UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Sasa usiseme dini ndio tatizo bali watu wenyewe.Umefikiri juu ya upotoshaji wa tafsiri kwa maslahi ya MTU badala ya alichomaanisha Mungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa usiseme dini ndio tatizo bali watu wenyewe.Umefikiri juu ya upotoshaji wa tafsiri kwa maslahi ya MTU badala ya alichomaanisha Mungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuigiza ndio kupi?
Kuigiza ndio kupi?
Sasa usiseme dini ndio tatizo bali watu wenyewe.
Mbona unajihami sana, kwa kusema vitabu hivi huviamini?Swali langu bado liko pale pale
Unajuaje kua verse hizo sio defense ili kuficha uongo wa kuonesha ulaghai wa hicho kitabu??
It's Scars
Sawa asante kwa ushauri,uwe na siku njema..Kama haujui maana ya kuigiza kiasi nalo unalifanya swali,hauna utimamu wa kutosha kujadili hili,
Inua level ya uelewa kwanza kabla ya kulijadili hili,
Labda uwe unatania kuwa haujui,ama hauna kazi ya kufanya hivyo unajadili ili tu kupoteza muda
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kama huamini kama Mungu hayupo una Uhuru wa kuendelea kuamini hivyo, sisi ambao tunaamini Mungu yupo tutaendelea kuamini
Acha uongo Muhammad amezaliwa mwaka 600, kabla yake Wana sayansi kibao walikuwepo mfano Galileo,ni wewe sasa.
Kutumia akili YAKO..
Maana muhammad alikuwepo kabla ya sayansi.
JIULIZE ALIYAJUAJE HAYA.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo Muhammad amezaliwa mwaka 600, kabla yake Wana sayansi kibao walikuwepo mfano Galileo,
Post yako namba 13 imekuvua nguoKwa huu ujinga unataka uletewe kifungu ambacho umejibiwa ? Sasa nashangaa kwamba husomi ninacho kujibu au huelewi ninacho kujibu ?
Unajichanganya sana na unarudia maswali ambayo umejibiwa.
Post 120 na za nyuma zimejibu kwa uzuri sana maswali yako achilia mbali hili la 123 ulilo rudia na bado ukaichanganya zaidi.
Una dai mwanzo nimesema sijui na hapa unasema nimekiri,sababu wewe ni mjinga hutaki kusoma na kuelewa na kama hujaelewa hutaki kuuliza, nakuuliza tu wapi nilipokiri na niliposema sijui kumetofautiana na hoja yangu ? Sasa jitahidi kuhoji na kuukiza vya maana.
Tatizo lako husomi ukaelewq bali una kurupuka, hakuna kukataa hapo, huko nyume nimesema sisi hatujui kama vitatudhuru au la ndio maana tunachukua tahadhari, ila tunajua ya kuwa maradhi yanatoka kwa Allah na sababu tunazijua aidha kutupa mtihani na kutukumbusha kurudi kwake au kuwalipa waouvu ili sisi wengine tuzinduke.
Ukiambiwa mada iliisha kitambo, ila sababu unapenda kupoteza muda na kubisha ujinga, imefika mpaka hapa.
Nakukunbusha tu ya kuwa Elimu haiongopi na elimu siku zote huwa iko juu na haikaliwi na kingine juu yake.
Ahsante.
Na kivipi swali lije katika dhana ya "imani" na sio mfumo mwingine?Kama majadiliano yapo serious twende huko ,kama yapo kwenye majadiliano ya kubishana bila hoja siko huko.
Sijakuuliza baba yako Nani?
Swali unaaminije huyo uliye naye kuwa ni baba yako.?
Nguvu ya Roho Mtakatifu nitakapoihitaji itakuja.
Sababu nzuri ni wewe. Maana mpaka sasa unababaika na kubwabwaja na kuhororoja bila mpango na kuleta usiyoulizwa. Sikushangai kwani wote tukiwawekea aya niliyokuwekea juu hapo, hali iliyokupata huwapata. Rudia kusoma, mpaka kieleweke...
