FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Challenge imekuwa nzito kwako? Kitu ambacho unasema si kweli kinakushinda? Soma...
Usipate shida Qur'an yenyewe inakupa jibu...
Qur'an 2:
23. Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli. 23
24. Na mkitofanya - na wala hamtofanya kamwe - basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu na mawe walio andaliwa hao wanao kanusha. 24
Haya tunasubiri utimize hiyo "challenge". Miaka zaidi ya 1400 imetolewa , mpaka.leo hajatokea hata mmoja aliyeweza, jaribu bahati yako tRNA washirikishe na makafiri wenzako wote.
Hahaha unaongelea "spider"? Kuna sura nzima ndani ya Qur'an inabeba jina Hilo, imeshushwa zaidi ya miaka 1400 nyuma. Kwi kwi kwi teh teh teh, wewe ndio leo unamjuwa? Ulilala usingizi mzito sana.