Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Acha kukimbia maswali, na huku kunathibitisha ya kuwa huna hoja zaidi ya kuruka kuruka.

Una deni toka kwangu.
Hujajibu hili swali

Wewe umekubali kua hoja yangu kutoafikiana na hoja yako haifanyi hoja yako kua jibu sahihi?

It's Scars
 
Majibu sahihi ninayo na ujinga wako nimeubainisha kitambo.
Sijakuuliza kama majibu sahihi unayo au huna

Nimekuuliza

Unajuaje kwamba sijajibu maswali yako na sio kwamba huna uwezo wa kusoma kwa uelewa hoja zangu?

It's Scars
 
Nilikwambia lengo sio kuwadhuru, bali lengo ni kuwapa mtihani na kuwazindua ila ameruhusu ugonjwa uwadhuru watu.

Usirudie maswali ambayo umeshajibiwa.
Soma post yako namba 13 halafu uje hapa ujione ni jinsi gani mjinga, imefikia hatua mpaka umeanza kujichanganya kwa ujinga wako mwenyewe

It's Scars
 
Wakuu, ninaamini kuwa sote tunaendelea kupambana na maisha katika ujumla wake, kila mmoja kwa utaratibu wake. Ninaamini na kuwaombea afya.

Hii mada haihusiani, kwa namna iwayo yote, na jukwaa la dini, hivyo, Mods ninaomba muiache kama ilivyo kwenye hili Jukwaa.

Tangu kulipuka kwa Ugonjwa huu hatari, uliosababisha kifo cha maelfu ya watu, huku malaki (mamia ya maelfu) ya watu wakiathirika nao kote duniani; kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaohoji uwepo wa Mungu.

Ninaomba kuwaambia kwa ufupi kabisa, watu wote wenye hayo mawazo kuwa: uwepo wa Mwenyezi Mungu hautegemei kutokuwepo kwa magonjwa au shida mbalimbali.

Toka enzi, magonjwa yameendelea kuitesa dunia mpaka pale Mwenyezi Mungu anapoamua, kwa wakati wake, kuingilia na kuyaondoa matatizo hayo. Dunia na vyote vilivyomo, ikiwemo wanasayansi, ni mali ya Bwana.

Hivyo, kwa muda ambao Mwenyezi Mungu atauona ni sahihi, atawasaidia wanasayansi kuvumbua na kugundua dawa ya kutibu ugonjwa huu unaotusumbua wa Covid-19.

Tuendelee kuchukua tahadhari ya kuepuka ugonjwa huu hatari.

Wasalaam.
Mungu mjuzi wa yote hawezi kuwajaribu viumbe wake. Anajaribu ili agundue nini wakati kila jambo alishaliona namna ambavyo huko mbeleni litakuja kutokea?

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?

It's Scars
 
Probably tutegemee kuona mapadre na mashehe wakivunja rekod ya yesu katika hicho kipindi cha njaa huenda wakabadili matofali kua mikate
Wacha dhihaka za kipumbavu wewe! Kwanza wewe una dini gani?
 
Ndio maana nilikuuza unataka watu wasifanye kazi na badala yake waombe dua tu?

kwani dua sio si sehemu ya hizo kazi?

Hizo kazi kwanini zisifanywe kwa dua? ikifanywa kwa dua huoni hapo dua inakua imefanya kazi?

Kama kuomba dua ni njia ya kweli kama ambavyo dini zikisema, mtu akiamua kuomba dua ili kazi zake zifanyike halafu zikafanyika kweli. Huoni kwamba kufanyika huko kwa hizo kazi kwa njia ya dua nayo ni kazi?

Maana hapo ndiyo hoja yako ilipo,kama ulitaka watu wasijikinge na maradhi na badala yake wao waombe dua tu ni sawa na kutaka watu wasifanye kazi pia wala kushughulika na taaluma zao ila wakae tu na kuomba kwa kila jambo. Na ndio maana unaleta hoja ya watu kuacha kukaa na kuomba tu dua kwa ajiri ya corona wao wanatumia taaluma zao kutafuta suluhu ya corona.
Kwasababu dini imesema dua ni njia thabiti katika utatuzi wa changamoto ambazo binadamu anapitia

Sasa kwanini uone sio muhimu watu kuomba dua kwa lengo la kudhititi magonjwa badala yake upendekeze njia zingine ambazo zinakinzana na dua??

