Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Hao wenye serikali wenyewe ndo waumini Sasa akakamate Nini ikiwa wao ndio wanyoosha mikono..??
 
Katika zama ambazo kanisa limekamatwa Nan shetani ni kipindi hiki . Wanaojiita ma baba askofu na manabii Nan hasa afrika ni msululu wa wafuasi wa shetani na ndo maana Kama dunia tunapata kila aina ya jaribu
 
Hila nyie wakiristu ndo mmekua vilaza, mbona uwo upumbavu misikitini haupo.
 
Ujinga mliowalimbikizia watu wenu matokeo yake ndiyo hayo, sasa watafanya nini na hawana hata chembe ya uwezo wa kufikiria..?

Inauma sana kwa kweli, unakuta mtu hana kabisa akili ya kujitegemea.... kila kitu anafuta mchungaji wake kasemaje yaani ni afadhali hata misukule kuna nyakati hugoma na kutoroka.

Kadri wachungaji wanavyoongezeka, ndivyo madhambi na mabalaa yanazidi kuongezeka... ukiwa na akili unateseka sana.
 
Kuna Clip inazunguka mchungaji anawaambia waumini eti " Nyosheni mikono juu ni moja ya tiba ya corona" jamani wachungaji kama hawa ni wapumbavu au ni ufala? nachelea kusema serikali iwakamate wachungaji kama hawa.

Yaani kunyoosha mikono juu hauwezi pata corona na kwamba corona inaponywa kanisani upumbavu gani huu?
Wana Back Up ya No 1.
 
Mjumuisho wa vitu vyote vilivyomo ndani ya ulimwengu

Haya rudi kwenye swali langu

It's Scars

Huomjumuisho Ulianzaje? na nani kaupangilia hivi ulivyo?
Ukiweza kumjuwa aliyeupangilia huo Mjumuisho wa vitu vyote (Nature )utakuwa umesha pata Proof ya Kuwepo Kwa Mtengenezaji na msimamizi wa hayo yote, ambaye ndiye Mungue usiye muamini.

we ukiona Gari zuri nyumba runamsifu nzi na oraji ani. ndiyo
Kinyume chake uniambie ninani?
 
Kwanini swali liwe "nani" na sio "nini"?
 
Ujinga mliowalimbikizia watu wenu matokeo yake ndiyo hayo, sasa watafanya nini na hawana hata chembe ya uwezo wa kufikiria..?

Inauma sana kwa kweli, unakuta mtu hana kabisa akili ya kujitegemea.... kila kitu anafuta mchungaji wake kasemaje yaani ni afadhali hata misukule kuna nyakati hugoma na kutoroka.

Kadri wachungaji wanavyoongezeka, ndivyo madhambi na mabalaa yanazidi kuongezeka... ukiwa na akili unateseka sana.

Wengine hadi wanagegedwa na wachungaji lakini bado hawafumbuki macho.
 
MUNGU yupo ila usiniulize yupo wapi kwani sitakujibu.
Dini ni mila, waarabu,wazungu, wachina,wahindi na wengine wamebaki na mila zao. Chaajabu sisi wabongo tumeacha mila zetu na kuziona azifai na kuamini hatuna uwezo ws kuwa na mila nzuri tumechukua mila za kizungu na kiaarabu ajabu zaidi hata mahali alipozaliwa na kukua kristo wana mila yao ya dini ya kiyaudi na siyo mila za wazungu na waarabu.

Bado tukaona hata majina yetu hayafai leo muite mtoto jina la kiswahili au kilugha utaona linaonekana kama la kiboya sana watu wanataka majina ya kizungu na koarabu.
Sasa tuambizane jina lina ubaya gani katika mila zako za kuoga.
Shtuka mwafrika mwenzangu.
 
Back
Top Bottom