Kumbe hata unachokisoma Hukielewi. Hakuna Aya hapo inayosema unayoyasema. Hiyo ni challenge. Kasome tena uelewe kilichoandikwa kabla hujakurupuka. Au challenge imekuwa nzito kwako unatafuta pakutokea?
Kuhusu "spider" na "Spiderman" yupi ni fictitious na yupi ni non fiction?
Hapo sasa.
Unauliza maswali ya kitoto sana, athari ya "spiderman" unaipata wapi mpaka ujenge hoja juu yake ? Hakuna athari unayopata katika uhalisi,lakini athari ya mapepo/majini waouvu ipo na inaonekana. Tatizo la umithilishaji lina wasumbua sana wakana Mungu.
Yameshajulikana, sasa kipi kilicho sababisha matatizo kuwepo ? Haihitaji nguvu kubwa kujua ya kuwa tatizo hutatuliwa kwa kujua chanzo cha tatizo hilo kwanza.
Kijana usilo lijua ni kuwa mambo haya mimi nimeyasoma kabisa yaani vitabu na vitabu na nina endelea kuyasoma. Kauli zangu hazipingani, na nilichokiandika hapa hakipingani na majibu yangu mengine, ndio maana na uwezo kuona makosa yako na nikayachambua, lakini weww uweso huo huna, unaishia kusema tu kisha huonyeshi shida iko wapi, hii ni ishara ya kuwa huna hoja na jambo limekuzidi pa kubwa sana.Post yako namba 13 imekuvua nguo
Ipitie hiyo post halafu uje tena hapa ujione ni kwa namna gani we ni mjinga msahaulifu
It's Scars
Kwa kiingereza ni "Effect".Athari ndio nini?
Ona ulivyo kuwa mjinga, umeonyesha ya kuwa hujui maana ya athari kisha una hoji tena kuhusu hiyo athari, lazima ukosee aisee, inabidi tuanze kufundishana namna ya kuhoji, halafu ndio nyinyi huwa mnajifaragua na Elimu ya Logic mara Philosophy. Ulitakiwa uambiwe kwanza nini maana ya "Athari" kisha ndio uhoji.Kwanini uwepo wa athari uthibitishe uwepo wa kitu na sio jambo lingine?
Hii ni athari mbaya ya namna fulani ya kufikiri mambo, huwa mnahisi ktindo huu wa kuhoji na kufikiri mambo, ndio unaweza kuwapa majibu sahihi juu ya mwanadamu na yale yote yanayo mzunguka.Watu wanakufa kwa kujitoa mhanga kwa dhana potofu kua watapata maisha baada ya hapo, huoni hii (mungu) ni athari ya ujinga iliyotokana na watu kudanganyika?
Mmeshindwa kuthibitisha mungu yupo kihalisia mmeanza ku-focus kwenye athari iwe kama mbadala?
Shabaha ya hiyo hoja umeielewa kweli?Huyo aliyebuni habari za Mungu ili atawale ni nani na anatawala kvipi? Hebu elezea basi maana kila mtu anasema lake wengine wanasema watu walibuni habari za Mungu baada ya kukosa majibu yenye kuhusu ulimwengu, Yani ilimradi kila mtu anaongea lake tu,haya niambie habari za mungu zilibuniwa wapi na nani na hao watu/mtu anatawala vp?
Swala la spiderman lingekua linaishia kwenye movie tu basi hapa lisingeweza kujadilika.Nimekwambia suala la spiderman linaishia kwenye movie tu hakuna mtu aliyewahi kudai uwepo wa spiderman nje ya movie,mtu akisikia spiderman moja kwa moja anajua panaongelewa movie. Na hakuna utata juu ya hilo,sasa nakushangaa unafananisha visivyofanana.
Kama mungu yupo kihalisia kama wewe unavyodai kwanini mpaka leo uwepo wake uwe ni jambo lenye utata kiasi kwamba mpaka leo liwe linajadiliwa bila kufikia hitimisho??Nimekwambia habari za kweli Mungu yupo au hayupo ni jambo lenye kujadiliwa hadi sasa,ila hilo la spiderman halhitaji mjadala maana kila mmoja anajua spiderman kitu kilichobuniwa kwenye movie basi.
Sio kama nini, hali halisi ndio ukweli wenyewe.