Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma post yako namba 13 halafu uje hapa ujione ni jinsi gani mjinga, imefikia hatua mpaka umeanza kujichanganya kwa ujinga wako mwenyeweNilikwambia lengo sio kuwadhuru, bali lengo ni kuwapa mtihani na kuwazindua ila ameruhusu ugonjwa uwadhuru watu.
Usirudie maswali ambayo umeshajibiwa.
Mungu mjuzi wa yote hawezi kuwajaribu viumbe wake. Anajaribu ili agundue nini wakati kila jambo alishaliona namna ambavyo huko mbeleni litakuja kutokea?Wakuu, ninaamini kuwa sote tunaendelea kupambana na maisha katika ujumla wake, kila mmoja kwa utaratibu wake. Ninaamini na kuwaombea afya.
Hii mada haihusiani, kwa namna iwayo yote, na jukwaa la dini, hivyo, Mods ninaomba muiache kama ilivyo kwenye hili Jukwaa.
Tangu kulipuka kwa Ugonjwa huu hatari, uliosababisha kifo cha maelfu ya watu, huku malaki (mamia ya maelfu) ya watu wakiathirika nao kote duniani; kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaohoji uwepo wa Mungu.
Ninaomba kuwaambia kwa ufupi kabisa, watu wote wenye hayo mawazo kuwa: uwepo wa Mwenyezi Mungu hautegemei kutokuwepo kwa magonjwa au shida mbalimbali.
Toka enzi, magonjwa yameendelea kuitesa dunia mpaka pale Mwenyezi Mungu anapoamua, kwa wakati wake, kuingilia na kuyaondoa matatizo hayo. Dunia na vyote vilivyomo, ikiwemo wanasayansi, ni mali ya Bwana.
Hivyo, kwa muda ambao Mwenyezi Mungu atauona ni sahihi, atawasaidia wanasayansi kuvumbua na kugundua dawa ya kutibu ugonjwa huu unaotusumbua wa Covid-19.
Tuendelee kuchukua tahadhari ya kuepuka ugonjwa huu hatari.
Wasalaam.
Dooh kwa ajili ya maombi ndo ikavunjikaHas caused my sister's marriage to break up. Sasa nalea wajomba mana bwashemeji alikimbia kabisa akaacha na nyumba zake, namchukia sana huyo jamaa.
He's peace of sh*#&%+@.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali.
Wacha dhihaka za kipumbavu wewe! Kwanza wewe una dini gani?Probably tutegemee kuona mapadre na mashehe wakivunja rekod ya yesu katika hicho kipindi cha njaa huenda wakabadili matofali kua mikate
Ndio maana nilikuuza unataka watu wasifanye kazi na badala yake waombe dua tu?
Kwasababu dini imesema dua ni njia thabiti katika utatuzi wa changamoto ambazo binadamu anapitiaMaana hapo ndiyo hoja yako ilipo,kama ulitaka watu wasijikinge na maradhi na badala yake wao waombe dua tu ni sawa na kutaka watu wasifanye kazi pia wala kushughulika na taaluma zao ila wakae tu na kuomba kwa kila jambo. Na ndio maana unaleta hoja ya watu kuacha kukaa na kuomba tu dua kwa ajiri ya corona wao wanatumia taaluma zao kutafuta suluhu ya corona.
Nikweli nipo nje ya uhalisia kwasabau nimejikita kuzungumzia dua ambayo haipo kihalisiaUpo nje ya uhalisia hakuna dini inayofundisha kwamba watu wakae na kutegemea dua tu, hata hivyo walivyozuia watu kwenda kuhiji ni mafundisho ya dini yao pia hufundisha hivyo mbali na ushauri wa shirika la afya.
Kuhusu dua kujibiwa nilitoa mfano wa lile tatizo la magonjwa ya akili na nikakwambia hilo tatizo hutatuliwa kwa dua na watu wanapona.
Watu kuwafanyia wengine dua hiyo haimaanishi kua dua inafanya kazi, hiyo inamanisha watu wajinga na wanaleta mizaha kutafuta suluhu kwa njia za kufikirikaLakini pia kuna watu wao kazi zao ni kuwafanyia watu dua,sasa ukiniambia kuwa dua huwa hazina majibu basi hawa watu wasingefanya kazi hizo maana hazina majibu na hivyo wasingekuwa na maclients.
Ni dini gani inayosema watu waombe dua tu wasifanye kazi?kwani dua sio si sehemu ya hizo kazi?
Hizo kazi kwanini zisifanywe kwa dua? ikifanywa kwa dua huoni hapo dua inakua imefanya kazi?
Kama kuomba dua ni njia ya kweli kama ambavyo dini zikisema, mtu akiamua kuomba dua ili kazi zake zifanyike halafu zikafanyika kweli. Huoni kwamba kufanyika huko kwa hizo kazi kwa njia ya dua nayo ni kazi?
Kwasababu dini imesema dua ni njia thabiti katika utatuzi wa changamoto ambazo binadamu anapitia
Sasa kwanini uone sio muhimu watu kuomba dua kwa lengo la kudhititi magonjwa badala yake upendekeze njia zingine ambazo zinakinzana na dua??
Watu kutohangaika na dua katika kuzuia au kujikinga na mabalaa kama haya ni ushahidi kua kuomba dua sio suluhu na dhana nzima ya dua ina elements za uongo
Nikweli nipo nje ya uhalisia kwasabau nimejikita kuzungumzia dua ambayo haipo kihalisia
Dini imesema hakuna lishindikanalo mbele za mungu endapo utaomba dua maana yeye ni mungu wa rehema kwa watu wake.
Dini zinafundisha kua mungu ni pendo ombeni nanyi mtapewa, tena kwa wakristo wanasema njoeni kwangu wote ambao mmeelemewa na mizigo nami nitawapumzisha.
Kwa maana wote ambao mnapitia hatari hii ya corona mlitakiwa muende mbele za mungu kwa kufanya maombi ili ashushe neema yake ili mkombolewe kwenye hili janga.
Nilikujibu kua dua ingekua inamsaada katika watu ambao wana matatizo ya akili basi leo hii tusingekua na hospitali ya milembe kwasababu tungejua tiba ya ukweli iko makanisani au misikitini
Watu kuwafanyia wengine dua hiyo haimaanishi kua dua inafanya kazi, hiyo inamanisha watu wajinga na wanaleta mizaha kutafuta suluhu kwa njia za kufikirika
It's Scars
Ni sehemu ya aina gani ya kazi? Dua ni maombi si kazi.