Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Kwani taarifa hawajakupa wenzio, kua wananiskizaga mimi na wameitupa redio?..

Nishakuambia sirudii tena kukuhimiza, maana huoneshi bidii katika kujifunza.../

Umepoteza umakini kwasababu upo ndani ya kiza, dini ni kama scene icheze vizuri unapoigiza.../

changamoto za kihalisia hazitatuliwi kwa miujiza, tusipofata kanuni za afya hili janga litatumaliza.../
Nashika kalamu kwa huu ujio, kijana mdogo nakupa zinduo

Kwa vita ya kalamu haki naisambaza,ona kuoga wako ujinga wau tangaza.

Nuru nimeingia shika njia kiza, popote naweka kambi nuru ina angaza.

Dini si kama scene leo hii nakujuza, athari ya maigizo ukweli waupunguza.

Sisi hatuigizi akili tuliza, uhalisia ndio dini yapenya kwenye vingi viza.
 
Mpumbavu ni yule alieletewa dini na kukarishwa bila ya kuhoji chochote.

Mjinga kama wewe hujibiwi, nakupuuza
Kipofu wa moyo tena kiziwi, akili tuliza.

Tangu lini Simba alijibizana na mbwa ?

Hamjui kuhoji wala kujenga hoja, hamna misingi mna vingi viroja.
 
Nashika kalamu kwa huu ujio, kijana mdogo nakupa zinduo

Kwa vita ya kalamu haki naisambaza,ona kuoga wako ujinga wau tangaza.

Nuru nimeingia shika njia kiza, popote naweka kambi nuru ina angaza.

Dini si kama scene leo hii nakujuza, athari ya maigizo ukweli waupunguza.

Sisi hatuigizi akili tuliza, uhalisia ndio dini yapenya kwenye vingi viza.
Niko mbele yako na wala sifikirii kurudi, kuwa hapa nilipo dogo kunahitaji juhudi...

Nakubeba kama aisha kwenye mgongo wa mudy, hata kama unamiaka sita hunitoi kwenye mode.../

Wanasnitch sijui kusoma, achananao wape kisogo, nitakupa kiss nipite njia ya sodoma, kisha nijibust na mkongo...

Mkiwa huko danganyaneni kuna mito ya baraka, mkija huku eleweni Scars hana wigo kwenye mipaka.../

Mistari mizito leta mzani ujaribu kupima, kisha nifate kama kristo nikakutelekeze kwenye milima.../

Nyie ni kondoo ndomana wachungaji wanawageuza dina, na hakuna mlijualo zaidi ya miguno ya gwajima.../
 
Inasikitisha watu wanaghani tu habari, Iwe za kusadikika au kufikirika ilimradi tu ukubali.../

Muafrika jifunze kutafakari, ulikua huna dini kabla hujawa mtumwa na kukubebeshwa majabali.../

Ulikua unadhahabu na vitu vya thamani kila mahali, sasa wamechukua wamekuachia vitabu ukeshe kwa kusali.../

Unautukuza utumwa sababu hauna fikra za kufikiri mbali, utagundua uko nyuma ya muda utapotaka kurekebisha hizo dosari.../

Corona imetimba we uko msikitini unaswali, umekatazwa milundamano we hilo swala haulijali.../

Kawaiteni Allah na yehova, kwa hili janga we need them to take over../

Dini biashara sadaka zenu zimetumika kununua ma range rover, waumini ndio mafara wamepumbazwa hawajazinduka sababu ya hangover.../

I'm over

It's Scars
 
Haya mambo yashapitwa na muda, wala usithubutu kuumiza kichwa kuomba msamaha kwa kosa la yuda.../

Tafuta hela achana na dini utakua guda, ukipewa kitabu cha dini usisome we tupa.../

Nisome hoja zangu vizuri kuna kitu nataka kukupa, kwaiyo nawa mikono kwanza kwasabuni mambo yawe supa.../

Mapasta wanaji mix kwenye club na mapusha, wakiwa kwenye misa wanakandia tusivute cha arusha.../

Mashehe wanavaa misuli ili kuficha mabusha, wanakula kitimoto huwakosi kwenye mabucha.../

Wanatumia dini kama kapeti la kuficha makucha, wanakumbuka blanket wakati tayari kumekucha.../

It's Scars
 
Wewe mbumbumbu kaa kimya acha kuigilia imani za watu wakati hijui lolote kihusu Mingu. Nyie watoto kinachowadanganya ni pale tu ukisoma philosophia kidogo tu unajiona umepata facts za kusimamia. Leo nakukumbusha kwa maswali haya ukishindwa kujibu nenda kamche muumba wako.

