Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Kama haujui maana ya kuigiza kiasi nalo unalifanya swali,hauna utimamu wa kutosha kujadili hili,
Inua level ya uelewa kwanza kabla ya kulijadili hili,
Labda uwe unatania kuwa haujui,ama hauna kazi ya kufanya hivyo unajadili ili tu kupoteza muda
Kuigiza ndio kupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali langu bado liko pale pale

Unajuaje kua verse hizo sio defense ili kuficha uongo wa kuonesha ulaghai wa hicho kitabu??

It's Scars
Mbona unajihami sana, kwa kusema vitabu hivi huviamini?
hebu tazama hizo contentss zake
kanusha moja wapo ya hizo aya hapo juu useme isivyokuwa hivyo ikiwa wewe kweli ni mjuzi,
kinyume chake nadhani Umeamua Kubishana tuu bila ya hoja,
Natilia shaka Elimu yako na Akili pia.
 
Kama haujui maana ya kuigiza kiasi nalo unalifanya swali,hauna utimamu wa kutosha kujadili hili,
Inua level ya uelewa kwanza kabla ya kulijadili hili,
Labda uwe unatania kuwa haujui,ama hauna kazi ya kufanya hivyo unajadili ili tu kupoteza muda

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa asante kwa ushauri,uwe na siku njema..
 
Unakubali hayo matatizo yapo? Jibu swali kwanza kisha ndio tutajadil yanasababishwa na nini.
Matatizo gani?

Matatizo ya akili ambayo umekiri kua wataalamu wamethibitisha au matatizo ya kufikirika (mapepo)?

It's Scars
 
Kwa huu ujinga unataka uletewe kifungu ambacho umejibiwa ? Sasa nashangaa kwamba husomi ninacho kujibu au huelewi ninacho kujibu ?

Unajichanganya sana na unarudia maswali ambayo umejibiwa.

Post 120 na za nyuma zimejibu kwa uzuri sana maswali yako achilia mbali hili la 123 ulilo rudia na bado ukaichanganya zaidi.

Una dai mwanzo nimesema sijui na hapa unasema nimekiri,sababu wewe ni mjinga hutaki kusoma na kuelewa na kama hujaelewa hutaki kuuliza, nakuuliza tu wapi nilipokiri na niliposema sijui kumetofautiana na hoja yangu ? Sasa jitahidi kuhoji na kuukiza vya maana.

Tatizo lako husomi ukaelewq bali una kurupuka, hakuna kukataa hapo, huko nyume nimesema sisi hatujui kama vitatudhuru au la ndio maana tunachukua tahadhari, ila tunajua ya kuwa maradhi yanatoka kwa Allah na sababu tunazijua aidha kutupa mtihani na kutukumbusha kurudi kwake au kuwalipa waouvu ili sisi wengine tuzinduke.

Ukiambiwa mada iliisha kitambo, ila sababu unapenda kupoteza muda na kubisha ujinga, imefika mpaka hapa.

Nakukunbusha tu ya kuwa Elimu haiongopi na elimu siku zote huwa iko juu na haikaliwi na kingine juu yake.

Ahsante.
Post yako namba 13 imekuvua nguo

Ipitie hiyo post halafu uje tena hapa ujione ni kwa namna gani we ni mjinga msahaulifu

It's Scars
 
Kama majadiliano yapo serious twende huko ,kama yapo kwenye majadiliano ya kubishana bila hoja siko huko.

Sijakuuliza baba yako Nani?
Swali unaaminije huyo uliye naye kuwa ni baba yako.?

Nguvu ya Roho Mtakatifu nitakapoihitaji itakuja.
Na kivipi swali lije katika dhana ya "imani" na sio mfumo mwingine?

Yaani unauliza swali huku umejitengea kabisa dhana yako potofu itumike kama njia ya kujibu hilo swali?


Unafikiri huu sio muda sahihi wa kuhitaji roho mtakatifu akusaidie kujua hilo jambo linalokutatiza??

It's Scars
 
Sababu nzuri ni wewe. Maana mpaka sasa unababaika na kubwabwaja na kuhororoja bila mpango na kuleta usiyoulizwa. Sikushangai kwani wote tukiwawekea aya niliyokuwekea juu hapo, hali iliyokupata huwapata. Rudia kusoma, mpaka kieleweke...