Watu kutohangaika na dua katika kuzuia au kujikinga na mabalaa kama haya ni ushahidi kua kuomba dua sio suluhu na dhana nzima ya dua ina elements za uongo

Upo nje ya uhalisia hakuna dini inayofundisha kwamba watu wakae na kutegemea dua tu, hata hivyo walivyozuia watu kwenda kuhiji ni mafundisho ya dini yao pia hufundisha hivyo mbali na ushauri wa shirika la afya.
Nikweli nipo nje ya uhalisia kwasabau nimejikita kuzungumzia dua ambayo haipo kihalisia

Dini imesema hakuna lishindikanalo mbele za mungu endapo utaomba dua maana yeye ni mungu wa rehema kwa watu wake.

Dini zinafundisha kua mungu ni pendo ombeni nanyi mtapewa, tena kwa wakristo wanasema njoeni kwangu wote ambao mmeelemewa na mizigo nami nitawapumzisha.

Kwa maana wote ambao mnapitia hatari hii ya corona mlitakiwa muende mbele za mungu kwa kufanya maombi ili ashushe neema yake ili mkombolewe kwenye hili janga.

Kuhusu dua kujibiwa nilitoa mfano wa lile tatizo la magonjwa ya akili na nikakwambia hilo tatizo hutatuliwa kwa dua na watu wanapona.

Nilikujibu kua dua ingekua inamsaada katika watu ambao wana matatizo ya akili basi leo hii tusingekua na hospitali ya milembe kwasababu tungejua tiba ya ukweli iko makanisani au misikitini

Lakini pia kuna watu wao kazi zao ni kuwafanyia watu dua,sasa ukiniambia kuwa dua huwa hazina majibu basi hawa watu wasingefanya kazi hizo maana hazina majibu na hivyo wasingekuwa na maclients.
Watu kuwafanyia wengine dua hiyo haimaanishi kua dua inafanya kazi, hiyo inamanisha watu wajinga na wanaleta mizaha kutafuta suluhu kwa njia za kufikirika

It's Scars
 
kwani dua sio si sehemu ya hizo kazi?

Hizo kazi kwanini zisifanywe kwa dua? ikifanywa kwa dua huoni hapo dua inakua imefanya kazi?

Kama kuomba dua ni njia ya kweli kama ambavyo dini zikisema, mtu akiamua kuomba dua ili kazi zake zifanyike halafu zikafanyika kweli. Huoni kwamba kufanyika huko kwa hizo kazi kwa njia ya dua nayo ni kazi?

Kwasababu dini imesema dua ni njia thabiti katika utatuzi wa changamoto ambazo binadamu anapitia

Sasa kwanini uone sio muhimu watu kuomba dua kwa lengo la kudhititi magonjwa badala yake upendekeze njia zingine ambazo zinakinzana na dua??

Watu kutohangaika na dua katika kuzuia au kujikinga na mabalaa kama haya ni ushahidi kua kuomba dua sio suluhu na dhana nzima ya dua ina elements za uongo

Nikweli nipo nje ya uhalisia kwasabau nimejikita kuzungumzia dua ambayo haipo kihalisia

Dini imesema hakuna lishindikanalo mbele za mungu endapo utaomba dua maana yeye ni mungu wa rehema kwa watu wake.

Dini zinafundisha kua mungu ni pendo ombeni nanyi mtapewa, tena kwa wakristo wanasema njoeni kwangu wote ambao mmeelemewa na mizigo nami nitawapumzisha.

Kwa maana wote ambao mnapitia hatari hii ya corona mlitakiwa muende mbele za mungu kwa kufanya maombi ili ashushe neema yake ili mkombolewe kwenye hili janga.

Nilikujibu kua dua ingekua inamsaada katika watu ambao wana matatizo ya akili basi leo hii tusingekua na hospitali ya milembe kwasababu tungejua tiba ya ukweli iko makanisani au misikitini

Watu kuwafanyia wengine dua hiyo haimaanishi kua dua inafanya kazi, hiyo inamanisha watu wajinga na wanaleta mizaha kutafuta suluhu kwa njia za kufikirika

It's Scars
Ni dini gani inayosema watu waombe dua tu wasifanye kazi?
 
Back
Top Bottom