Lazima niwafananishe na wanawake maana ndio mnachokionesha hapa
Nakukumbusha tena kua Mipasho sio sehemu ya huu mjadala
Back to my questions
Umedai kua Allah asingeumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya asingekua muweza wa yote. Tunaona vitabu vinasema alipo yeye ni mahala patukufu hakuna ubaya wowote unaoweza kutendeka maana ni sehemu ambayo hakuna ubaya.
unakubali kwa hoja yako hiyo allah huyo sio muweza wa yote kwasababu huko mbinguni ambako yeye anaishi hakuna ubaya wowote?
Maswali yangu ambayo huko juu hujayajibu nayarudia hapa tena
Umesema Allah ni muweza wa yote na katika uwezo huo ni mjumuisho wa kufanya mabaya, refer kauli yako kua kungekua na mazuri peke yake asingekua mungu muweza wa yote kwasababu ameshindwa kuumba mabaya
Je kupitia uwezo huo allah anaweza kujiua?
Kupitia uwezo wote alionao, Allah anaweza kuumba jiwe zito ambalo hawezi kulibeba?
It's Scars