Kumbe hata unachokisoma Hukielewi. Hakuna Aya hapo inayosema unayoyasema. Hiyo ni challenge. Kasome tena uelewe kilichoandikwa kabla hujakurupuka. Au challenge imekuwa nzito kwako unatafuta pakutokea?

Kuhusu "spider" na "Spiderman" yupi ni fictitious na yupi ni non fiction?

Hapo sasa.

Ni wajinga pekee tu ambao wanaweza kubabaika na hizo riwaya zakiarabu ulizoziweka

Ungekua unakielewa unachokisoma usingeleta habari za "spider"

Hujajibu swali hili

Unajuaje kwamba kuran imeongea ukweli?

It's Scars
 
Unauliza maswali ya kitoto sana, athari ya "spiderman" unaipata wapi mpaka ujenge hoja juu yake ? Hakuna athari unayopata katika uhalisi,lakini athari ya mapepo/majini waouvu ipo na inaonekana. Tatizo la umithilishaji lina wasumbua sana wakana Mungu.

Yameshajulikana, sasa kipi kilicho sababisha matatizo kuwepo ? Haihitaji nguvu kubwa kujua ya kuwa tatizo hutatuliwa kwa kujua chanzo cha tatizo hilo kwanza.

Athari ndio nini?

Kwanini uwepo wa athari uthibitishe uwepo wa kitu na sio jambo lingine?

Watu wanakufa kwa kujitoa mhanga kwa dhana potofu kua watapata maisha baada ya hapo, huoni hii (mungu) ni athari ya ujinga iliyotokana na watu kudanganyika?


Mmeshindwa kuthibitisha mungu yupo kihalisia mmeanza ku-focus kwenye athari iwe kama mbadala?




It's Scars
 
Post yako namba 13 imekuvua nguo

Ipitie hiyo post halafu uje tena hapa ujione ni kwa namna gani we ni mjinga msahaulifu

It's Scars
Kijana usilo lijua ni kuwa mambo haya mimi nimeyasoma kabisa yaani vitabu na vitabu na nina endelea kuyasoma. Kauli zangu hazipingani, na nilichokiandika hapa hakipingani na majibu yangu mengine, ndio maana na uwezo kuona makosa yako na nikayachambua, lakini weww uweso huo huna, unaishia kusema tu kisha huonyeshi shida iko wapi, hii ni ishara ya kuwa huna hoja na jambo limekuzidi pa kubwa sana.

Hii mada iliisha kitambo sana, na uwe unasoma hoja zangu kisha uzielewe na ujue kutofautisha jambo moja na lingine.
 
Athari ndio nini?
Kwa kiingereza ni "Effect".
Kwanini uwepo wa athari uthibitishe uwepo wa kitu na sio jambo lingine?
Ona ulivyo kuwa mjinga, umeonyesha ya kuwa hujui maana ya athari kisha una hoji tena kuhusu hiyo athari, lazima ukosee aisee, inabidi tuanze kufundishana namna ya kuhoji, halafu ndio nyinyi huwa mnajifaragua na Elimu ya Logic mara Philosophy. Ulitakiwa uambiwe kwanza nini maana ya "Athari" kisha ndio uhoji.

Nakupa mfano sasa, kuwepo kwako ni athari ya wazazi wako kujamiiana. Haya hoji sasa kulingana na hiyo maana. Kijana ulitakiwa urudi kwanza ukasome na ukubali kujifunza, ila ukienda kwa mtindo huu, aisee utaonekana kituko sana mbele ya watu wajuzi wa kujenga na hoja na kuzidadavua.
Watu wanakufa kwa kujitoa mhanga kwa dhana potofu kua watapata maisha baada ya hapo, huoni hii (mungu) ni athari ya ujinga iliyotokana na watu kudanganyika?
Hii ni athari mbaya ya namna fulani ya kufikiri mambo, huwa mnahisi ktindo huu wa kuhoji na kufikiri mambo, ndio unaweza kuwapa majibu sahihi juu ya mwanadamu na yale yote yanayo mzunguka.