1.Ilikuwaje Binadamu akawepo duniani?
2.Kwanini tunakufa?
3.Kwanini upo duniani?
4.Wewe ni Nani?
5.Unafikiri huu ulimwengu ilikuwaje Mpaka ukawepo?
6.Ulishawahi kumuona mtu Mwenye mashetani anavyokuwa? Je unafikiri waalimu wa Imani huwa wanafanya jambo gani anapona?
7.Kwanini wanasayansi hawajamtengeneza Binadamu mpaka sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekaa kabisa ukaja na "maswali magumu"?
 
Mjinga kama wewe hujibiwi, nakupuuza
Kipofu wa moyo tena kiziwi, akili tuliza.

Tangu lini Simba alijibizana na mbwa ?

Hamjui kuhoji wala kujenga hoja, hamna misingi mna vingi viroja.

[emoji23][emoji23] hakika mpumbavu hata aelimishwe vipi hawezi kuelewa, nafuu uwe mjinga ukieleimika unatoa ujinga. Ukiwa mpumbavu ni sawa na shoga unaepigania wanaume kama kahaba wa bar.
Toka lini mwanaume rijali akajibishana na shoga?
 
Umeona lini Simba akabishana na Mbwa ?
 
Mtoa mada nazani ni mpagani . Katika dini tunambiwa matatizo na raha (heri na shari zote zinatoka kwa mungu) yeye ndio mwenye mamlaka ya kufanya atakacho kwa muda atakao hakuna wakumpangia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko mbele yako na wala sifikirii kurudi, kuwa hapa nilipo dogo kunahitaji juhudi...

Nakubeba kama aisha kwenye mgongo wa mudy, hata kama unamiaka sita hunitoi kwenye mode.../

Wanasnitch sijui kusoma, achananao wape kisogo, nitakupa kiss nipite njia ya sodoma, kisha nijibust na mkongo...

Mkiwa huko danganyaneni kuna mito ya baraka, mkija huku eleweni Scars hana wigo kwenye mipaka.../

Mistari mizito leta mzani ujaribu kupima, kisha nifate kama kristo nikakutelekeze kwenye milima.../

Nyie ni kondoo ndomana wachungaji wanawageuza dina, na hakuna mlijualo zaidi ya miguno ya gwajima.../

Kuwa mbele yangu muhali, naishi kwenye msingi
Niliijua awali, na hoja siungi ungi
Kwa moja ongeza mbili, kwa ujinga siku pingi
Wajinga hufanya juhudi, mfano wako mke wengi

Naona vina unavibananga, kukukosoa sina budi
Kwa bashasha natia nanga, umemtaja kipenzi chetu Ahmad
Mke wake Aisha na kamba tunaifunga, kwa mapenzi kuwapenda tunazidi
Hoja una unga unga, kwa idhaifu umezidi

Haramu kwetu sodoma, kwa ujinga wajisifia
Uliangamizwa ule uma, historia inasimulia
Matusi yako nayasoma, ila ukweli nakwambia
Kuhusu mjinga twasoma, amani twakupatia

Asie jua maana walisema, haambiwi maana.
Kwa kinywa twahara na nena, wigo ndio mpaka kijana
Hakuna wigo kwenye mpaka, elimu ya maana huna
Maneno uchafu wayapaka, na kupotosha maana.

Mistari myepesi mfanowe hakuna, sina haja kuipima
Nabii, Issa mtume kijana, hakuwahi kutelekeza soma
Uzushi kwako rahisi kuunena, elimu amana tazama
Wala ushahidi huna, usipende hovyo kusema

Ya ngwajima wahusika watasema, kwa, uislamu ujinga huo hakuna
Huku kwetu tumesoma, kila mtu ni mchunga kijana
Ataulizwa Kiyama, kwa alicho kichuga we mwana
Hapa kituo na tuama, nimekupa ukweli na bayana.
 
