbwa nani?
Hujaweza kuthibitisha mungu yupo, hivyo habari nzima ya maombi ni nonsense kama ilivyo maombi yaliyofanywa kwa ajili ya kudhibiti corona isiingie nchini halafu ikaingiaMtu anayetaka uthibitisho wa Mungu yupo au hayupo ni mtu jeuri kama Farao,mimi nakuombea kwa Mungu Mwenyewe ajithibitishe mwenyewe kwako kwa njia yeyote atakayoona inafaa kama kwa Farao na nina imani litatokea kwako
Back to my questionsMpaka utakapo elewa. Usiwe na haraka.