Nakukumbusha tu ya kuwa akili pekee haina uwezo wa kumfanya mja kujua jema au baya kwa dhati yake na kwanini, bali haiwezi kumuongoza juu ya hatima yake, kwanini naandika haya ? Umeagalia jambo la kujitoa muhanga kwa juu juu sana, na si kwa hukumu yake, hivi ndio mnavyofundishwa na wakubwa zenu,rejea zile "Ten Categories" (Maaqulaat Ashar) za Aristotld hivi ndivyo wana wafundisha.

Swali ni Mola gani huyo amewaruhusu watu wajitoe muhanga au mtume gani au nabii gani au mja gani mwema aliye waambia watu wajitoe muhanga ? Huwa nasema kila siku akili salama, kamwe haiwezi kukanusha juu ya Uwepo wa Allah. Ukifikiria mambo basi fikiria kweli kweli.
Mmeshindwa kuthibitisha mungu yupo kihalisia mmeanza ku-focus kwenye athari iwe kama mbadala?

Maana ha maneno, ni jambo muhimu sana katika kuifikia maana halisi ya jambo fulani. Elimu hii najua huna..

Naendelea kumaliza hili, kisha urudi tena useme hakijaisha.

Uhalisia ameuweka yeye na kufanya uwepo, halafu unakuja kuhoji juu ya uhalisia ?

Uwepo wa Allah aliye juu, unaonekana kupitia milango ya fahamu, kupitia akili na ufunuo. Niliwahi kukuuliza swali moja au mawili hukuwahi kujibu swali hilo wala usipate shida bali hata wakubwa zako katka huu ujinga hawakuwahi kujibu maswali haya : "Je mmetokana pasi na chochote au mmejiumba wenyewe" ? Majibu ya maswali haya huthibitisha uwepo wa Allah aliye juu.
 
Huyo aliyebuni habari za Mungu ili atawale ni nani na anatawala kvipi? Hebu elezea basi maana kila mtu anasema lake wengine wanasema watu walibuni habari za Mungu baada ya kukosa majibu yenye kuhusu ulimwengu, Yani ilimradi kila mtu anaongea lake tu,haya niambie habari za mungu zilibuniwa wapi na nani na hao watu/mtu anatawala vp?
Shabaha ya hiyo hoja umeielewa kweli?

Hilo ni swali ambalo nimekuuliza kwa lengo la kuku-challenge katika kile ambacho unakisimamia.


Nimekwambia suala la spiderman linaishia kwenye movie tu hakuna mtu aliyewahi kudai uwepo wa spiderman nje ya movie,mtu akisikia spiderman moja kwa moja anajua panaongelewa movie. Na hakuna utata juu ya hilo,sasa nakushangaa unafananisha visivyofanana.
Swala la spiderman lingekua linaishia kwenye movie tu basi hapa lisingeweza kujadilika.

Habari za yesu/mungu zipo katika movies lakini zinajadilika katika mazingira yeyote ambayo watu wataamua kujadili.

Kama movies huelezea kile kisicho halisia na habari zake huishia kwenye movies tu. Unataka kusema hata habari za mungu nazo si halisia kwasababu kuna movies ambazo zimezungumzia habari za mungu??


Kama habari za mungu zitakua ni halisia hata kama zimejadiliwa kwenye movies, basi hata spiderman vile vile ni halisia.

Nimekwambia habari za kweli Mungu yupo au hayupo ni jambo lenye kujadiliwa hadi sasa,ila hilo la spiderman halhitaji mjadala maana kila mmoja anajua spiderman kitu kilichobuniwa kwenye movie basi.
Kama mungu yupo kihalisia kama wewe unavyodai kwanini mpaka leo uwepo wake uwe ni jambo lenye utata kiasi kwamba mpaka leo liwe linajadiliwa bila kufikia hitimisho??

Unajuaje kwamba spiderman amebuniwa kwenye movies?

na kwanini movies zinazoelezea habari za mungu zisithibitishe mungu amebuniwa na hao waliotengeneza movie??



It's Scars
 
Hali halisi kama nini?

It's Scars
Sio kama nini, hali halisi ndio ukweli wenyewe.

Mathalani, kila nafsi itaonja umauti, hii ni haki halisi. Kuwepo kwa usiku na mchana, Jua lina tembea, akili ina ukomo, na mengine mengi.
 
Back
Top Bottom