Nimemaliza kazi yangu dogo. Huwa hatujibizani na mbwa, mimi Simba mzee.

Ukiwa na lingine andika, nitapita kusoma.

Ahsante.

Simba unafanya nini mjini? Nenda Ruaha ukawe kivutio, naona mida yako ya kwenda kua chakula kama dada yako imefika. Matatizo ya kugawa matako hayo
 
Kuwa mbele yangu muhali, naishi kwenye msingi
Niliijua awali, na hoja siungi ungi
Kwa moja ongeza mbili, kwa ujinga siku pingi
Wajinga hufanya juhudi, mfano wako mke wengi

Naona vina unavibananga, kukukosoa sina budi
Kwa bashasha natia nanga, umemtaja kipenzi chetu Ahmad
Mke wake Aisha na kamba tunaifunga, kwa mapenzi kuwapenda tunazidi
Hoja una unga unga, kwa idhaifu umezidi

Haramu kwetu sodoma, kwa ujinga wajisifia
Uliangamizwa ule uma, historia inasimulia
Matusi yako nayasoma, ila ukweli nakwambia
Kuhusu mjinga twasoma, amani twakupatia

Asie jua maana walisema, haambiwi maana.
Kwa kinywa twahara na nena, wigo ndio mpaka kijana
Hakuna wigo kwenye mpaka, elimu ya maana huna
Maneno uchafu wayapaka, na kupotosha maana.

Mistari myepesi mfanowe hakuna, sina haja kuipima
Nabii, Issa mtume kijana, hakuwahi kutelekeza soma
Uzushi kwako rahisi kuunena, elimu amana tazama
Wala ushahidi huna, usipende hovyo kusema

Ya ngwajima wahusika watasema, kwa, uislamu ujinga huo hakuna
Huku kwetu tumesoma, kila mtu ni mchunga kijana
Ataulizwa Kiyama, kwa alicho kichuga we mwana
Hapa kituo na tuama, nimekupa ukweli na bayana.

Mistari yako mibovu hata ukiipaka makeup haitopendeza, Scars ndo chata lenye makovu waumini nawachapa kifimbo cheza..../

Mtoe allah niweke mimi nikupe maujuzi, Hamshtuki kua mnabweka baada ya kupotezwa na miluzi.../

Dini ni jumba lenye giza kuona yaliyo ndani kunahitaji kurunzi, kua na fikra huru ya kujiuliza kutakukutofautisha we na mbuzi.../

It's Scars
 
Haya mambo yashapitwa na muda, wala usithubutu kuumiza kichwa kuomba msamaha kwa kosa la yuda.../

Tafuta hela achana na dini utakua guda, ukipewa kitabu cha dini usisome we tupa.../

Nisome hoja zangu vizuri kuna kitu nataka kukupa, kwaiyo nawa mikono kwanza kwasabuni mambo yawe supa.../

Mapasta wanaji mix kwenye club na mapusha, wakiwa kwenye misa wanakandia tusivute cha arusha.../

Mashehe wanavaa misuli ili kuficha mabusha, wanakula kitimoto huwakosi kwenye mabucha.../

Wanatumia dini kama kapeti la kuficha makucha, wanakumbuka blanket wakati tayari kumekucha.../

It's Scars
Sasa nani asiyetafuta hela? ndiyo maana huwa nasema mkianza kuzungumzia watu wa dini mnazungumza kana kwamba ni watu fulani hawapo kwenye jamii zetu.
Kuna matajiri wangapi wameshika mpaka wengine wanaitwa wabaguzi wa dini,wewe uliyeachana na dini na kutafuta hela una billion ngapi bank hadi sasa?

Au ndio bado hujatoka kimuziki na hivyo vijimistari vyako unavyoviandika hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Clip inazunguka mchungaji anawaambia waumini eti " Nyosheni mikono juu ni moja ya tiba ya corona" jamani wachungaji kama hawa ni wapumbavu au ni ufala? nachelea kusema serikali iwakamate wachungaji kama hawa.

Yaani kunyoosha mikono juu hauwezi pata corona na kwamba corona inaponywa kanisani upumbavu gani huu?
 
Back
Top Bottom